Wakupongezwa marekani anayepigana vita kwenye ardhi ya ukraineDu kweli Ukraine wa kupongezwa.
Wakupongezwa marekani anayepigana vita kwenye ardhi ya ukraineDu kweli Ukraine wa kupongezwa.
Ukiwa Maskani Kisonge unatema cheche eti!?Yule fala anayeitwa himars ni bora abadilishe user name.
Silaha ya mchongo wahuni wameipatia dawa kitambo ndio maana tulikuwa hatuisikii ikileta vurugu zake
Huko aljazeera unapopaamini wamepost bila kuweka picha ya mabaki ya zege, hebu tuletee picha mkuu na sis tuine maana ikitunguliwa hata drone tunawekewaga picha ya mabaki sembuse li kombora kibwa kama hilo
Jamaa anatafuta pa kuchomokea kwa kuzuga kuwa alikuwa anatania ila ni baada ya wachambuzi wenye vichwa smart sana kama Galip Vrl walivomyoosha. Dah Galip alikuwa anacheza nae hadi mwili unasisimka. Binafsi Galip Vrl alifanya nianze kufuatilia huu uzi sikuwa na muda nao hapo kabla.Baadae mbeleni huko unakuja kuukataa uchambuzi wako kama kuna mtu bado anakuamini atakua mpumbavu wa mwisho.
Mimi nimeacha kufatilia uchambuzi wako baada ya kusema Russia wanatumia vifaa vya washing machine kutengeneza missile
Asante Mkuu. Nimeipitia ingawa ni ya miezi miwili iliyopita.
Mbona umeshafungamana tayari?SIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE
Hatari sana huyo mwamba Galip Vrl ,comment zake unasoma kama upo darasani tena pindi la mathe, acha we unatamani asimalize [emoji28][emoji28]
Mkuu msafara wa huyo superpower wenu kwenda Kyiv utafika lini?Hatuwezi kurudi zaidi ya page miambili kutafuta hio habari, lakini lazima ujiulize Kwa nini hawasemi HIMARS ndio aliandika habari hio lakini wewe mkuu?.
Hapa pia kumuita Russia ni Supor power uchwara ndio maana watu wengine wanaamua kukejeli kua wewe nimpiga punyeto, huwezi kuiita nchi iliyowekea sunction na mataifa zaidi ya 31 lakini nizaidi ya mwaka uchumi wake unaendelea kuimarika.
Pia kama kweli Russia ingekua Supor power uchwara kama unavyosema wewe, hao super power waukweli wangeweka no fly zone Ukrein, lakini wameshindwa na hawawezi kuweka. Lakini pia tungeyaona yaliyotokea Iraq, Yugoslavia nakwingineko kote ambapo walikusanyana kwenda kuwapiga wanaowaita madikteta.
Kushindwa kwahayo kunaonyesha nikiasi gani wanaiogopa Russia ambayo wewe unaiita Supor power uchwara.
Waliosema ni kina nani? Leta taarifa ya serikali ya Urusi inasemaje, si umesema ni superpower?Kwa nini wanaosesema ni false flag unapingana nao?.
Hamna physics kwenye ulichoandikaJamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...
Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).
All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.
Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Yesterday, the Ukrainians first claimed that they destroyed a Kinzhal missile with the Patriot defense system and confirmed this by publishing 2 images above. This is while a missile like Kinzhal of Russian caliber cruises is not easily hunted, and hunting it is only the work of the Patriot PAC-3 defense system, not the current PAC-1 and PAC-2 Patriots in Ukraine's possession.After a few hours of such a claim, the Ukrainians themselves rejected this claim. Claim and then denial.
Ila wewe jamaa ndio maana uketokea kidharaulika sana humu Jukwaani kwa uongo wako ukigeugeu wivu, na chuki zako dhidi ya Urusi.Ukiniambia nichague kati ya Iskander na Kinzhal nachagua Iskander kwa sababu ina warhead kubwa na gharama ndogo.
Kinzhal ni gharama zaidi kutengeneza na haina madhara makubwa ndio maana wanaitumia kwa kudolishia.
Russia wana emigration kubwa ila vifo vingi pia ila abortion kuna miaka ilikuwa kubwa kuliko live births.Sidhani kama kuna nchi duniani ambayo wanaokufa ni wengi kuliko wanaozaliwa hata ingekuwa vitani na inashambuliwa na dunia nzima