Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️President Zelensky met with Pope Francis for the first time since the war began
1683997630825.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
😀😀Uhuru usivuke mipaka, kwamba Russia inaendeshwa kienyeji, mahaba yasikufanye uwe mjinga
Urusi ni genge lile. Putin ndio alitangaza mwenyewe vita ya Ukraine bila Bunge, kumbe vita inamizidi uwezo sasa lawama kubwa anabeba yeye afadhali wengine wakitangaza vita peke yao huwa wana uwezo nayo.

Thatcher pale Argentina ilipovamia Falklands alitangazia vita bungeni na bunge lilipitisha. Putin yeye alikuwa hapa, akiongeza na mkwara mbuzi kwa atayejihusisha na Ukraine. "I decided to..."
 
Nonsense Acha uongo
 
Kwa msaada wa vikoba.
 
Punguza ushabiki bunge liliidhinisha kabla ya uvamizi.
 
Jana nilikuwepo

Sema kichapo cha leo ni kikali una haki ya kuweweseka
Kichapo kipi..??..hzo ndege kudondoka zenyewe au lile shambulio la jana kule Luhansk na kuuwa watoto..?...hv mbona F16/35..zimedondoka recently za kutosha yaani...na kuuwa watu wa kutosha...hv kula Alaska ni nani aliezishusha f16/35..??...au uhalali wa ndege kudondoka zenyewe uko kwenu...Su35,Su31 zikidondoka zimepigwa na ADS

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Ulaya walikuwa wanasema munitions za Ukraine hasa za S-300 zinaisha mwezi huu ila take it with a grain of salt maana taarifa za kumpotosha adui aingie kichwa kichwa ni nyingi. Hata S-300 zikikosa at least hizi Western systems zipo ingawa sio backbone ya Ukrainian AD.

Urusi haina uwezo wa kufanya SEAD, ule muda iko busy Hostomel na VDV ingeutumia kuharibu AD na runways za Ukraine. Wana mifumo ya kizamani wale wazee kwenye MoD, wanashindwa fanya kitu kilifanywa na Israel mwaka 1967.
Mambo mengi yanatokea ila tunayaacha yapite. Last month Shoigu alivyoita drills za ghafla kwa Pacific fleet yule Admiral alistaafu wiki ileile drills zikiwa zinaendelea. Haitakiwi iwe vile ni sawa na ligi inaendelea alafu kocha eti mkataba umeisha.

Warusi wana silaha zinatakiwa zifanye vizuri ila kwenye trials wanapindisha ukweli, storage wanaiba, contractors wanatafuta faida kubwa yani kila hatua kuna kitu kinapunguza effectiveness. Hata air warning radars zao kina Volonezh kuna taarifa nimesoma zina cheap components kama transistors hivyo radar hazipo effective inavyotakiwa. Ni kama wakandarasi wetu wa halmashauri wanavyonunua taa za solar zenye maandishi sawa kwenye makaratasi na label ila in reality quality ni ya chini, mnunuaji na mtengenezaji wanakubaliana waandike vitu sio wagawane cha juu

Bado hatuwezi pima uwezo wa nchi Moja inayopambana na nchi zaidi ya 30, hata Marekani asinge simama mpe Mua yake Putin
 
Kichapo kipi..??..hzo ndege kudondoka zenyewe au lile shambulio la jana kule Luhansk na kuuwa watoto..?...hv mbona F16/35..zimedondoka recently za kutosha yaani...na kuuwa watu wa kutosha...hv kula Alaska ni nani aliezishusha f16/35..??...au uhalali wa ndege kudondoka zenyewe uko kwenu...Su35,Su31 zikidondoka zimepigwa na ADS

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kwamba hujatembelea hata kwa Warusi wenzako Twitter au Telegram?
 
Chenga ya mwili alipigwa Putin, EGO pekee ndo inamsababisha Putin asisitishe hii vita.

Ila kashindwa, wanajeshi wake wengi hawaamini kabisa ila ndo hivyo wanafata amri.

Ile kwamba umevamia nchi afu Rais wa hiyo nchi yuko huru kusafiri kwenda nchi zingine mf leo yupo Italy kaondoka jana atarudi kesho, yaani siku 3 Zele yuko nje ya nchi yake na bado Urusi anapelekewa moto.

Binafsi naamini bila msimamo wa hiki kijamaa lazima Russia angekuwa amevamia nchi zingine.
Msimamo wake, uzalendo, hasira zimesababisha Ukraine iendelee kupigana
SEMA Marekani ndo analazimisha vita iendelee,hii nivita kati ya NATO na Urusi.
 
Back
Top Bottom