Kuna kituuuuu..........!
Alas, kuna msemo mmoja unasema "Za kuambiwa changanya na zako". Naam, hiki ndio nachoweza kukiweka kama utangulizi wa kile nachotaka share na Pro Russia wenzangu.
Kuna taarifa imeenea tena imepewa kipaumbele vilivyo na Westerners kama "Taarifa Muhim".
Ni kuhusu Video aliyotoa Kamanda wa "Wagnerites", Prighozin.
Taarifa sitairudia, ila tuanze kuichambua moja kwa moja... Prigozhin ni nani? Ufupi wa utambulisho wake ni Kamanda wa Wagner PMC na "ally" wa karibu sana wa Rais wa Russia Federation, Mzee Vladmir Putin.
Jamaa ana nick name nyingi ila nitapenda nitumie moja tu kati ya hizo ambayo nina sababu nitakazozieleza baadae... Nickname hii ya "Putin's Chef"
Naenda nje kidogo, hii Nick name alipewa au niseme watu wanampa kwasababu anamiliki Migahawa ambayo huihudumia Kremlin.
View attachment 2611194
Kama nilivyosema nimechagua nickname hiyo kuonesha ukaribu alio nao na Mkuu wa nchi na kwa namna gani anavyoaminiwa na Mzee.
Hiyo Video aliotoa binafsi naona ni kama mwendelezo wa "Viroja" vyake na Of course sio mara ya kwanza kuzungumza X akafanya Y. Em tujiulize kwa ukaribu alionao na Putin, Mnadhani hana uwezo wa kuzungumza nae au kwa waziri wa ulinzi Shoigu moja kwa moja hadi ajirecord kivideo akitume mtandaoni [emoji848]?
View attachment 2611215
Huyu mwamba ambae anasimama Mgongoni mwa Putin kwenye meeting za hapa na kule ilhali tumeona wakina "flan" wakiwekwa Meter kadhaa wakiwa na Mazungumzo nae eti aji'record Video kulalamika [emoji1787]?
War is an Art, na kama sanaa zingine akili nyingi kumkichwa ndio uweze kuielewa. Again kuna msemo mwingine unasema. To deceive your enemy, you have to deceive your allies first. Either ndio ipo Applicable hapa eishiiii hatujui.
We have 5 days left kufika May 10th, Nipo hapa kwenye Ziara na Comedy Zele tunasubiri mtoke turudi zetu Kyiv [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!