Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Hawezi kujibu. Ukitaka kuwa rafiki yake, wewe mpatie chochote cha kumfariji, whether true or not. Karibu katika ulimwengu wa self-delusion & selective amnesia.Braza k.panya umesikia lkn kuhusu kulipuliwa kwa nyuklia???
Au ni propaganda???
Lkn hata zinapoletwaga habar za propaganda huwa unajibu inakuaje hili unalipita kimyakimya???