Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Prigozhin anawakoromea maboss wa jeshi, hapewi supplies za kutosha
Kwanini asijiondoe tu hapo Bakhmut aliache jeshi la Urusi pekee kuliko kuweka rehani maisha ya mamluki wake ?
Prigozhin anawakoromea maboss wa jeshi, hapewi supplies za kutosha
Kama Ukraine ilipopigwa since last year, Tanzania tukatikisika sana kiuchumi hadi Bi Mkubwa akaanzisha pambio la ^hii imetokana na vita huko Ukraine,^ unaweza kuona hapo nchi gani ni kubwa kati ya Ukraine na Bongo.Tanzania 947,300km².... Ukraine 603,550km² ....kwako hapo kubwa ni IPI!!?
Anazungumzia ukubwa wa eneo (km za mraba) sio uchumi.Kama Ukraine ilipopigwa since last year, Tanzania tukatikisika sana kiuchumi hadi Bi Mkubwa akaanzisha pambio la ^hii imetokana na vita huko Ukraine,^ unaweza kuona hapo nchi gani ni kubwa kati ya Ukraine na Bongo.
Tatizo limeanzia hapa (italic/bold/red). Nchi yako ipo kwenye matatizo, halafu unakimbia nchi yako, na bado unaongea ukitegemea usikilizwe!!Mr Kasyanov left Russia last year and is now highly critical of the Kremlin's actions in Ukraine, despite once working closely with Putin.
Huyo hana tatizo na Urusi ila ana tatizo na Putin, Jamaa alikimbia nchi kuhofia maisha yake sababu ni mkosoaji wa siasa za Putin ikiwemo uvamizi wake huko Ukraine....Tatizo limeanzia hapa (italic/bold/red). Nchi yako ipo kwenye matatizo, halafu unakimbia nchi yako, na bado unaongea ukitegemea usikilizwe!!
Nadhani huyu aongezwe kwenye kesi hii yawezekana amehusika kuratibu tukio, maana anajua jiografia ya Kremlin.
Huyo wanamuua very soon.Prigozhin anawakoromea maboss wa jeshi, hapewi supplies za kutosha
In the same piece, Hillary Clinton spoke of how the war might come to an end:Bill Clinton said he realised in 2011 it was “just a matter of time” before Vladimir Putin would move on Ukraine after a chilling discussion with Russia’s president in Davos, Switzerland.
During that encounter, Clinton said, Putin rejected a US-brokered deal agreed by his predecessor, Boris Yeltsin, to respect Ukraine’s territory in exchange for Kyiv relinquishing its Soviet-era nuclear arsenal.
“Vladimir Putin told me in 2011 — three years before he took Crimea — that he did not agree with the agreement I made with Boris Yeltsin,” the former US president recalled. “He said . . . ‘I don’t agree with it. And I do not support it. And I am not bound by it.’ And I knew from that day forward it was just a matter of time.”
To end hostilities, Hillary Clinton argued, Ukraine must either defeat Russia or at least regain the territory lost in the east since Russia’s invasion last year. “They need leverage,” she said. “I wouldn’t trust him [Putin] at a negotiating table under any circumstances, unless Ukrainians – backed by us – have enough leverage.”
US wala hataki vita viisheHii vita kwa hiki kitendo cha drone kupiga Kremlin naona kila mmoja anasema ahusiki, hii ina maana Russia bado ina uwezo wa kuchukua hatua zaidi au maamuzi magumu katika kulipiza kisasi au kutoa onyo. Hii inaweza pelekea hii vita kuja kivingine kitu ambacho Bw. Zele akaona atokomee kusiko julikana kwa kuogopa kuliwa kichwa, US nae anakana ahusiki, Zele amekana kuhusika kwenye vyombo vya habari hii ni kama kuomba msamaha, sasa tujiulize anaomba msamaha wa nini? Hii ina maana Russia can go next step kwenye hii vita kitu kinachohofiwa.
Who can be trusted? Marekani? wake up!Bill Clinton: I knew in 2011 it was 'just a matter of time' before Putin attacked Ukraine
The FT this morning is carrying quotes from Bill Clinton in which he says that he knew in 2011 it was just “a matter of time” before Vladimir Putin attacked Ukraine.
Citing an appearance by the former US president alongside his wife Hillary, Joshua Chaffin writes:
In the same piece, Hillary Clinton spoke of how the war might come to an end:
=========================
Putin and Russia can never be trusted.
Tanzania ni kubwa by area. Hizi ni km².Mbona figganigga kwenye genge lake kule anatuambia Tanzania ni kubwa kwa UKRAINE
Fikra zako zinaelekea Saudhafrika, mkuu. Hivi unaweza kutenganisha siasa za Putin na Russia. Akili za Kimarekani zimeanza kukumaskinisha, siyo bure.Huyo hana tatizo na Urusi ila ana tatizo na Putin, Jamaa alikimbia nchi kuhofia maisha yake sababu ni mkosoaji wa siasa za Putin ikiwemo uvamizi wake huko Ukraine....
Hao ni vipandikizi toka kitambo.Former PM Mikhail Kasyanov is now a qualified, certified Russian spy overseas.
Russia ni zaidi ya Putin.....Fikra zako zinaelekea Saudhafrika, mkuu. Hivi unaweza kutenganisha siasa za Putin na Russia. Akili za Kimarekani zimekuharibu sana.
Ni sahihi sijawahi kufahamu kwa nini wananchi USA wanamkubali sana Putin, research ndogo Putin ana video fupi nyingi YouTube, ukisoma comments utagundua..Fikra zako zinaelekea Saudhafrika, mkuu. Hivi unaweza kutenganisha siasa za Putin na Russia. Akili za Kimarekani zimekuharibu sana.
FYI: Putin anakubalika Marekani kuliko Biden.
Kwanini iishe?US wala hataki vita viishe
Huyu unakuta alikuwa toka kitambo kwenye payroll ya CIA ama M16.Tatizo limeanzia hapa (italic/bold/red). Nchi yako ipo kwenye matatizo, halafu unakimbia nchi yako, na bado unaongea ukitegemea usikilizwe!!
Nadhani huyu aongezwe kwenye kesi hii yawezekana amehusika kuratibu tukio, maana anajua jiografia ya Kremlin.
Msaidie tafsiri kabiiisa 🤗Fikra zako zinaelekea Saudhafrika, mkuu. Hivi unaweza kutenganisha siasa za Putin na Russia. Akili za Kimarekani zimekuharibu sana.
FYI: Putin anakubalika Marekani kuliko Biden.
Mbwa kala mbwa