Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mm ni pro Russia lakini katika mtu ambao sijawahi kumuelewa na sintakuja kumuelewa ni huyu waziri wa Ulinzi wa Urusi.
Ni jamaa fulani Snich alafu ni mtu anaye penda kujipendekeza sana ili Putin amuone yy ndo bora.
Sasa hivi amesha ona ya kuwa akicheza huyu bosi wa Wagner atakuja kumpiga bao mbele ya putin hivyo ameanza kuwabania kwa makusudi Wagner silaha ili wasiendelee kufanya vizuri kwenye uwanja wa vita.
Na hii tabia ya kuwabania silaha Wagner ndo kumeifanya Bakhihumt isitekwe kikamilifu mpaka sasa.
Usitegemee maajabu kutoka kwa Shoigu, ni Civil Engineer mmoja hana makuu and not ambitious at all. Ni mtu hawezi mpinga boss, na ukiwauliza Warusi wataje hata watu watano wanaoweza kuwa Rais baada ya Putin yeye hayupo. Hapendi siasa na mikiki, na ni wa Tuva anaonekana kama sio asili original ya Warusi na anabaguliwa kiasi kwenye Urais. Hivyo anamfaa Putin kuliko anavyolifaa jeshi.

Chief of General Staff yule General Gerasimov naamini ni mzuri CV yake kwenye First Chechen war ni nzuri na alipoteuliwa wananchi, wapinzani na jeshi lilikuwa na imani nae. Mazingira anayofanyia kazi ndio yako vile ina naamini kwenye uwezo wake.

Waziri Mkuu wa sasa Mishustin kapoa mno yule mtaalamu wa uchumi hana mambo mengi. Putin anazungukwa na Yes men, na Yes men kawaida yao huwa hawana uwezo mkubwa au wakiwa nao hawapingi matakwa ya mkubwa wanakuwa na uchawa na kujipendekeza.

Kitu kingine, Prigozhin msahau kabisa kwenye nafasi yoyote serikalini. Hana elimu na ana CV chafu kabla hata hajaanzisha Wagner. Urusi ina mkono wa chuma ila sio wazembe kiasi hicho wakubali mkuu wa mercenary group aongoze taasisi nyeti. Alafu jeshi hulipatii mtu linamuona kiazi likakubali, Putin alilazimika kumbadili mkubwa jeshini baada ya waziri wa ulinzi kuwa mkali na mkuu wa jeshi akataka huyo waziri akafundishwe kwa miezi mitatu kabla hajakaa ofisini. Jeshini kuna vichwangumu. Baadae huyo waziri alihamishwa ndio akaja Shoigu, huyo alikuwa vizuri sana na ndio alianzisha modernization program ya silaha na kuunda silaha mpya kwa kasi. He was a good administrator yupo sahivi kwenye uchumi.

Urusi haina ukali na ukorofi kama USSR ila hiyo USSR watu walikaa kikao cha ghafla wakamuondoa Khruschev akiwa likizo na Leonid Brezhnev akawa mkuu wa nchi, hilo linawezekana hata sasa.
Ni nchi mnakaa miaka 20 bila mabadiliko ila leo unalala kesho unaamka kila kitu kimebadilika ndani ya usiku mmoja.
 
Kwamba muda wowote hata Putin anaweza kung'olewa ?....

Putin ni mahiri sana kwa kuwalisha sumu mahasimu wake....kupanga kumuondoa kwa sasa ni hatari mno.
 
[emoji845][emoji635][emoji2526]Russian Aerospace Forces hit the base of foreign instructors of Ukrainian Nazis in the Chernihiv region

[emoji3502]"The operational-tactical aviation of the grouping struck at the point of temporary deployment of foreign instructors, the concentration of personnel, weapons and military equipment of the 163rd separate battalion of the 119th separate territorial defense brigade in the area of the village of Lizunovka," said the head of the group's press center "West" Colonel Zybinsky.
[emoji3502]Also, the RF Armed Forces hit sabotage and reconnaissance groups and disrupted the rotation of 4 units of the Armed Forces of Ukraine in the Kupyansk direction near the villages of the Kharkov region: Kamenka, Novomlynsk, Tinkovka, as well as in the Stelmahovka area in the LPR /Ministry of Defense/iz.ru/
t.me/RVvoenkor
 
The new Russian electronic warfare systems against Kiev of the new type that are in the hands of RuAF: examples include Palatin, Krasukha and Leer proved well for its intention of use.

Short-range emitters make it possible to permanently disable and damage enemy electronics.
IMG_20230505_132155.jpg
 
Usitegemee maajabu kutoka kwa Shoigu, ni Civil Engineer mmoja hana makuu and not ambitious at all. Ni mtu hawezi mpinga boss, na ukiwauliza Warusi wataje hata watu watano wanaoweza kuwa Rais baada ya Putin yeye hayupo. Hapendi siasa na mikiki, na ni wa Tuva anaonekana kama sio asili original ya Warusi na anabaguliwa kiasi kwenye Urais. Hivyo anamfaa Putin kuliko anavyolifaa jeshi.

Chief of General Staff yule General Gerasimov naamini ni mzuri CV yake kwenye First Chechen war ni nzuri na alipoteuliwa wananchi, wapinzani na jeshi lilikuwa na imani nae. Mazingira anayofanyia kazi ndio yako vile ina naamini kwenye uwezo wake.

Waziri Mkuu wa sasa Mishustin kapoa mno yule mtaalamu wa uchumi hana mambo mengi. Putin anazungukwa na Yes men, na Yes men kawaida yao huwa hawana uwezo mkubwa au wakiwa nao hawapingi matakwa ya mkubwa wanakuwa na uchawa na kujipendekeza.

Kitu kingine, Prigozhin msahau kabisa kwenye nafasi yoyote serikalini. Hana elimu na ana CV chafu kabla hata hajaanzisha Wagner. Urusi ina mkono wa chuma ila sio wazembe kiasi hicho wakubali mkuu wa mercenary group aongoze taasisi nyeti. Alafu jeshi hulipatii mtu linamuona kiazi likakubali, Putin alilazimika kumbadili mkubwa jeshini baada ya waziri wa ulinzi kuwa mkali na mkuu wa jeshi akataka huyo waziri akafundishwe kwa miezi mitatu kabla hajakaa ofisini. Jeshini kuna vichwangumu. Baadae huyo waziri alihamishwa ndio akaja Shoigu, huyo alikuwa vizuri sana na ndio alianzisha modernization program ya silaha na kuunda silaha mpya kwa kasi. He was a good administrator yupo sahivi kwenye uchumi.

Urusi haina ukali na ukorofi kama USSR ila hiyo USSR watu walikaa kikao cha ghafla wakamuondoa Khruschev akiwa likizo na Leonid Brezhnev akawa mkuu wa nchi, hilo linawezekana hata sasa.
Ni nchi mnakaa miaka 20 bila mabadiliko ila leo unalala kesho unaamka kila kitu kimebadilika ndani ya usiku mmoja.
Sasa Kama hataki mambo mengi kinacho mfanya aihujumu Wagner kwa makusudi ni nn?
Lakini pia kumbuka huyu Shoigu alisha wahi kuzenguana na kiongozi wa Chechnia kwa sababu ya usnich wake.
 
The General Staff of Ukraine's Armed Forces published photos of the IRIS-T air defense system on combat duty in Ukraine.

Ukraine has so far received two IRIS-T systems from Germany.

Photos: Ukraine's General Staff/Facebook

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli,hapo Kuna kitu Mrusi anataka kufanya ndani ya ukreni anatafuta justification.drone haiwez toka mbali kwote isionekane.Tuache ushabiki tusubiri Nini kitatokea
Mkuu hii ni TG channel ya ukrein hebu soma hapa Chini labda utaelewa kinachoendelea.

Our source reports that at a closed conference call in the Office of the President, decisions were made to eliminate the Russian "tops" before the offensive.
The task of such murders is to intimidate the systemic elite of the opponent. Plus, many will refuse to support the system in order to save their own skin - this is an excellent trump card.

The West has long since tacitly agreed to any such action by the Office of the President. Up to a blow to the Kremlin or the State Duma.
Kama unajua kirusi soma hapa
#Слухи
Наш источник сообщает, что на закрытом селекторном совещании в Офисе Президента были приняты решения о ликвидации российских «топов» перед наступлением.
Задача таких убийств - это запугивание системной элиты оппонента. Плюс к этому от поддержки системы будут отказываться многие, чтобы спасти свою шкуру - это отличный козырь.

Запад уже давно дал негласное согласие на любые такие действия Офиса Президента. Вплоть до удара по Кремлю или ГосДуме.
 
Sasa Kama hataki mambo mengi kinacho mfanya aihujumu Wagner kwa makusudi ni nn?
Lakini pia kumbuka huyu Shoigu alisha wahi kuzenguana na kiongozi wa Chechnia kwa sababu ya usnich wake.
Wote hao wanapigania maslahi yao. Gerasimov ashafikia umri wa kustaafu na kadumu muda, ni matumaini yangu atastaafu operation ikiisha. Shoigu kadumu pale sababu ya kuwa ndio mzee, si kwamba ana maajabu kiutendaji. Kadyrov pale Chechnya hawampendi, kiuhalisia Chechens hawapendi kuwa kwenye Federation wanataka kujitenga na vile ni waislamu wanabaguliwa kiasi fulani. Urusi na Ukraine wana ubaguzi wa dini.
Kadyrov ni rafiki yake Prigozhin na Gerasimov ni mtendaji anayeratibu maamuzi mengi ya Shoigu. Huwezi kuta MOD, Mkuu wa Jeshi na Chief of Staff hawaelewani sasa hilo halitokuwa jeshi.

Wote wanalindwa na Putin na wao pia wanamlinda. Vigumu yeyote kati yao kuumizwa kama hajakosana na Putin. Au ikitokea pressure kubwa wa kutolewa kafara. Ugomvi wao ni kujipendekeza, Prigozhin akifanya vizuri atawaaribia jeshi hivyo wana wivu. Tangu wapo Syria dhidi ya ISSI walikuwa wanaomba nia. Kadyrov kiherehere na kukokoa jeshi hivyo halimpendi
 
Prigozhin alikuwa mfungwa hivyo haya mambo hayamtishi. Alafu Wagner ni njia yake ya kupata hela na lazima afuate serikali yake imemuagiza nini. Mambo ya vifo hata jeshi linapata.

Prigozhin ni kama Hemedti, Wagner ni kama Janjaweed na Putin ni kama al Bashir. Unatengeneza kundi lenye silaha ili liwe buffer kati yako na jeshi usijepinduliwa. Vilevile unatumia kundi hilo kufanyia vitu vitakuharibia CV au morale ya jeshi. Hili ufanikiwe lazima jeshi na hilo kundi visielewane hata makamanda wake wasipendane kiasi kwamba hawawezi shirikiana. Na wanakuwa na hofu kwa mpinzani hivyo akitaka kuchukua nchi wanakupigania maana akiwepo madarakani atawakomesha. Hata Interahamwe pale Rwanda waliua kwa sababu hizo hizo.

Tukirudi nyuma baada ya Black October constitutional crisis serikali ya Rais Boris Yeltsin iliamua kuipa silaha wizara ya dharura ili iwe buffer endapo jeshi litataka kuiondoa serikali maana bunge lilibaki kidogo tu. Kwanza wabunge walifungwa wakapigwa njaa. Picha ni mwaka 1993 kifaru kimepiga jengo la bunge, wanajeshi wa kuzuia ugaidi wakaingia. Bunge lilimuondoa Rais Yeltsin na kumchagua Makamu wake ndio awe Rais wa mpito. Ndio maana hadi leo Urusi haina cheo cha Makamu, Yeltsin alibadili katiba na ndio mwanzo wa kifo cha demokrasia ya UrusiView attachment 2610767

Baadae sana Putin akiwa Rais alimtoa Civil Engineer Sergei Shoigu atoke wizara ya dharura awe waziri wa ulinzi. Prigozhin alikuwa mpishi wa Putin miaka ya zamani ila akafungwa, baadae alitoka sasa sijui kama alimaliza kifungo. Ni mwaminifu kwa Putin hawajakutana njiani, picha ni Putin na Prigozhin mwaka 2011View attachment 2610764

Putin anawachezesha ngoma yeye anawaangalia tu wabishane wakimpigania boss. Kila mmoja anatetea nafasi yake ila ikitokea Putin anadondoka ghafla yasije yakajitokeza yaleyale ya Valentiy Beria wa NKVD dhidi ya kina Nikita walipomaliza mazishi ya Stalin. Beria alipewa summary execution wakiwa kwenye kikao tena akiwa anawafokea, kesi siku hiyohiyo na akawa executed palepale. Na waliosaidia hivyo ni Nikita pamoja na mkuu wa majeshi Marshall Zukhov ambaye jeshi lilikuwa na chuki sana na BeriaView attachment 2610766
Umeandika mengi mkuu, vipi na Blackwater na founder wake ERIK PRINCE pamoja na muendelezo wake toka 2009?. Vina uhusiano Gani na utawala wa USA?.
 
The first three of 16 air defense radars Lithuania crowdfunded for Ukraine have been delivered, the non-profit organization Blue/Yellow reported on May 4.

"Other radars are being prepared for dispatch, documents are in order. Due to the extremely sensitive air defense situation in Ukraine, we cannot disclose any further information yet. Information will be updated," the organization wrote.

Learn more: NGO: First 3 of 16 crowdfunded air defense radars delivered by Lithuania to Ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Prosecutor General of Ukraine Andriy Kostin and Executive Director of Europol Catherine De Boll discussed the involvement of Europol in the work of the Joint Investigative Team (JIT).[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]The United24 fundraising platform collected $325 million in a year to support Ukraine, according to Mykhailo Fedorov, Ukrainian Deputy Prime Minister for Innovations, Development of Education, Science and Technology.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1086]Czech President Petr Pavel presented Volodymyr Zelensky with a CZ 75 semi-automatic pistol.

“As a sign of respect for heroism, I presented Volodymyr Zelenskyy with the legendary CZ 75, serial number 22,” he wrote.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkizingua ntawazingua na ntamwaga manyanga - Boss wa Wagner security group

Boss wa like kundi la kukodiwa amesema kama Urusi itazingua basi ataamuru majeshi yake yote yaondoke Burkhart.

AP23098494893052-1683276253.jpg

Yevgeny Prigozhin, the founder of the Wagner Group [AP Photo]

2023-05-05T090211Z_1834842969_RC29S0AIK0B2_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-PRIGOZHIN-BAKHMUT-1683281786.jpg

  • Wagner boss Yevgeny Prigozhin threatens to withdraw his mercenary fighters from the eastern Ukrainian city of Bakhmut, blaming Russia for a lack of ammunition. 5th May 2023.
 
[emoji298]️Ukraine trained 10,000 drone operators as part of the Drone Army project, the Minister of Digital Transformation Mykhailo Fedorov reported.

The Minister added that it is planned to launch 60 strike companies of drones.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkizingua ntawazingua na ntamwaga manyanga - Boss wa Wagner security group

Boss wa like kundi la kukodiwa amesema kama Urusi itazingua basi ataamuru majeshi yake yote yaondoke Burkhart.

AP23098494893052-1683276253.jpg

Yevgeny Prigozhin, the founder of the Wagner Group [AP Photo]

  • Wagner boss Yevgeny Prigozhin threatens to withdraw his mercenary fighters from the eastern Ukrainian city of Bakhmut, blaming Russia for a lack of ammunition. 5th May 2023.
Nakazia [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Wagner Chief Threatens to Pull Out of Bakhmut to Avoid 'Senseless Death'

Addressing President Putin directly, Yevgeny Prigozhin said the move was necessary due to a lack of ammunition and said his fighters were "licking their wounds."

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nakazia [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Wagner Chief Threatens to Pull Out of Bakhmut to Avoid 'Senseless Death'

Addressing President Putin directly, Yevgeny Prigozhin said the move was necessary due to a lack of ammunition and said his fighters were "licking their wounds."

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
wale wa 98% Bakhmut taken tunawataka waje apa.
 
Back
Top Bottom