kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Sasa ulitaka wapewe nini ambacho hawajapewa? Wagner walishapewa kila kitu ila hawakuweza waondoa Ukraine.Hhii ishhu ya bakhmut namlaumu sna waziri wa ulinzi wa Russia na putin pia bakhmut ilikuwa kitambo sana ianguke ili wasogelee maeneo mengine ili kupunguzaa nguvu ya mashambulizi ya ukrein uko mbeleni ila kwa kuendekeza ushkaji umepeleka ugomvi wa maneno kati ya waziri wa ulinzi na mkuu wa wegner kikossi ambacho kimetumia nguvu kubwaa sana pale bakhmut kaama wangekisapot kwaa asilimia mia kisilaha na mashhaambulizi ya angani Leo hii ili eneo wangeshalichukua mda mrefu, ni wakati wa kumtoa waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi wakati huu huu ambao mambo hayaako saawa kusubiri zaidi ni kuzidi kutengeneza Bomu la kiutendaji mbeleni
Huyu ni mhuni tu wala hajui protocol!Ukrainian President Zelensky, who met with Pope Francis at the Vatican on Saturday, broke most of the rules of etiquette. In particular, he did not miss the pontiff at the entrance to his office. “When Zelensky arrived at the Vatican, after greeting the Pope, both went to the pontiff’s office. However, Zelensky will not let the pontiff go ahead, but squeezed into the office right in front of him, ” writes Exxpress. The publication indicates that Zelensky sat in a chair, although the Pope was still standing. He, sitting, accepted a handshake from one of the advisers to the pontiff. At the meeting, the Kiev leader took the liberty of correcting Francis' speech.View attachment 2621915
Ni Nani aliyekiri kwa upande was Russia?!?!Russia wenyewe wamekiri kuwa Makanali 2 waliualiwa jana
Makambanda na Msaidizi waliuawa pia
Inasemekana watu zaidi ya 20 wamefyekwa kwenye hilo shambulio Bakhmut
Mbona huna akili?Ni Nani aliyekiri kwa upande was Russia?!?!
Sawa, wewe mwenye akili utuambie kilichotokeaMbona huna akili?
Leo inaonekana mambo yamekuwa mazuri sana kwa upande wa Ukraine hapo bakhumutBREAKING:
Russian sources report that they have lost Kuzemivka to the Ukrainian Army after the Ukrainians managed to break through Russian lines.
Kuzemivka is north of Svatove.
Na huko bakhumut ndipo urusi kawekeza nguvu Sana,Sasa sijui Ukraine wakiamua kufanya offensive sehemu nyingine Kama walivyofanya bakhumut Hali itakuwaje🥱🥱BREAKING:
Russian sources report that they have lost Kuzemivka to the Ukrainian Army after the Ukrainians managed to break through Russian lines.
Kuzemivka is north of Svatove.
Hii mbona hatari sasa.[emoji635][emoji1255].It is worth noting that panic reports are spreading in Ukrainian social networks that during the detonation of an ammunition depot in Khmelnytsky, a large batch of British tank ammunition with depleted uranium, which was recently brought to Ukraine along with Storm Shadow missiles, was also destroyed. As a result of a huge explosion, particles of depleted uranium could be dispersed on the territory of the Khmelnytsky region, which, taking into account the experience of Yugoslavia and Iraq, could lead to an outbreak of cancer in the medium term.
There are already reports that the radiation background has allegedly increased in Khmelnitsky. Let's wait for actual confirmation.
Fake. Ukraine waliacha zamani sana kuweka silaha sehemu moja. Wanatumia nyumba ndogo ndogo na undergrounds[emoji635][emoji1255].It is worth noting that panic reports are spreading in Ukrainian social networks that during the detonation of an ammunition depot in Khmelnytsky, a large batch of British tank ammunition with depleted uranium, which was recently brought to Ukraine along with Storm Shadow missiles, was also destroyed. As a result of a huge explosion, particles of depleted uranium could be dispersed on the territory of the Khmelnytsky region, which, taking into account the experience of Yugoslavia and Iraq, could lead to an outbreak of cancer in the medium term.
There are already reports that the radiation background has allegedly increased in Khmelnitsky. Let's wait for actual confirmation.