T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Inabidi uelewe context ya maandishi ya mtu. Hatuandiki kama bots humu, mimi niki-accuse mtu namletea ni wapi aliandika hivyo ili tuendelee, sipendi kuandikia mate na wino upo. Na kuna nyakati watu wanaandika kwa mocking, mbona pro Russians waliosema Finland itaganda wapo humu humu.Hakuna mtu mwenye chuki nae, lakini Kuna muda taarifa zako zinajipinga kwahio huishia kudharauliwa na watu wengine, Pengine taarifa zake zingekua na mantiki angeacha kutumia hisia kuziwasilisha. Lakini pia atayumbisha watu wachache ambao wako weak kwenye kuchambua taarifa zakweli. Mfano T14 Armata anaamini taarifa zote zenye favor Kwa west pamoja na USA nizakweli nawale wote wanaozipinga siwakweli. Jambo lingine linalofanya watu wampinge Kuna muda anapinga maandishi yake mwenyewe kuwa yasichukuliwe maanani ,aliwahi kusema RUSSIA wanatumia chip za kwenye washing machine kutengenezea vifaa vya kivita. Baadae akasema taarifa hizo zilitolewa na west nayeye sio msemaji wao, sasa hapo lazima adhauraulike.
Sasa watu humu wanakuja na zile "nyinyi mlisema" na nawauliza tulisema sisi akina nani, na kama nilikuwa mmojawapo.
Nikiandika silazimishi mtu aamini, ingawa siandiki kupotosha. Asiyetaka atafute atakapoamini mwenyewe ila mwisho wa siku facts zinajitenga na hisia. Naomba mnionyeshe wapi nilisema Russia wanatumia chips za washing machines, sikumbuki nilisema wapi. Ujue mtandaoni kuna NAFO na Vatniks na hizo chips za washing machines ilikuwa ni mock moja common sana pale kifaru cha Russia kilivyokutwa na chips za Western wakati kampuni hizo zishafungiwa kuuza parts Russia kwenye sanctions. Nimekumbuka nitaandika kuhusu hivyo vifaru