Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwanzoni kabisa niliandika hisia ya mtaalamu mmoja aliyedai inawezekana Putin alitumia akili za FSB zaidi kuliko za jeshi. Ndio maana traitors, watoa targets na sympathizers walikuwa wengi ndani ya Ukraine wakielezea movements za majeshi, silaha zilipo, sites za AD, miundombinu muhimu. Baada ya Russia kuanza ua kiholela simphesizers wakaikataa, na Ukraine ikapiga operation kali kuondoa mamluki na sometimes walikiuka haki za binadamu.

FSB ndio iliwadanganya Warusi kwamba mambo yatakuwa kama Crimea twende na misururu. Wakati huko MI6 na CIA ilishawapanga Ukraine miezi miwili kabla wanabisha, baadae wakakubali mwishoni. Siku chache kabla tarehe ya kuvamia ilishajulikana na CIA. Hivyo ni sahihi Putin hakutaka kuiharibu Ukraine akijua kina Zelensky watatimua mbio
Aseee..... Inabidi kucheka ... Punguza ujuaji dingi
 
Uingeleza yasema itatoa Mamia ya makombora ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga

Itatoa pia Mamia ya Ndege za kujitoa mhanga zisizo na rubani, zenye uwezo wa kusafiri zaidi ya KM 200

Hii ina maana Ukraine atakuwa na uhakika wa kulipua chochote ndani ya Ukraine hadi Kerch

Angekua Germany ningetishika ila Uingereza ni taifa ambalo kwenye vita lilishapotea muda sana hata kuiweka Top 10 wanazingua.
 
[emoji298]Russian Politician Confirms Belarus’ Lukashenko is ‘Sick’, Says He ‘Needs Some Rest’

The rumor mill has been in overdrive for the last few days after the dictator skipped a major event on Sunday and looked less than perky in Moscow last week.

Read more on our website.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
President Zelensky has already arrived in London

British Prime Minister Rishi Sunak has published a photo of a meeting with Zelensky.

“Welcome back,” Sunak wrote.

[emoji1255][emoji1666][emoji636]
1684145155970.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
In pictures: Zelensky meets French president Emmanuel Macron for ‘working dinner’ on May 14.

Photos: Thomas Samson/AFP via Getty Images, Ludovic Marin/AFP via Getty Images
1684145245749.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]According to the Ukrainian Prosecutor General's Office, as a result of the Russian full-scale armed aggression, 481 children have been killed and 973 more injured in Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]

[emoji298][emoji298]The Ukrainian Air Force destroyed four enemy Shahed-136/131 attack UAVs and one Orlan-10 reconnaissance UAV at night.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tg Channel ya ukrein imeandika kama ifuatavyo.
#Слухи #Раскладка
Our source is inside that all European military gifts to Zelensky and the news that Ukrainian pilots will begin to be trained on F-16 aircraft in the summer, they will be handed over in the fall, as well as heating up the topic that the West is giving more and shifting the red lines, etc. All this is an attempt by Western players to force the Bear (Russia) to get out of the lair (defense), which will make the summer-autumn military campaign easier for the Armed Forces of Ukraine. In this scenario, the Armed Forces of Ukraine will have at least a chance of success, but breaking through the defense of the Russian Federation is suicide and “Russian roulette” for Bankova. After all, the losses will be huge, while the risk of failure is 80%, and the risk of losing new territories is 75%.
 
Ukraine iliomba hizo F16 muda sana, tukiacha mbali uwezo wa silaha ujasusi una asilimia kubwa sana ya kukufanya ushinde au ushindwe, na katika hilo ipo wazi si ajabu ukakuta washauri wa Zelensky au watu wa karibu kabisa serikali ya Ukraine ni majasusi wa Russia.
Ipo wazi na inafahamika Russia walivyo watata kwenye ujasusi.

Hio depleted uranium iliyolengwa kwa accuracy kubwa inadhihirisha hiki nikisemacho, from now Ukraine aanze kutafuta mchawi ni nani.
 
Back
Top Bottom