Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aivamie Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO walishamwambia Putin very clear,hawezi pata vyote,achague kimoja,aivamie Ukraine akose Nord Stream 2 au aachane na Ukraine inversion abakize Nord stream 2.

Unafikiri Putin ni mjinga hivyo akose mradi utaofaidisha genereations sababu ya vita Ukraine.

Kila kitu ni leverage boss sio ubabe wa kijinga mnaoupigania huku usio na kichwa wala miguu.

Leo Sergei Lavrov amesema baadhi ya wanajeshi waliokuwa mpakani Ukraine wameanza safari ya kurudi kambini,Hata satellites za Marekani wame confirm movements za wanajeshi ku withdraw.

Vita sio lelemama aisee
Huna hoja kaa kitako uleee wajukuu kama wewe huwezi jibizana na watoto.


Halafu maneno shombo uwe na tahadhar nayo haswa.


Tuoneshe ushahidi ili tumpinge kwamba yeye ni muongo ukishindwa huna hiyo point.
Habari za humu jukwaani ni kipindi kirefu nimekuwa sifatilii vita hivi na sasa hivi natarajia kuwa nanyi kwenye mijadala!!
 
Hilo suala la washing machines nishaomba mlilete na hamna. Mtabadilisha ID mara kibao ila superpower uchwara anawakatisha tamaa
Hatuwezi kurudi zaidi ya page miambili kutafuta hio habari, lakini lazima ujiulize Kwa nini hawasemi HIMARS ndio aliandika habari hio lakini wewe mkuu?.

Hapa pia kumuita Russia ni Supor power uchwara ndio maana watu wengine wanaamua kukejeli kua wewe nimpiga punyeto, huwezi kuiita nchi iliyowekea sunction na mataifa zaidi ya 31 lakini nizaidi ya mwaka uchumi wake unaendelea kuimarika.

Pia kama kweli Russia ingekua Supor power uchwara kama unavyosema wewe, hao super power waukweli wangeweka no fly zone Ukrein, lakini wameshindwa na hawawezi kuweka. Lakini pia tungeyaona yaliyotokea Iraq, Yugoslavia nakwingineko kote ambapo walikusanyana kwenda kuwapiga wanaowaita madikteta.

Kushindwa kwahayo kunaonyesha nikiasi gani wanaiogopa Russia ambayo wewe unaiita Supor power uchwara.
 
Ukraine watungua hypersonic missile ya Urusi kwa kutumia patriot missile air defence.

Mnamo tarehe 4 may jeshi la anga la Ukraine kupitia msemaji wake Mykola Oleshchuk limesema limefanikiwa kutungua kombola la kh-47 lenye ranga ya km 2000(mile 1250) na speed ya mach 10 (mara kumi ya sauti)kwa kutumia patriot ADs ya Kimarekani.

Kombola hili kenye sifa ya kasi na uzito mkubwa linaweza kuharibu milima au hata bunkers.kombola hilo lilirusha kutoka kwenye ndege ya mig-31k kuelekea mji mkuu wa Kyiv.

mpaka sasa kulikuwa hakuna mfumo maalumu wa kutungua aina hii ya makombola hivyo inakuwa ni hatua kubwa sana kufikiwa hususani na jeshi la ukraine.

source;Al jazeera,Politico,The week and Telegram
 
FvaNWCiakAIkMpL

 
Ukraine watungua hypersonic missile ya Urusi kwa kutumia patriot missile air defence.
Mnamo tarehe 4 may jeshi la anga la Ukraine kupitia msemaji wake Mykola Oleshchuk limesema limefanikiwa kutungua kombola la kh-47 lenye ranga ya km 2000(mile 1250) na speed ya mach 10 (mara kumi ya sauti)kwa kutumia patriot ADs ya Kimarekani.kombola hili kenye sifa ya kasi na uzito mkubwa linaweza kuharibu milima au hata bunkers.kombola hilo lilirusha kutoka kwenye ndege ya mig-31k kuelekea mji mkuu wa Kyiv.
mpaka sasa kulikuwa hakuna mfumo maalumu wa kutungua aina hii ya makombola hivyo inakuwa ni hatua kubwa sana kufikiwa hususani na jeshi la ukraine.

source;Al jazeera,Politico,The week and Telegram
Yani mnamezeshwa propaganda za kipumbavu mpaka basi!

Ukraine walitangaza wamedungua hypersonic ya Urusi wakaweka na ushahidi wa zege lenye muundo huo.

Cha ajabu wakaulizwa inamaana Urusi inatengeneza hayo makombora kwa kutumia zege? Jibu hawana.

Hamna kombora linalotengezwa kwa zege enyi wapumbavu 
Ukiangalia kwa makini unaona zege lenyewe walilotuwekea kama ushahidi limeotea hadi majani. Check hapo 👇

70619857-12051049-image-a-74_1683294965651.jpg
70619859-12051049-image-a-75_1683294968523.jpg
70619857-12051049-image-a-74_1683294965651.jpg
70619859-12051049-image-a-75_1683294968523.jpg
70619857-12051049-image-a-74_1683294965651.jpg
Screenshot_20230506-155226.png
 
Wewe jamaa fix sana.
Yaani upo huku Manzese, halafu eti unajua kwa undani President Putin anapolala.

Au uwaga mnalala pamoja...
Hahahahahaha huyoo mwamba huwa ananifurahisha mnooo na uchambuzi wake, ukisoma anachoandika unaweza sema ni kamanda mkubwa mno wa NATO tena yuko mstari wa mbele wa mapigano, kumbe yuko zake Tanzania ametulia
 
Back
Top Bottom