Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Huyo Prigozhin aongea "Comedy" huku vikosi vyake leo (baada ya kikao cha baraza la Usalama) vikiwa vimeagizwa na Russia viongeze nguvu hapo Bakhmut kutokea sehemu zingine ambazo wameshikilia,.Habari za Bakhmut ni very strategic mkuu.Wanamvuta Zelensky arudi Ukraine akidhani a window of opportunity imepatikana ya kuanzisha the much anticipated offensive,na akirudi tu Ukraine,wamemaliza.
Si unajua alikimbilia Ulaya mara baada ya kudanganywa na US wa-launch zile drones mbili za kujaribu kumuua Putin.
Kuna taarifa kwamba Russia imepanga kufanya mashambulizi makali kuelekea jumatatu ambayo ni siku ya ushindi kwa wanazi.
Ni strategia tu ya Russia lakini uhalisia ni kitu kingine.