Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pumbav ,cheki mmiliki wa Wagner povu linavyomtoka ,😃😃😃😃, dupa pawa wa mchongo anashindwa hata kutuma ammunitions watu wanachinjwa kama njiwa , mamaee ,halafu ndio huyo supapoor aje kutunishiana misuli na nchi za magharibi ?na hata miaka miwili hajatoboa .

Halafu taahira mmoja wa Tandale mvaa kobaz anasema Russia supapawa ,
Akili yako ni ndogo. Haina uwezo wa kung'amua mambo kwa mapana yake. Jitahidi uwe na jicho la tatu kwenye kila taarifa inayokuja humu.
 
Tunazidi kuwalambisha hasara tu[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



[emoji298][emoji298][emoji298][emoji298]Over the past day, the Ukrainian troops destroyed seven Russian tanks, 14 armored combat vehicles, 14 artillery systems.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tukuamini wewe au?Yaani Kipanya umechanganyikiwa kabisa,naona jukwaa hili halikufai tena,ondoka,utapata sukari,pressure na ugonjwa wa moyo buuure.
 
Prigozhin alikuwa mfungwa hivyo haya mambo hayamtishi. Alafu Wagner ni njia yake ya kupata hela na lazima afuate serikali yake imemuagiza nini. Mambo ya vifo hata jeshi linapata.

Prigozhin ni kama Hemedti, Wagner ni kama Janjaweed na Putin ni kama al Bashir. Unatengeneza kundi lenye silaha ili liwe buffer kati yako na jeshi usijepinduliwa. Vilevile unatumia kundi hilo kufanyia vitu vitakuharibia CV au morale ya jeshi. Hili ufanikiwe lazima jeshi na hilo kundi visielewane hata makamanda wake wasipendane kiasi kwamba hawawezi shirikiana. Na wanakuwa na hofu kwa mpinzani hivyo akitaka kuchukua nchi wanakupigania maana akiwepo madarakani atawakomesha. Hata Interahamwe pale Rwanda waliua kwa sababu hizo hizo.

Tukirudi nyuma baada ya Black October constitutional crisis serikali ya Rais Boris Yeltsin iliamua kuipa silaha wizara ya dharura ili iwe buffer endapo jeshi litataka kuiondoa serikali maana bunge lilibaki kidogo tu. Kwanza wabunge walifungwa wakapigwa njaa. Picha ni mwaka 1993 kifaru kimepiga jengo la bunge, wanajeshi wa kuzuia ugaidi wakaingia. Bunge lilimuondoa Rais Yeltsin na kumchagua Makamu wake ndio awe Rais wa mpito. Ndio maana hadi leo Urusi haina cheo cha Makamu, Yeltsin alibadili katiba na ndio mwanzo wa kifo cha demokrasia ya UrusiView attachment 2610767

Baadae sana Putin akiwa Rais alimtoa Civil Engineer Sergei Shoigu atoke wizara ya dharura awe waziri wa ulinzi. Prigozhin alikuwa mpishi wa Putin miaka ya zamani ila akafungwa, baadae alitoka sasa sijui kama alimaliza kifungo. Ni mwaminifu kwa Putin hawajakutana njiani, picha ni Putin na Prigozhin mwaka 2011View attachment 2610764

Putin anawachezesha ngoma yeye anawaangalia tu wabishane wakimpigania boss. Kila mmoja anatetea nafasi yake ila ikitokea Putin anadondoka ghafla yasije yakajitokeza yaleyale ya Valentiy Beria wa NKVD dhidi ya kina Nikita walipomaliza mazishi ya Stalin. Beria alipewa summary execution wakiwa kwenye kikao tena akiwa anawafokea, kesi siku hiyohiyo na akawa executed palepale. Na waliosaidia hivyo ni Nikita pamoja na mkuu wa majeshi Marshall Zukhov ambaye jeshi lilikuwa na chuki sana na BeriaView attachment 2610766
Duh!.
 
Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱🥱
1683358360072.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tukuamini wewe au?Yaani Kipanya umechanganyikiwa kabisa,naona jukwaa hili halikufai tena,ondoka,utapata sukari,pressure na ugonjwa wa moyo buuure.
Mkuu,hayo mambo nilianza kuambiwa tangu mwaka uliopita,mara kichaa,mara stress,mara sonona, lakini nazidi kuwapelekea moto tu[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Baadae mbeleni huko unakuja kuukataa uchambuzi wako kama kuna mtu bado anakuamini atakua mpumbavu wa mwisho.
Mimi nimeacha kufatilia uchambuzi wako baada ya kusema Russia wanatumia vifaa vya washing machine kutengeneza missile
Huyu jamaa ndivyo alivyo toka shule huwa anaongea pointless alafu ulikuwa ukimpinga anakununia
 
Kumuelewa prigo unatakiwa uwe na degree ya mbunge msukuma.

Alisema hana silaha,
Baadae akasema wameteka silaha za ukraine,
Kwa wingi wa silaha walizoteka ana uwezo wa kuzisambaza kwa raia million 1 na zikabakia.

Jana anatwambia anaondoka bakhmut kwa sababu ya silaha.

Usiku anauchoma moto mji wa bakhmut.


Wagner watakwenda africa,
Chechen wataingia mzigoni
Red army watamtwanga bwana kaunta offensive.

Vikosi vilivyopo belarus vitaingia kiev,

Alisikika mpemba kutoka micheweni
Nimecheka Sana mkuu. Umesema ukweli kabisa hata waukrein wenyewe wanakili.

⚡️"Ukrainian sources are, instead of reporting a withdrawal of Wagner Forces, are reporting large amount of Wagner Reinforcements to the sector of Artemovsk, they also see a fresh new detachment of Wagner on the Siversk Front. Whether this is an elaborate distraction for Wagner to open up a secondary front, we will see."
 
TG channel ya Ukraine imethibitisha kuwa nduli Kisha rejea. Soma hapa Chini .
Yesterday, Volodymyr Zelenskyy returned to Ukraine from his tour of Northern Europe - this became clear from his meeting in Kiev with a delegation from Bahrain .

The Bahrain Foreign Ministry confirmed the visit to Kyiv on May 5.
At the same time, the agency draws attention to those aspects of the visit that the Ukrainian side did not mention.

In Kyiv, Minister Abdullatif bin Rashid Al-Zayani called for "the need to stop the war in Ukraine" and "to achieve a political solution to the conflict through peaceful means, negotiations and diplomatic means."

He also reaffirmed Bahrain's position on the need to "start serious negotiations between the parties to the conflict" (Ukraine and Russia), as well as "show restraint and avoid escalation."

Anaejua kirusi soma hapa.
Вчера Владимир Зеленский вернулся в Украину из своего турне по Северной Европе - это стало понятно по его встрече в Киеве с делегацией из Бахрейна.

МИД Бахрейна визит в Киев 5 мая подтвердил.
При этом ведомство обращает внимание на те аспекты визита, которых не упоминала украинская сторона.

В Киеве министр Абдуллатиф бин Рашид Аз-Заяни призвал "к необходимости остановить войну в Украине" и "достичь политического решения конфликта мирными средствами, переговорами и дипломатическими средствами".

Также он подтвердил позицию Бахрейна о необходимости "начать серьезные переговоры между сторонами конфликта" (Украиной и Россией), а также "проявлять сдержанность и избегать эскалации".

Бахрейн в этом контексте поддержал три дипломатических формата - "усилия Его Святейшества Папы Ватикана, мирную инициативу президента Украины и недавние предложения, представленные Китайской Народной Республикой".

Отметим, что за несколько дней до визита в Киев глава МИД Бахрейна встречался с китайским и российским послами.

Сайт «Страна» | YouTube | Прислать новость/фото/видео | Реклама на канале
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2611726
Si unakumbuka pia ile Millitary Spy Satellite ya Marekani iliyoangushwa na Urusi?Ilikuwa ina provide GPS services kwa vifaa vya kijeshi vya Ukraine provided by the US,sasa haipo tena.Inachekesha sana,hadi huruma.Urusi duh,kiboko aisee.
 

Medvedev calls for “physical elimination” of Zelensky following failed assassination attempt on Putin​


 
You know it’s a lie when Tendar writes “likely”

That object with the cracked hole isn’t even metallic, it’s got the brittleness of a ceramic concrete-type material.

Kinzhal missiles are made of multiple alloys, none of which crack like concrete.

He’s also using Ukrainian government propaganda website as evidenceView attachment 2611004
Jamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...

Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).

All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.

Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
 
Kumbe nawe chenga tu, nilikuwa naona unachambuaga vitu vya maana kumbe utumbo mtupu.
Hauna option zaidi ya kukasirika maana ukiamua kutetea hoja yako huwezi, njoo na data hapa badala ya kuniita chenga.
Russia mwaka 1992 wakati USSR inavunjika ilikuwa na watu milioni 148, mwaka 2022 ilikuwa na watu milioni 144. Mlishajiuliza kwanini tangu 1992 hadi 2022 kuna upungufu wa watu milioni 4?

USSR ndio nchi ya kwanza duniani kuruhusu utoaji mimba mwaka 1920 miaka hiyo kipindi kutoa mimba ni kosa la jinai nchi za Ulaya, tena mwaka huo Ufaransa ilipiga marufuku kutumia hata njia za uzazi wa mpango. Kuna miaka mimba zilizokuwa zinatolewa Urusi ni nyingi kuliko watoto wanaozaliwa.

Bado unaongeza ulevi wa kupindukia, ajari za barabarani nyingi (mlishajiuliza kwanini magari ya Urusi yalizingatia sana dash cam?), ugumba kwa wanaume, lower life expectancy, talaka za kutosha; hapa Urusi ina talaka nyingi mno kwa miaka mingi na ukitaka kujua hilo, tangu V.I. Lenin afariki maana yeye ndio alikuwa na familia yake mpaka mwisho, sikumbuki kiongozi wa Urusi kuishi na familia
Lenin-last-photo.jpg

Stalin mke wake alijiua, mtoto wake alifanya makusudi auwawe Ujerumani na mwanae mwingine alikimbilia Marekani. Yani nyinyi mnaona Urusi ya maana ila watoto wa vigogo wanaitoroka sana hiyo nchi. Putin mwenyewe hakai na familia na alimtariki mke wake, in fact ni vigumu sana kuona kiongozi wa Urusi kaambatana na mke wake na familia, hata picha si rahisi kuziona.

Mnaipenda Urusi na hamuijui
IMG_20230506_114009.jpg
 
Jamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...

Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).

All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.

Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Mkuu wewe upo Buguruni,hujawahi kuona Hypersonic Missile,achilia mbali kuitengeneza,kwa hiyo hata ka-experience kidogo huna.Aliyekufundisha Physics mwenyewe anatoka Kibugumo,ana theory tu,dah,leo tukuamini!No,right inside you,you know that is impossible.

Tutamuamini Engineer Mrusi aliyeko kwenye kiwanda kinachotengeneza Kinzhal Hypersonic Missiles,Avangard Glide Vehicles na Zircon Hypersonic Missiles.

You want to tell us this is not true?👉

"Hypersonic missiles such as the Kinzhal are a fairly new breed of weapon that combine superior speed with the ability to maneuver to evade being shot down. Not only are they difficult to detect, but they make radical and unpredictable course changes as they get close to a target.

The Kinzhal, unveiled by Russian President Vladimir Putin five years ago, can accelerate to Mach 5 (five times the speed of sound) and may be capable of speeds of up to Mach 12, with a range to about 1,250 miles. The missile is also believed to be nuclear-capable.

An even more sophisticated weapon, Russia's Avangard hypersonic glide vehicle, can fly at speeds as high as Mach 27, according to the Kremlin. Another hypersonic missile, the Zircon anti-ship missile, has also reportedly been developed, but there are no reports of the Zircon or Avangard being used in combat.

Definition ya Hypersonic Weapon hii hapa👇

Hypersonic weapon

1683365591084.jpeg

Description​

A hypersonic weapon is a weapon capable of travelling at hypersonic speed, defined as between 5 and 25 times the speed of sound or about 1 to 5 miles per second (1.6 to 8.0 km/s).
 
Jamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...

Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).

All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.

Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Ukiniambia nichague kati ya Iskander na Kinzhal nachagua Iskander kwa sababu ina warhead kubwa na gharama ndogo.

Kinzhal ni gharama zaidi kutengeneza na haina madhara makubwa ndio maana wanaitumia kwa kudolishia. Hypersonic missile inabidi iwe na layer kubwa ya materials ambayo yatakinga electronics dhidi ya joto kali. Hivyo linakuwa zito na inabidi libebe warhead yenye kilo chache na kuwa na range ndogo. Badala yake si unatumia stealth missiles kama LRASM ya Marekani, ni bora Wachina wanatengeneza hypersonic ziwe anti ship mbadala wa zile series za DF missiles kama DF-17. Hapo ukiwa na warhead ndogo na ile kinetic energy inatosha kuvunja meli.

Russia electronics industry yao ni dhaifu labda Kinzhal inategemea inertia navigation ambayo inafaa kwa stationary targets. Ile haina mambo mengi ila haiko very accurate.

Kuna cruise missiles za Russia zina madhara kina Kitchen hizo Kh series, Raduga na Kalibr. Ingawa inabidi ufanye evasion ya AD za Ukraine au ikiwezekana uziharibu.
 
Back
Top Bottom