Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuorodheshe ya Marekani mkuu?The list is too long,and very disturbing,and this is to mention only a few.

1.Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutumia Atomic bomb,na kuua watu zaidi ya 100,000 Japan.

2.Marekani katika vita vyake vya kulazimisha nchi kufuata matakwa yake imeua zaidi ya watu millioni 20!

3. Marekani imeua viongozi wa nchi zaidi ya 10 na kupindua serikali zaidi ya 20 duniani kote katika harakati zake za kuiba rasilimali za Dunia.

4.Marekani inatekeleza mikakati mbali mbali ya kuua na kupunguza kwa siri binadamu duniani kote ikiwemo uzazi wa mpango,Chanjo,vyakulasumu,dawasumu nk.nk.Marekani pia ina a global network of over 300 biolab facilities all over the World,all aimed at killing people..

5.Marekani kwa kutumia CIA ndiyo muuzaji mkubwa wa siri wa Heroin kuliko nchi yeyote duniani.Umeshawahi kuwaza kwa nini Kilimo cha Heroin Poppy Afghanistan kinashamiri wakati M arekani wapo?Yes,CIA wakishirikiana na Taliban ndiyo walimaji na wauzaji wakubwa wa Heroin duniani,bila kusahau matumizi ya Opiods kama Fentanyl Marekani kwenyewe ambazo CIA ndio wahamasishaji wakubwa kwa siri wa matumizi yake.Opiods zimeharibi jamii ya Wamarekani kabisa.

6.Marekani inaiba mchana kweupe na kwa kutumia hila rasilimali za nchi mbalimbali zikiwepo Urusi,Syria,Iraq,Libya,Congo DRC nk.nk.

7.Marekani kwa kutumia Hollywood imeharibi moral values za Dunia nzima.

8.Marekani kwa kutumia covert means inaendelea kuharibu hali ya hewa ya Dunia nzima.

9.Marekani ina vituo vya kijeshi zaidi ya 800 Dunia nzima kwa nia ya kutekeleza mikakati yake miovu ya kupindua nchi huru kwa nia ovu za kuiba rasilimali na kutekeleza matakwa yake maovu dhidi ya nchi zingine.

10.Marekani kwa kutumia its' technological advantage ina leta havoc duniani kote kwa kuleta mafuriko,volcanoes,Hurricanes,Tsunamis,joto kama lilitokea India,Ulaya,na hata Marekani kwenyewe na majanga mengine mengi duniani kote.Serikali ya Marekani ni ovu sana,na haijalishi ni Democrats au Republicans,ni mwendo mdundo.

On the other hand Urusi haihusiki na yoyote kati ya haya maovu.Itoshe kusema kwamba haijalishi unaanzaje,unavyomaliza ndio jambo la msingi zaidi.
Taifa lile la mashetani ni la kuchoma
 
Mimi sipendi hegemony ya USA. Ila Pope Francis hajawahi kubariki ndoa za jinsia moja.
Kanisa katoliki linaenda kwa document. Share hapa hiyo document inayoonsha Pope alibariki ndoa za jinsia moja.
Nakubali Sana mchango wako katika jukwaa hili. Hongera sana kaka
Ana maanisha nn?
FB_IMG_1684037215620.jpg
 
Mshauri wa zamani wa Rais wa Ukraine akili kuwa Maghala makubwa ya risasi za NATO yameharibiwa usiku wa kuamkia leo. "Hivi hatimaye tutaacha lini kuweka mayai yetu yote (risasi) kwenye kikapu kimoja (katika ghala moja)? .. Kama huko Pavlograd na Khmelnytsky ..." Kasyanov.
 
Tuangazie kipigo Cha jana, pro NATO furaha yenu imepotezwa ndani ya masaa Sasa mnaenda kukaa kwenye mapango kwa mda.

The explosions tonight were not only "spectacular", they were worth billions of dollars and months of ammunition production. Much more than those 2 planes and a helicopter.
 
Ushindi Ni wetu, Uraaaaaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukrainian troops active only in certain sectors of frontline — Akhmat commander

"The situation is completely under control in our sector," Apty Alaudinov says
"The Ukrainian units became active not along the entire line of combat engagement, only in certain parts and still the situation has not significantly changed," Alaudinov told TASS.

"The situation is completely under control in our sector," he added.

Earlier, the Akhmat commander said that his unit was responsible for the zone from Soledar in the Donetsk People’s Republic (DPR) to Kremennaya in the Lugansk People’s Republic (LPR).


1391819.jpg
 
Tonight, Russian aviation again launched missile and bomb strikes on military targets in Ukraine. In Kharkov, explosions near the Kharkov Tank Plant. Explosions are also reported in the Kyiv and Ternopil regions. Video of the explosion in Ternopil.
 
Mjerumani tatizo lake moja tu ni kufanya vifaa vyake vya kijeshi kuwa more complex, mambo ya sensors kibao na maintenance kubwa kama magari yake. Ndio maana Ukraine huoni wanatumia sana Pz2000 wanakomaa na self propellered howitzers za Poland.

Otherwise Ujerumani ina silaha nzuri sana ila kwa namba ndogo na kwa gharama kubwa. Waliiuzia Israel submarines zao za Dolphin class zenye AIP system.
Wajerumani wanajulikana kwa over engineering hawana mpinzani. Making basic functions in a complex way.
 
Mshauri wa zamani wa Rais wa Ukraine akili kuwa Maghala makubwa ya risasi za NATO yameharibiwa usiku wa kuamkia leo. "Hivi hatimaye tutaacha lini kuweka mayai yetu yote (risasi) kwenye kikapu kimoja (katika ghala moja)? .. Kama huko Pavlograd na Khmelnytsky ..." Kasyanov.
Hahahahahah sasa kazi inaanza baada ya hapo. Ni kuiteketeza Patriot AD moja ikikalishwa tu biashara imeisha.
 
It was a hot night in several regions of Ukraine at once. Attacks on enemy military targets were carried out by Kalibr and Geraniums in Kiev, Khmelnytsky, Ternopil, Ivano-Frankivsk and Kharkiv regions, as well as in the territory of Donbass controlled by the Armed Forces of Ukraine - Kurakhovo and Pokrovsky district. The most successful targets, as can be judged from the footage from local publics, were hit in Ternopil, where a powerful fire started after the attack, most of all resembling a destroyed ammunition depot, and in Kharkiv. An air raid alert was announced throughout Ukraine around 3 am, and it was released only after 5 am.
 
Back
Top Bottom