Kwa nn wasiwe na huo uwezo..?. kwani NATO ni akina nani..? si wanajeshi tu waliopatiwa mafunzo na kupewa silaha bora...?...wewe uliwahi kudhania hapo nyuma kuwa Jeshi la Ukrein wangeweza kuhimili jeshi la Russia hata kwa week 2....?... Wagner wamepewa sila bora na jeshi la Urusi ...wanapewa michongo/intelligency ya kila aina na jeshi la Urusi...Why? wawashindwe hao NATO...unapoongelea NATO unaweza fikiria ni askari wa ajabu...kumbe ... hata askari wa Poland...sijui Romania, na nchi nyingi tu hapo za former soviet union ni NATO...sasa wana maajabu gani?...Marekani ndio baba wa NATO...mbona alisimamishwa na Somalia hapo...wale Mujahidin wa Afghanistan aliwaweza huyo Marekani..??..na hawakuwa na ubora wowote zaidi ya morali ukiwalinganisha na hao Wagner.
Sent from my SM-A217F using
JamiiForums mobile app