Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,323
- 10,199
Wagner inaundwa na kina nani?Kuna tofauti kati ya Jeshi na mamluki. Hao Mamluki wa Wagner hawawezi kushindana na jeshi la NATO huo ndiyo ukweli hata Wagner wangekuwa upande wa Ukraine bado ingesemwa kuwa hawawezi kupambana na Jeshi la Russia.
Hata huko waliko si wako pamoja na wanajeshi wa Russia!!??
Unaamini maneno ya Wagner ni wafungwa na mamluki pekee?