Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NImeziona comments zako za moto sana kuanzia jana. Hebu nieleze ni ugonvi upi hasa uliokuwa ukiumiza vichwa vya watu Kati bwana Musiba na CDE Membe?
Inasemekana kutokana comments zako wewe upo upande mmoja wapo.
Huu uzi ni yanayojiri vita ya Russia na Ukraine.

Kuleta mada nje ya hizo ni kuharibu uzi huu.
 
Sijui unachojaribu kunielewesha ni nini??

Kwamba Wagner wana uwezo wa kuisimamisha NATO kwa siku zote hizi??
Kwa nn wasiwe na huo uwezo..?. kwani NATO ni akina nani..? si wanajeshi tu waliopatiwa mafunzo na kupewa silaha bora...?...wewe uliwahi kudhania hapo nyuma kuwa Jeshi la Ukrein wangeweza kuhimili jeshi la Russia hata kwa week 2....?... Wagner wamepewa sila bora na jeshi la Urusi ...wanapewa michongo/intelligency ya kila aina na jeshi la Urusi...Why? wawashindwe hao NATO...unapoongelea NATO unaweza fikiria ni askari wa ajabu...kumbe ... hata askari wa Poland...sijui Romania, na nchi nyingi tu hapo za former soviet union ni NATO...sasa wana maajabu gani?...Marekani ndio baba wa NATO...mbona alisimamishwa na Somalia hapo...wale Mujahidin wa Afghanistan aliwaweza huyo Marekani..??..na hawakuwa na ubora wowote zaidi ya morali ukiwalinganisha na hao Wagner.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
.unapoongelea NATO unaweza fikiria ni askari wa ajabu...
Kuna tofauti kati ya Jeshi na mamluki. Hao Mamluki wa Wagner hawawezi kushindana na jeshi la NATO huo ndiyo ukweli hata Wagner wangekuwa upande wa Ukraine bado ingesemwa kuwa hawawezi kupambana na Jeshi la Russia.

Hata huko waliko si wako pamoja na wanajeshi wa Russia!!??
 
Angalia tena...
Ndiyo hivyo bwana Allen Kilewella inafanana kwa 80% na NAZI logo
5568.jpg
 
Mkuu kwa nini wavamie Urusi? NATO haitaki kuvamia Urusi. Kazi yake si kushambulia nchi, ni maungano ya kuteteana. NATO haikuwahi kushambulia nchi.
(Ukipenda kuleta tena orodha ya Libya, Iraki, Afghanistan na kadhalika: hapana hizo zote hazikuwa mashambulizi ya NATO; Afghanistan ilikuwa jibu kwa shambulio dhidi ya nchi mwanachama, Libya ilikuwa kufuatana na agizo la Umoja wa Mataifa, Iraki 1 ilikuwa jibu la uvamizi wa Kuwait, Iraki 2 ilikuwa vita ya Marekani, si ya NATO; Kuingia kwa NATO Yugoslavia ilifuata azimio 816 ya Baraza la Usalama ya Umoja wa Mataifa na ombi la Katibu Mkuu, kwa shabaha ya kusimamisha Waserbia waliolenga kuangamiza Waislamu wa Bosnia).
[emoji1238] Syria ilikuwa ni mashambuliz kwa ajili ya nini?
 
Lakini kubali kwanza Avatar yako 80% ni Logo ya Nazi kisha tutakuuliza kwanini umeongezea hiyo alama nyingine?
Ndunia yote inampinga Hitler Wewe mwenzetu wanaweka logo yake
Aiseee.

Kumbe kuna kazi sana kwa watu wetu kuelewa mambo madogo sana


Ukiweka alama hii
1683983937604.png
hiyo inamaanisha kwamba wewe uko kinyume cha hicho kitu

Kwa mfano hii ni alama ya eneo la kuegesha Gari hasa basi,
1683984307894.png


Ila alama hii ni alama kuwa usiegeshe gari eneo hilo.
images
 
@umshana jana nilikuambia kuwa hzo long range missiles za UK (Storm Shadow za range ya 250km) tayari ziko Ukrein ile kutangaza kwamba wataipa Ukrein ilikuwa ni zuga ...mzigo tayari uko ndani ya ukrein...nakumbuka ulikaza fuvu hapa...sasa hili shambulizi la jana Luhansk..hope limekupa kitu...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Yes jamaa walitangaza kutuma mzigo kumbe mzigo ulikua tayari ktk uwanja wa vita unafanya kz!

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
NImeziona comments zako za moto sana kuanzia jana. Hebu nieleze ni ugonvi upi hasa uliokuwa ukiumiza vichwa vya watu Kati bwana Musiba na CDE Membe?
Inasemekana kutokana comments zako wewe upo upande mmoja wapo.
Alishangilia kifo cha Magu, sasa jana alipoona watu wanashangilia kifo cha chawa wake Membe, ikaanza kumuumz, hakujua kuwa mariposa ni hapa hapa
 
Pigaaaa pigaaaaa mbwa haoooo , heheeeeee,, missiles za mwingereza zinamnyoosha mtu huko ,maanina
Mwingereza wa wapi huyo? Unazijua Missiles kweli wewe?

Check orodha hii hapa kidogo

Russia:

  1. RS-24 Yars intercontinental ballistic missile (ICBM)
  2. Kalibr cruise missile
  3. Iskander tactical ballistic missile
  4. S-400 Triumf surface-to-air missile (SAM)
  5. Topol-M intercontinental ballistic missile (ICBM)
  6. Bulava submarine-launched ballistic missile (SLBM)
  7. S-300 surface-to-air missile (SAM)
  8. Kh-101 air-launched cruise missile
  9. Kh-55 cruise missile
  10. 9M729 land-attack cruise missile
China:

  1. Dongfeng-41 intercontinental ballistic missile (ICBM)
  2. DF-21D anti-ship ballistic missile
  3. DF-26 intermediate-range ballistic missile (IRBM)
  4. HQ-9 surface-to-air missile (SAM)
  5. CJ-10 land-attack cruise missile
  6. YJ-18 anti-ship cruise missile
  7. JL-2 submarine-launched ballistic missile (SLBM)
  8. DF-15 short-range ballistic missile (SRBM)
  9. DF-10 land-attack cruise missile
  10. PL-15 air-to-air missile
India:

  1. Agni-V intercontinental ballistic missile (ICBM)
  2. BrahMos supersonic cruise missile
  3. Prithvi ballistic missile
  4. Akash surface-to-air missile (SAM)
  5. Nag anti-tank guided missile
  6. Dhanush naval ballistic missile
  7. Astra air-to-air missile
  8. Shaurya hypersonic cruise missile
  9. Agni-III intermediate-range ballistic missile (IRBM)
  10. Sagarika submarine-launched ballistic missile (SLBM)
Israel:

  1. Arrow anti-ballistic missile (ABM)
  2. Jericho III intercontinental ballistic missile (ICBM)
  3. Spike anti-tank guided missile
  4. Barak surface-to-air missile (SAM)
  5. Delilah air-launched cruise missile
  6. Popeye air-to-surface missile
  7. Gabriel anti-ship missile
  8. Tamuz guided missile
  9. Harpoon anti-ship missile
  10. David's Sling air defense system
North Korea
  1. Hwasong-15: Intercontinental ballistic missile (ICBM) with an estimated range capable of reaching mainland United States.
  2. Hwasong-14: Intercontinental ballistic missile (ICBM) with a range believed to reach Alaska and potentially parts of the contiguous United States.
  3. Hwasong-12: Intermediate-range ballistic missile (IRBM) capable of reaching targets in South Korea, Japan, and parts of the Asia-Pacific region.
  4. KN-08: Intercontinental ballistic missile (ICBM) prototype that has been publicly displayed but its operational status remains uncertain.
  5. KN-17: Medium-range ballistic missile (MRBM) that has been tested multiple times, with some versions capable of reaching targets in South Korea and Japan.
  6. Scud-B: Tactical ballistic missile with a range of approximately 300 km, capable of targeting South Korea.
  7. Scud-C: Tactical ballistic missile with an extended range compared to Scud-B, capable of targeting South Korea and parts of Japan.
  8. Nodong: Intermediate-range ballistic missile (IRBM) with a range capable of targeting Japan and potentially other neighboring countries.
  9. KN-06: Surface-to-air missile (SAM) system developed by North Korea for air defense purposes.
  10. KN-09: Multiple rocket launcher system developed by North Korea, capable of firing a salvo of unguided rockets at various targets.
 
Back
Top Bottom