Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1. Russia ilishindwa kulinda flagship ya Black Sea fleet ile Moskva ikazama.
2. Russia ikashindwa kulinda Kherson bridge ambayo ni strategic kupitisha mahitaji ya vita. Mpaka leo Kherson region Russia inasuasua kutokana na mistake ile, hadi retreat.
3. Russia ilishindwa kulinda HQ za Black Sea fleet mwaka jana hadi maadhimisho ya VD pale yakasitishwa
4. Russia imeshindwa kulinda ikulu dhidi ya drone. Ila sio ajabu maana miaka ya 80 kuna kijana Mjerumani aliendesha Cesna yake akatua Kremlin bila jeshi kujua.

Russia ni superpower, jeshi la pili duniani
Kwa hoja zako hizi unataka kutwambia nini kuhusu kushambuliwa kwa USS Cole, WTC na Pentagon?
 
Akhmat" is ready to advance to Artyomovsk (Bakhmut), several units have already set off in the direction of conducting a military defence — Kadyrov
Fvc_vz5XwAAF8Xj.jpg
 
Kwa hoja zako hizi unataka kutwambia nini kuhusu kushambuliwa kwa USS Cole, WTC na Pentagon?
Hizo incidents zote haikuwa kipindi cha vita, preparedness ya jeshi na ulinzi wa nchi huwa ni mkubwa mkiwa kwenye vita ya nchi na nchi.
1. USS Cole ilikuwa kwenye bandari ya kiraia ya Yemen, sio bandari ya kijeshi na sio nyumbani. Shambulizi ni la kigaidi.
Hii haina ulinganifu wowote na Moskva cruiser ambayo ilikuwa kwenye state of war na inaenda kufanya shambulizi dhidi ya nchi, na iko baharini.

2. Pentagon na WTC zilishambuliwa na magaidi, hakikuwa kipindi cha vita. Hijacking ya civilian airliner sio sawa na unmanned drone ambayo unaharibu kabla hata haijasogea eneo. Na hizo sio ikulu
 
Ila wewe jamaa ndio maana uketokea kidharaulika sana humu Jukwaani kwa uongo wako ukigeugeu wivu, na chuki zako dhidi ya Urusi.
Unajifanya mjuaji wa Kila kitu mwisho wa siku unaharibu.
Juzi hapa umenithibitishia kua USA hatimae wamefanikiwa kupata hypersonic .
Sasa kama wewe unaona hazina maana,wewe na wamarekani ambao wewe unawaabudu nani ana akili?
ambao wamehangaika usiku na mchana kitengeneza na ku test mara Tatu ndipo wakapata hypersonic.?
maneno meeengi utumbo TU.
Utumbo unao wewe mkuu, na siwezi ionea wivu nchi yako hiyo mchuuzi wa gesi. Kuna nchi za kuonea wivu ila sio hilo kubwa jinga. Nitajie nani aliwahi ondoka Marekani kwenda kuishi nchi nyingine akafanikiwa zaidi, nikutajie Warusi zaidi ya watano mamilionea walioenda Marekani wakafanikiwa.

Nimesema kati ya Iskander na Kinzhal ni bora ya Iskander. Kinzhal sio hypersonic pekee, nyinyi ndio kila dawa ya meno mnaita Whitedent. Na nikasema ni bora ya hypersonic za Wachina ambazo ni anti-ship kama JY-21.
 
Yani mnamezeshwa propaganda za kipumbavu mpaka basi!

Ukraine walitangaza wamedungua hypersonic ya Urusi wakaweka na ushahidi wa zege lenye muundo huo.

Cha ajabu wakaulizwa inamaana Urusi inatengeneza hayo makombora kwa kutumia zege? Jibu hawana.

Hamna kombora linalotengezwa kwa zege enyi wapumbavu 
Ukiangalia kwa makini unaona zege lenyewe walilotuwekea kama ushahidi limeotea hadi majani. Check hapo [emoji116]

View attachment 2612130View attachment 2612129View attachment 2612130View attachment 2612129View attachment 2612130View attachment 2612131
Hilo zege lao walisahau kuchora Z kama wafanyavyo kwenye vifaru vilivyokufa kipindi cha vita vya dunia
 
Utumbo unao wewe mkuu, na siwezi ionea wivu nchi yako hiyo mchuuzi wa gesi. Kuna nchi za kuonea wivu ila sio hilo kubwa jinga. Nitajie nani aliwahi ondoka Marekani kwenda kuishi nchi nyingine akafanikiwa zaidi, nikutajie Warusi zaidi ya watano mamilionea walioenda Marekani wakafanikiwa.

Nimesema kati ya Iskander na Kinzhal ni bora ya Iskander. Kinzhal sio hypersonic pekee, nyinyi ndio kila dawa ya meno mnaita Whitedent. Na nikasema ni bora ya hypersonic za Wachina ambazo ni anti-ship kama JY-21.
Wewe jamaa una maneno mengi utadhani mfanya mazingaombwe.
Wewe Kila kitu alichonacho Urusi asichokua nacho USA kwako ni kupinga TU.
Mada hii haizungumzii mafanikio ya kiuchumi wala utajiri wa mamiilionea,unajaribu kuhamisha mada.
Mada ni vita kati ya Urusi na Ukraine.
Kama Urusi kubwa jinga ingizeni basi majeshi yenu ya NATO kama mlivyozoea kuingiza Kwa akina lraq na Watalaban.
Umekua muongo Hadi unasahau ulidanganya Nini mara ya mwisho na Sasa hivi watu wamekushitukia na Sasa umeanza kujiongopea mwenyewe.
Nakukumbusha moja ya uongo wako ,Kuna mtu alikubana humu kwa ishu ya Assad ukasema USA haikuwahi kutaka kumpindua Assad.
Nikakuletea kauli za Viongozi wa USA wakubwa akiwemo na Rais wa USA wakisema 'Assad must Go'.
Sasa mtu kama wewe tukuamini kwa lipi?
 
Wanaoshangilia kuwa daggar imetunguliwa someni hii kutoka TG channel ya Ukraine.

#раскладка
As for the information about the downed "dagger" - this is an invention of our specialists. According to our data, nothing was shot down, but this is not the most important thing. The main thing here is that our functionaries work according to the old formula, to please the "sponsors".
The purposes of this statement are many.
The first is to show that Russia no longer has a formidable weapon that can get anyone from anywhere. Such a moral factor.
Secondly, this is a PR campaign for Patriot air defense installations. The Office of the President always promotes what sponsors ask for. Most likely it comes as an additional

Wanaojua kirusi someni hapa Chini

#раскладка
Насчет информации о сбитом «кинжале» - это выдумка наших спецов. По нашим данным ничего не сбивали, но, это не самое главное. Главное тут, что наши функционеры работают по старой формуле, угодить «спонсорам».
Целей этого заявления много.
Первая, это показать, что у России нет уже грозного оружия, которое может достать кого угодно откуда угодно. Такой себе моральный фактор.
Второе, это пиар акция установок ПВО Patriot. Офис Президента всегда пиарит то, что их просят спонсоры. Скорее всего это идёт как дополнительная функция от заказчика. Ранее, это были Байрактары, потом Хаймерсы, а теперь патриоты.

Сейчас с турками уже отношения испортились и сразу Байрактар вышел из строя и его показательно сбили, а после заявили, что это у птички мозги протекли, а не ошибка пилотирования. Хотя, могли легко сказать, пилот - ученик ошибся, чтобы не портить отношения с Турцией и не обваливать им рейтинг и имидж.
 
1. Russia ilishindwa kulinda flagship ya Black Sea fleet ile Moskva ikazama.
2. Russia ikashindwa kulinda Kherson bridge ambayo ni strategic kupitisha mahitaji ya vita. Mpaka leo Kherson region Russia inasuasua kutokana na mistake ile, hadi retreat.
3. Russia ilishindwa kulinda HQ za Black Sea fleet mwaka jana hadi maadhimisho ya VD pale yakasitishwa
4. Russia imeshindwa kulinda ikulu dhidi ya drone. Ila sio ajabu maana miaka ya 80 kuna kijana Mjerumani aliendesha Cesna yake akatua Kremlin bila jeshi kujua.

Russia ni superpower, jeshi la pili duniani
Drones mbona ziliwashwa moto!!?
 
Wewe jamaa una maneno mengi utadhani mfanya mazingaombwe.
Wewe Kila kitu alichonacho Urusi asichokua nacho USA kwako ni kupinga TU.
Mada hii haizungumzii mafanikio ya kiuchumi wala utajiri wa mamiilionea,unajaribu kuhamisha mada.
Mada ni vita kati ya Urusi na Ukraine.
Kama Urusi kubwa jinga ingizeni basi majeshi yenu ya NATO kama mlivyozoea kuingiza Kwa akina lraq na Watalaban.
Umekua muongo Hadi unasahau ulidanganya Nini mara ya mwisho na Sasa hivi watu wamekushitukia na Sasa umeanza kujiongopea mwenyewe.
Nakukumbusha moja ya uongo wako ,Kuna mtu alikubana humu kwa ishu ya Assad ukasema USA haikuwahi kutaka kumpindua Assad.
Nikakuletea kauli za Viongozi wa USA wakubwa akiwemo na Rais wa USA wakisema 'Assad must Go'.
Sasa mtu kama wewe tukuamini kwa lipi?
Marekani haijawahi kuweka mikwara mbuzi dhidi ya Urusi. Hicho ni kama kisima cha mafuta wacha kiwauzie mafuta producers wa dunia kisha wao wazalishe na wakiuzie products za kawaida kama simu.

Urusi ndio inabidi iivamie nchi iliyotoa silaha kwa Ukraine kama ulivyosema. Au ivamie Finland kama ulivyosema.
 
Mbona drones zilitunguliwa? Sasa hawezi kulinda Ikulu kivipi?
Kitu gani, interceptor gani imedungua hiyo drone?
Drone imevuka kilomita kadhaa na mita za kutosha kwenye restricted area
230504114457-kremlin-senate-building-kremlin-senate-building-super-169.jpg


Yani ikulu izuie bodaboda kuingia ndani alafu bodaboda iingie washindwe kuizuia ikamatwe ikiwa ndani ndipo walinzi wajisifie wamezuia?
 
Kazi ya air defense system ni kuzuia shambulizi haijalishi wahusika baadae watakubali au watakataa. Sasa kama wamekataa ndio shambulizi halijatokea
Kwa mfano wangekubali ingebadili nini kwenye tukio hilo kutokea. Any unauthorized flight kwenye restricted area inadondoshwa, Kremlin hairuhusiwi ndege kuruka bila idhini. Hata Ukraine wiki hii walidondosha Bayraktar TB2 drone yao baada ya kupoteza mawasiliano ikiwa mjini kwenye makazi ya watu.

Ikulu hata ndege iwe ni ya Urusi wenyewe tena zile ambazo hazijawa exported ni marufuku makubwa kuwa anga la ikulu bila ruhusa
Hivi wewe una matatizo gani? Unasema shambulio limefanyika wakati drones zote ziliwashwa moto kabla hazijafanya shambulio lolote!!
 
Marekani haijawahi kuweka mikwara mbuzi dhidi ya Urusi. Hicho ni kama kisima cha mafuta wacha kiwauzie mafuta producers wa dunia kisha wao wazalishe na wakiuzie products za kawaida kama simu.

Urusi ndio inabidi iivamie nchi iliyotoa silaha kwa Ukraine kama ulivyosema. Au ivamie Finland kama ulivyosema.
Wale wamarekani waliouwawa kwenye mahandaki last month unawakumbuka mkuu?
 
Kitu gani, interceptor gani imedungua hiyo drone?
Drone imevuka kilomita kadhaa na mita za kutosha kwenye restricted areaView attachment 2612308

Yani ikulu izuie bodaboda kuingia ndani alafu bodaboda iingie washindwe kuizuia ikamatwe ikiwa ndani ndipo walinzi wajisifie wamezuia?
Inaonekani uelewa wako ni wa chini sana au unaubishi wa kindezi.
 
Jamaa anatafuta pa kuchomokea kwa kuzuga kuwa alikuwa anatania ila ni baada ya wachambuzi wenye vichwa smart sana kama Galip Vrl walivomyoosha. Dah Galip alikuwa anacheza nae hadi mwili unasisimka. Binafsi Galip Vrl alifanya nianze kufuatilia huu uzi sikuwa na muda nao hapo kabla.
Hatari sana huyo mwamba Galip Vrl ,comment zake unasoma kama upo darasani tena pindi la mathe, acha we unatamani asimalize [emoji28][emoji28]
Ok.jpg
Heshima kwenu Wakuu 🤝, BUSH BIN LADEN na abdulqadirj kwa pamoja niseme am humbled na shukran for such a Compliment mliyotoa🫡...

Kitaaambo sana but nipo jirani nawa'zoom kwa mbali.
 
Waliozoea kuchinja angalia Sasa Ukraine walivyofanywa

⚡️Total confirmed losses by the end of the day for the AFU amounted to 846; not including actions by MVD Forces & "Yug" Artillery forces. The true number is likely closer to 1,100.
 
Back
Top Bottom