Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu tafadhali tusiruke
We jamaa mpiga porojo sana

Aya twambie na soleder na bukhmut wamekimbia.

Yani unaropoka sana hivi mara ngapi ukraine anapokea kichapo na anagoma kutangaza kama kachapika. mpaka leo anang'ang'ania kutaja vifo vya kutunga vya warusi wakati wao ndio wanarudi nyuma. acha kujifurahisha kiev imezoea kuficha habar za upande wao zilizo hasi.

Kifupi subirini kifurushi chengine ndio muanze kaunta yenu mlicho kiandaa kimeenda na mma

Alafu kumbuka kuja na habari mpya na sio zilipendwa kuendelea kutuletea zilizo pendwa inaonesha ni udhaifu kwenu

Nikutakie kilio chema
Mkuu tusirukeruke. Nilimjibu Mr Tyang aliyedai Urusi ina "uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa".
Uwezo huu sioni. Kyiv kuficha mashambulio? Sioni. Nimeona taarifa mbalimbali ya mabomu yaliyofika Kyiv. Pia kuna idadi kubwa ya wageni kutoka nchi mbalimbali wanaopita Kyiv. Wanaficha mengi lakini wafichaje mashambulio huko Kyiv??
Inaonekana kwa hali jinsi ilivyo mfumo wa IRIS inafanya kazi vizuri, pamoja na Gepard dhidi ya droni na waliongeza pia Patriot kwa ulinzi wa mji mkuu. Kwa nini niache kufurahia mafanikio hayo??
 
Hivi kwa nini Comrade KIM JONG KILA SIKU ANAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA YAKE KUELEKEA EITHER SOUTH KOREA OR JAPAN lakini sijawahi kusikia japan, south korea pamoja na us wakijaribu kurusha hata jiwe kuelekea pwani ya Kiduku??? View attachment 2587904
Mkuu yule dikteta mfupi mnene wa taifa lenye njaa hajawahi kuelekeza roketi wala Korea Kusini wala Japani. Anarusha roketi zake baharini pande mbalimbali. Hakujaribu kulenga eneo la nchi yoyote. Lakini anapenda kupiga makelele. Wapenda makelele wanamshangilia, wenye akili timamu wanampuuza.
Trump alipomwambia "Roketi zangu ni kubwa kuliko zako" alianza mara moja kutangaza upendo wake kwa Trumpi, sivyo?
 
Putin: " Ulimwengu kuelekea Multpolar hauwezi kuepukika. Mwelekeo huo utakuwa na nguvu zaidi. Na wale ambao hawafuati mwelekeo huu watapoteza. Hii ni dhahiri kama kuchomoza kwa jua. Na hakuna unachoweza kufanya kuhusu hilo! Wale wanaojaribu kuzuia hili, watakabiliwa na matatizo ambayo hata saizi wanayo.
SMO iendeleee
 
Zelensky yupo zake Ufaransa usiku wa leo.

Jana kwenye mahojiano kasema kuwa
Kabla ya CO kila mtu atajua kuanzia Warusi na watu wengine.

Itakuwa ni mwendo wa kuvunja vunja maghala
Leo, vitengo vya PMC "Wagner" vimesonga mbele hadi 130m ndani na karibu na mpaka wa Bakhmut. Mpaka sasa wamechukua 91,000m. Wakati wa mchana, majengo 9 yalikombolewa Kilomita za mraba 1.69 au majengo 20 kati ya 48 yenye urefu wa juu yanasalia chini ya udhibiti wa Ukraine.
 
Mwisho wa SMO unakuja,
FwHQBBpWYAEM7KX.jpg
 
Former Ukrainian MP and Azov deputy commander Igor Mosiychuk released a video discussing recent strikes in Khmelnitsky and Ternopol, claiming that the depleted uranium theory is correct and recommending that children be evacuated from the explosion sites. He alleged that the warehouses contained a large stockpile of depleted uranium ammunition that was blown up.
 
Mwambie akuoneshe video sikiliza sauti kama hakuna milipuko basi jua sio silaha bali ni mafuta yamweunguzwa.
Asilimia kubwa ya habar zinazoletwa humu sio rasmi ni watu hujifurahisha nafsi zao.

Pro urusi ndio kabisa hujiandikia English ili habr ionekane sawa kumbe ni pumba tupu hata ushahidi wa wazi wa hayo hawaleti.
 
Mkuu, jamaa ni bingwa wa propaganda za wa west huyo hivyo lazima atakuja kukubishia kwa kiswahili chake cha ku-googl

Mkuu tafadhali tusiruke

Mkuu tusirukeruke. Nilimjibu Mr Tyang aliyedai Urusi ina "uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa".
Uwezo huu sioni. Kyiv kuficha mashambulio? Sioni. Nimeona taarifa mbalimbali ya mabomu yaliyofika Kyiv. Pia kuna idadi kubwa ya wageni kutoka nchi mbalimbali wanaopita Kyiv. Wanaficha mengi lakini wafichaje mashambulio huko Kyiv??
Inaonekana kwa hali jinsi ilivyo mfumo wa IRIS inafanya kazi vizuri, pamoja na Gepard dhidi ya droni na waliongeza pia Patriot kwa ulinzi wa mji mkuu. Kwa nini niache kufurahia mafanikio hayo??
Kama wameweza kuishambuliakiev je huo sio uwezo?

Ukadai kututajia miji tena ya mwanzo wa smo inaanza nikakuuliza kuhusu miji ambayo ipo kwenye mapigano na mwengine umesha twaliwa je huo sio uwezo?

Aya kwa mujibu wa kiev independent twambie wanajeshiwangapi wa ukraine wamekufa?
 
Back
Top Bottom