HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Ni swala la muda tu, kuna kifurushi ambacho Germany kakitoa kina IRIS T 4Hawa jamaa hawataki kabisa kuambiwa silaha zao ni dhaifu. Wakati air defence systems zilikuwa zinapelekwa Ukraine walikuwa wanatutisha eti za kwao ni bora sana. Sasa effect ya AD za Ukraine ishaonekana wakati effect ya S-300 za Syria haijawahi onekana mpaka leo miaka zaidi ya minne Israel huwa inaingia kienyeji kwenye anga lao
Nadhani dunia ishaona jinsi zana za Urusi zilivyo hadi EW inapigwa