Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukiwa humu utadhani tayari Ukraine imekomboa burkimut yote Kwa kelele za akina KIPANYA, msama.n.k. lakini wafadhiri wao marekani wanakili kuwa Urusi wanatoa kipigo Cha kikatili na kisicho Cha kawaida Kwa jeshi la Ukraine huko Bukhmut
View attachment 2622474

The New York Times has published a story about the disastrous situation of Nazis in the western quarters of Bakhmut. According to the report, the last surviving buildings in which the militants are hiding are being shot at by Russian tanks at direct fire with "unbearable brutality".

#source

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Mchawi lugha

Braza kp kipanya njoo unipige tafu huku
Japo hizo picha zake hazijafunguka, lakini huyo jamaa Yuko kwenye mwendelezo wa propaganda wa zile depleted uranium wanazodai warusi wa buza kwamba zimeshambuliwa huko Ukraine...,jamaa anadai kwamba Ile mionzi ya depleted uranium inaanza kuleta Madhara

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
EXPLAINED: Wagner Chief Offered to Reveal Positions of Russian Troops to Ukraine

According to the Washington Post, Kyiv rejected the offer because they didn’t trust Yevgeny Prigozhin and could not be certain of his true intentions.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uingeleza yasema itatoa Mamia ya makombora ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga

Itatoa pia Mamia ya Ndege za kujitoa mhanga zisizo na rubani, zenye uwezo wa kusafiri zaidi ya KM 200

Hii ina maana Ukraine atakuwa na uhakika wa kulipua chochote ndani ya Ukraine hadi Kerch
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱🥱🥱
1684137720636.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uingeleza yasema itatoa Mamia ya makombora ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga

Itatoa pia Mamia ya Ndege za kujitoa mhanga zisizo na rubani, zenye uwezo wa kusafiri zaidi ya KM 200

Hii ina maana Ukraine atakuwa na uhakika wa kulipua chochote ndani ya Ukraine hadi Kerch
Ya Aina gani maana Kama vingine vimeenda havijaonekana hebu tuambie hapa.
 
Hii ndio mnasema counteroffensive? Haya kipigo kitaendelea mpaka mkung'ute miguu.

Ukraine steps up efforts in all areas, but it is not counteroffensive, says DPR head

"We see that the enemy is trying to probe our positions by conducting reconnaissance by combat in certain areas," Denis Pushilin said

"Ukraine steps up efforts in all areas, but it is not counteroffensive, says DPR head - Russian Politics & Diplomacy - TASS" Ukraine steps up efforts in all areas, but it is not counteroffensive, says DPR head
 
Kumbe lugha inakupita pembeni
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱🥱🥱View attachment 2622493

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hebu turud kwenye uhalisia walau kwa uchache tuachane na ushabiki wa kuchagua upande

Sawa ndio wapiganaji wa Zele wamewaua urus zaid ya mia tano vp kuhusu gharama walizotumia ???

Unadhan kwa njia hii inaweza kuipa Ukraine kile ilichopoteza???

Binafs naamin suluhu ni moja tu nayo ni maongez tofaut na hapo Ukraine itaendelea kuwa eneo la kujaribia silaha mpya na kuharibu zilizoxpaya
 
Japo hizo picha zake hazijafunguka, lakini huyo jamaa Yuko kwenye mwendelezo wa propaganda wa zile depleted uranium wanazodai warusi wa buza kwamba zimeshambuliwa huko Ukraine...,jamaa anadai kwamba Ile mionzi ya depleted uranium inaanza kuleta Madhara

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
bado unatumia app mr ki rat hapa mimi nina kitochi lakin picha zinafunguka alaf propaganda kwa sababu imeingia penyewe sio.?
 
Moscow said Saturday that Kyiv used British long-range missiles to target civilian sites in the eastern city of Lugansk, wounding six children.

The defence ministry said that on Friday evening Ukraine's armed forces had struck two civilian enterprises.

"Storm Shadow air-to-air missiles supplied to the Kyiv regime by Great Britain were used for the strike, despite London's declarations that these weapons would not be used against civilian targets", the ministry said in a statement.

"Nearby residential buildings were damaged. Civilians were injured, including six children," the statement added.

Chanzo:

France24.
Ongeza juhudi keyboard warrior.....
 
Uingeleza yasema itatoa Mamia ya makombora ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga

Itatoa pia Mamia ya Ndege za kujitoa mhanga zisizo na rubani, zenye uwezo wa kusafiri zaidi ya KM 200

Hii ina maana Ukraine atakuwa na uhakika wa kulipua chochote ndani ya Ukraine hadi Kerch
Uingereza akisema atatoa basi ujue mzigo uko ktk uwanja wa vita tayari

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom