Hauna option zaidi ya kukasirika maana ukiamua kutetea hoja yako huwezi, njoo na data hapa badala ya kuniita chenga.
Russia mwaka 1992 wakati USSR inavunjika ilikuwa na watu milioni 148, mwaka 2022 ilikuwa na watu milioni 144. Mlishajiuliza kwanini tangu 1992 hadi 2022 kuna upungufu wa watu milioni 4?
USSR ndio nchi ya kwanza duniani kuruhusu utoaji mimba mwaka 1920 miaka hiyo kipindi kutoa mimba ni kosa la jinai nchi za Ulaya, tena mwaka huo Ufaransa ilipiga marufuku kutumia hata njia za uzazi wa mpango. Kuna miaka mimba zilizokuwa zinatolewa Urusi ni nyingi kuliko watoto wanaozaliwa.
Bado unaongeza ulevi wa kupindukia, ajari za barabarani nyingi (mlishajiuliza kwanini magari ya Urusi yalizingatia sana dash cam?), ugumba kwa wanaume, lower life expectancy, talaka za kutosha; hapa Urusi ina talaka nyingi mno kwa miaka mingi na ukitaka kujua hilo, tangu V.I. Lenin afariki maana yeye ndio alikuwa na familia yake mpaka mwisho, sikumbuki kiongozi wa Urusi kuishi na familia
View attachment 2611918
Stalin mke wake alijiua, mtoto wake alifanya makusudi auwawe Ujerumani na mwanae mwingine alikimbilia Marekani. Yani nyinyi mnaona Urusi ya maana ila watoto wa vigogo wanaitoroka sana hiyo nchi. Putin mwenyewe hakai na familia na alimtariki mke wake, in fact ni vigumu sana kuona kiongozi wa Urusi kaambatana na mke wake na familia, hata picha si rahisi kuziona.
Mnaipenda Urusi na hamuijui
View attachment 2611922
Tuorodheshe ya Marekani mkuu?The list is too long,and very disturbing,and this is to mention only a few.
1.Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutumia Atomic bomb,na kuua watu zaidi ya 100,000 Japan.
2.Marekani katika vita vyake vya kulazimisha nchi kufuata matakwa yake imeua zaidi ya watu millioni 20!
3. Marekani imeua viongozi wa nchi zaidi ya 10 na kupindua serikali zaidi ya 20 duniani kote katika harakati zake za kuiba rasilimali za Dunia.
4.Marekani inatekeleza mikakati mbali mbali ya kuua na kupunguza kwa siri binadamu duniani kote ikiwemo uzazi wa mpango,Chanjo,vyakulasumu,dawasumu nk.nk.Marekani pia ina a global network of over 300 biolab facilities all over the World,all aimed at killing people..
5.Marekani kwa kutumia CIA ndiyo muuzaji mkubwa wa siri wa Heroin kuliko nchi yeyote duniani.Umeshawahi kuwaza kwa nini Kilimo cha Heroin Poppy Afghanistan kinashamiri wakati M arekani wapo?Yes,CIA wakishirikiana na Taliban ndiyo walimaji na wauzaji wakubwa wa Heroin duniani,bila kusahau matumizi ya Opiods kama Fentanyl Marekani kwenyewe ambazo CIA ndio wahamasishaji wakubwa kwa siri wa matumizi yake.Opiods zimeharibi jamii ya Wamarekani kabisa.
6.Marekani inaiba mchana kweupe na kwa kutumia hila rasilimali za nchi mbalimbali zikiwepo Urusi,Syria,Iraq,Libya,Congo DRC nk.nk.
7.Marekani kwa kutumia Hollywood imeharibi moral values za Dunia nzima.
8.Marekani kwa kutumia covert means inaendelea kuharibu hali ya hewa ya Dunia nzima.
9.Marekani ina vituo vya kijeshi zaidi ya 800 Dunia nzima kwa nia ya kutekeleza mikakati yake miovu ya kupindua nchi huru kwa nia ovu za kuiba rasilimali na kutekeleza matakwa yake maovu dhidi ya nchi zingine.
10.Marekani kwa kutumia its' technological advantage ina leta havoc duniani kote kwa kuleta mafuriko,volcanoes,Hurricanes,Tsunamis,joto kama lilitokea India,Ulaya,na hata Marekani kwenyewe na majanga mengine mengi duniani kote.Serikali ya Marekani ni ovu sana,na haijalishi ni Democrats au Republicans,ni mwendo mdundo.
On the other hand Urusi haihusiki na yoyote kati ya haya maovu.Itoshe kusema kwamba haijalishi unaanzaje,unavyomaliza ndio jambo la msingi zaidi.