Imewashushia missile wanayojidai nayo kuwa ni hypersonic, imegeuzwa kuwa panasonic.Kumbe Patriot imefanya yake huko adu watu wako kimyaaa kama hakijatokea kitu
Imewashushia missile wanayojidai nayo kuwa ni hypersonic, imegeuzwa kuwa panasonic.Kumbe Patriot imefanya yake huko adu watu wako kimyaaa kama hakijatokea kitu
Safii [emoji122]"I congratulate the Ukrainian people on a historic event," Oleshchuk said. "Yes, we have shot down the 'unique' Kinzhal.
Ushawahi kutengeneza hata engine ya gari la 20 kph, au unajiongelesha na theory zako za phys ya udom.Jamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...
Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).
All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.
Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Hilo suala la washing machines nishaomba mlilete na hamna. Mtabadilisha ID mara kibao ila superpower uchwara anawakatisha tamaaTimu upinde mnashida sana
Halafumnaomba
Sipo hapa kubisha na watoto'
Next time angalia nani kajibiwa sio unarukia vitu visivyo kuhusu'
Umeona aliye jibiwa kuuliza swali lolote sasa nakupa home work '" muulize niliye muuliza alishawahi kuongelea swala la Russia wanatumia vifaa vya washing machine" au nimemlisha maneno ukishapata majibu kutoka kwake ndio urudi hapa kuuliza baba zako
Ndugu yangu uwe unawapa wapa Elimu hasa hawa ndugu zetu wa Pro Russia
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian troops began to use the latest T-14 Armata tanks to strike Ukrainian targets, according to Russia’s official news agency RIA Novosti. The official state media outlet has claimed that Armata tanks are being used to attack Ukrainian positions in an unknown location, but they have not yet taken part in assault operations.View attachment 2611985
Kuna mpiga punyeto mmoja humu, kila siku anasema kwamba Russia hawana hizo T14 Armata Tanks. Eti hawajaweza kuzitengeneza.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian troops began to use the latest T-14 Armata tanks to strike Ukrainian targets, according to Russia’s official news agency RIA Novosti. The official state media outlet has claimed that Armata tanks are being used to attack Ukrainian positions in an unknown location, but they have not yet taken part in assault operations.View attachment 2611985
[emoji28][emoji28][emoji28] hivi ndo inavyapaswa kumjibu kilaza yyte. Big up MathanzuaMkuu wewe upo Buguruni,hujawahi kuona Hypersonic Missile,achilia mbali kuitengeneza,kwa hiyo hata ka-experience kidogo,aliyekufundisha Physics mwenyewe anatoka Kibugumo,ana theory tu,dah,leo tukuamini.No,right inside you you know that is impossible.
Tutamuamini Engineer Mrusi aliyeko kwenye kiwanda kinachotengeneza Kinzhal,Avangard,Zircon Hypersonic Missiles.
You want to tell us this is not true?[emoji117]
Hypersonic missiles such as the Kinzhal are a fairly new breed of weapon that combine superior speed with the ability to maneuver to evade being shot down. Not only are they difficult to detect, but they make radical and unpredictable course changes as they get close to a target.
The Kinzhal, unveiled by Russian President Vladimir Putin five years ago, can accelerate to Mach 4 — four times the speed of sound — and may be capable of speeds of up to Mach 10, with a range to about 1,250 miles. The missile is also believed to be nuclear-capable.
An even more sophisticated weapon, Russia's Avangard hypersonic glide vehicle, can fly at speeds as high as Mach 27, according to the Kremlin. Another hypersonic, the Zircon anti-ship missile, has also reportedly been developed, but there are no reports of the Zircon or Avangard being used in combat.
Definition ya Hypersonic Weapon hii hapa[emoji116]
Hypersonic weapon
View attachment 2611940
Description
A hypersonic weapon is a weapon capable of travelling at hypersonic speed, defined as between 5 and 25 times the speed of sound or about 1 to 5 miles per second (1.6 to 8.0 km/s).
Uliandika hivi mwezi wa tatu, mwezi wa nne umeisha na Bakhmut hamjaikomboa.Sidhani kama huu mwezi mpya utaisha kabla BAKHMUT kuwa HURU
[emoji635][emoji3538][emoji1255]The situation in Bakhmut direction remains constantly difficult, Vladimir Zelensky said on Monday in his evening address, a video of which he published on his telegram channel.
"Of course, I always stay in touch with the command… In the Bakhmut direction, the situation is constantly becoming difficult," Zelensky said.
Japo unatumia Kiswa English ila jitahidi zaidi kwenye English "Marekani anatumia its technology" ndio nini sasa hiyo mwanakwetu?Tuorodheshe ya Marekani mkuu?The list is too long, and is as follows only to mention a few.
1.Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutumia Atomic bomb,na kuua watu zaidi ya 100,000 Japan.
2.Marekani katika vita vyake vya kulazimisha nchi kufuata matakwa yake imeua zaidi ya watu millioni 20!
3. Marekani imeua viongozi wa nchi zaidi ya 10 na kupindua serikali zaidi ya 20 duniani kote katika harakati zake za kuiba rasilimali za Dunia.
4.Marekani inatekeleza mikakati mbali mbali ya kuua na kupunguza kwa siri binadamu duniani kote ikiwemo uzazi wa mpango,Chanjo,vyakulassumu,dawasumu nk.nk.
5.Marekani inaiba mchana kweupe na kwa kutumia hila rasilimali za nchi mbalimbali zikiwepo Urusi,Syria,Iraq,Libya,Congo DRC nk.nk.
6.Marekani kwa kutumia Hollywood imeharibi moral values za Dunia nzima.
7.Marekani kwa kutumia covert means inaendelea kuharibu hali ya hewa ya Dunia nzima.
8.Marekani ina vituo vya kijeshi zaidi ya 800 Dunia nzima kwa nia ya kutekeleza mikakati yake miovu ya kupindua nchi huru kwa nia ovu za kuiba rasilimali na kutekeleza matakwa yake maovu dhidi ya nchi zingine.
9.Marekani kwa kutumia its' technological advantage ina leta havoc duniani kote kwa kuleta mafuriko,volcanoes,hurricanes,tsunamis,joto kama lilitokea Ulaya,na hata Marekani yenyewe na majanga mengine mengi duniani kote.
On the other hand Urusi haihusiki na yoyote kati ya haya maovu yote.Itoshe kusema kwamba haijalishi unaanzaje,unavyomaliza ndio jambo la msingi zaidi.
Mkuu sikuamini kuwa hujui kati ya Urusi na USSR. Pia siamini pia kuwa hujui kuwa mataifa zaidi ya kumi yalijitangazia uhuru zikiwemo wasaliti Ukraine, Poland n k. Kuanzia leo ukiandika kitu chako Wala sisomi .Hauna option zaidi ya kukasirika maana ukiamua kutetea hoja yako huwezi, njoo na data hapa badala ya kuniita chenga.
Russia mwaka 1992 wakati USSR inavunjika ilikuwa na watu milioni 148, mwaka 2022 ilikuwa na watu milioni 144. Mlishajiuliza kwanini tangu 1992 hadi 2022 kuna upungufu wa watu milioni 4?
USSR ndio nchi ya kwanza duniani kuruhusu utoaji mimba mwaka 1920 miaka hiyo kipindi kutoa mimba ni kosa la jinai nchi za Ulaya, tena mwaka huo Ufaransa ilipiga marufuku kutumia hata njia za uzazi wa mpango. Kuna miaka mimba zilizokuwa zinatolewa Urusi ni nyingi kuliko watoto wanaozaliwa.
Bado unaongeza ulevi wa kupindukia, ajari za barabarani nyingi (mlishajiuliza kwanini magari ya Urusi yalizingatia sana dash cam?), ugumba kwa wanaume, lower life expectancy, talaka za kutosha; hapa Urusi ina talaka nyingi mno kwa miaka mingi na ukitaka kujua hilo, tangu V.I. Lenin afariki maana yeye ndio alikuwa na familia yake mpaka mwisho, sikumbuki kiongozi wa Urusi kuishi na familiaView attachment 2611918
Stalin mke wake alijiua, mtoto wake alifanya makusudi auwawe Ujerumani na mwanae mwingine alikimbilia Marekani. Yani nyinyi mnaona Urusi ya maana ila watoto wa vigogo wanaitoroka sana hiyo nchi. Putin mwenyewe hakai na familia na alimtariki mke wake, in fact ni vigumu sana kuona kiongozi wa Urusi kaambatana na mke wake na familia, hata picha si rahisi kuziona.
Mnaipenda Urusi na hamuijuiView attachment 2611922
Nimesema Marekani kwa kutumia "its' technological advantage" mkuu, sio "Marekani anatumia it's technology," soma tena,I am right.Ingawa ningeweza pia kusema,"her technological advantage."Japo unatumia Kiswa English ila jitahidi zaidi kwenye English "Marekani anatumia its technology" ndio nini sasa hiyo mwanakwetu?
Bado upo vile vile nchi huwa refered kama Mother/motherland hiyo possessive pronoun haijakaa mahala pake.Nimesema Marekani kwa kutumia "its' technological advantage" mkuu, sio "Marekani anatumia it's technology," soma tena,I am right.Ingawa ningeweza pia kusema,"her technological advantage."
Huna hoja kaa kitako uleee wajukuu kama wewe huwezi jibizana na watoto.Timu upinde mnashida sana
Halafumnaomba
Sipo hapa kubisha na watoto'
Next time angalia nani kajibiwa sio unarukia vitu visivyo kuhusu'
Umeona aliye jibiwa kuuliza swali lolote sasa nakupa home work '" muulize niliye muuliza alishawahi kuongelea swala la Russia wanatumia vifaa vya washing machine" au nimemlisha maneno ukishapata majibu kutoka kwake ndio urudi hapa kuuliza baba zako