Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Prigo amewaingiza chaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] la moto cluster bomberLeo bukhumut ilipambwa kwa maua.View attachment 2611981
Prigo amewaingiza chaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] la moto cluster bomberLeo bukhumut ilipambwa kwa maua.View attachment 2611981
Noted. Mtaalamu wa Kitanzania tunakuitaji sana ktk jeshi letu, nakushauli peleka applications JWTZ Ili na sisi at list tuwe na cruise missilesJamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...
Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).
All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.
Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Timu upinde mnashida sanaMkizingua ntawazingua na ntamwaga manyanga - Boss wa Wagner security group
Boss wa like kundi la kukodiwa amesema kama Urusi itazingua basi ataamuru majeshi yake yote yaondoke Burkhart.
![]()
Yevgeny Prigozhin, the founder of the Wagner Group [AP Photo]
![]()
- Wagner boss Yevgeny Prigozhin threatens to withdraw his mercenary fighters from the eastern Ukrainian city of Bakhmut, blaming Russia for a lack of ammunition. 5th May 2023.
Sipo hapa kubisha na watoto'Lakni hata hiyo uliyoisoma umeifuatilia nakujua alichoandika.
Amesema huko juu ni wapi alisema wanatumia machine za kufulia kutengenezea missiles.
Nataka tumzodoe kwa pamoja tuletee screen shot tuone ili tuzidi kumdharau.
PUMBAFU. Eti kama kuchagua nachagua hii kwasababu nyonyonyo. Unajua nini ndugu? Acha upumbafu wa kujimwambafai ktk vitu ambavyo huna akili navyoUkiniambia nichague kati ya Iskander na Kinzhal nachagua Iskander kwa sababu ina warhead kubwa na gharama ndogo.
Kinzhal ni gharama zaidi kutengeneza na haina madhara makubwa ndio maana wanaitumia kwa kudolishia. Hypersonic missile inabidi iwe na layer kubwa ya materials ambayo yatakinga electronics dhidi ya joto kali. Hivyo linakuwa zito na inabidi libebe warhead yenye kilo chache na kuwa na range ndogo. Badala yake si unatumia stealth missiles kama LRASM ya Marekani, ni bora Wachina wanatengeneza hypersonic ziwe anti ship mbadala wa zile series za DF missiles kama DF-17. Hapo ukiwa na warhead ndogo na ile kinetic energy inatosha kuvunja meli.
Russia electronics industry yao ni dhaifu labda Kinzhal inategemea inertia navigation ambayo inafaa kwa stationary targets. Ile haina mambo mengi ila haiko very accurate.
Kuna cruise missiles za Russia zina madhara kina Kitchen hizo Kh series, Raduga na Kalibr. Ingawa inabidi ufanye evasion ya AD za Ukraine au ikiwezekana uziharibu.
Sawa lakini wanaosema zimehusika walipigwa , SASA Mimi na wewe ambao hata kutengeneza kijiko hatuwezi Kwa Nini tubishane . Mimi ningefurahi kama sote tuwe tu watazamaji. Tuache ushabikiJamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...
Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).
All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.
Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Weka ushaidi hapa. Haya ndio matatizo ya kuamini kila unachosikiaEngineer wa Russia alisema hakuna Air defense system inayoweza kutungua Kinzal, imekuja kutunguliwa na Kombora ya 90s
PMC wakapumzike kwanza, Chenchen waingie kuichukua Bakhmut, PMC wakishapata nguvu wanarudi tena uwanja mapambanoHead of PMC "Wagner" Yevgeny Prigozhin said that he is already contacting representatives of Ramzan Kadyrov to start transferring positions in Bakhmut (Artemovsk) "A little more than two square kilometers remain in Bakhmut. Bakhmut will undoubtedly be taken by Akhmat forces," — Prigozhin
PUMBAFU. Eti kama kuchagua nachagua hii kwasababu nyonyonyo. Unajua nini ndugu? Acha upumbafu wa kujimwambafai ktk vitu ambavyo huna akili navyo