STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Acha ujinga huo. Vita ni mbaya. Waombee mema badala ya kufurahia kana kwamba ni Kariakoo derbyNgapi ngapi ukoo mtupe updates
Nimemrushia mbona simuoni kwa jukwaaaWadau Putin hana bando kasema mtu yeyote amrushie hata la jero.
Russia siyo mjinga, lazima keshayapiga mahesabu yake yote.View attachment 2131176
Mimi naogopa this May trigger world war 3
Hahahahah hatari na nusu!
Msikilize hapo mzee baba vlad. kanitumia sasa hiv.. kasema inabid nimuelewe sababu zake vizur sio nalopoka tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia nguvu kubwa utapata faida gani Russia akishafanikiwa lengo lake jumapili/jumamosi la kuvamia hizo nguvu ungeziwekeza kwenye mambo ambayo yanatija kwakoAchana na propaganda za nchi za magharibi hizo.
Kwanza, China ndo walomtosa US kwa kumwambia Putin kwamba US walikuwa wakiteta nao ili wambembeleze Putin asiivamie Ukraine.
Pili, kusikia hivyo Putin (kama wafuatilia) akaenda China mwanzoni mwa michezo ya Olimpiki na akahakikishiwa taarifa hizo (za kuhusu US) kwamba Biden alikuwa akiwaomba China tangu mwezi November 2021 waongee na Putin, China akakataa.
Tafuta gazeti la New York Times wameandika habari hii.
Tatu, nimeeleza mara nyingi humu kwamba Russia hawakupanga jambo hili(kuivamia Ukraine) jana au juzi ni jambo la kitambo tangu 2014 na wengine wasema ni nyuma zaidi ya hapo walikuwa wakiwasoma Ukraine kwa ukaribu.
Saa hii majeshi ya Russia yapo ndani ya Kyiv na kufikia jumamosi au jumapili tutasikia habari zingine.
Sio kweli hakuja ajuae exactly outcome itakuajeRussia siyo mjinga, lazima keshayapiga mahesabu yake yote.
Daaah jamani😪😪😪 , hii video inatisha, wakae mezani amani ipatikane jamani.Kwanza kabisa nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanashabikia Vita hivi vya Urusi na Ukraine Kama mechi ya Simba na Yanga. Lakini baada ya kuona jinsi Wanajeshi wa Ukraine wanavyoteketea Basi nakili kwamba,Vita ni mbaya Sana.
Putin nakuomba simamisha Vita vya Ukraine,huu ni unyama mkubwa dhidi ya binadamu.
Naomba nitoe tahadhari. Hii video ni hatari Sana,Picha na Video zinakirihisha. This is Madness. Binadamu wote tupinge Vita hivi.
View attachment 2130972
Putin anajua exactly outcome. Ndiyo maana kavamia na anatoa kichapoSio kweli hakuja ajuae exactly outcome itakuaje
Hajui Jana asingewaomba wafanyabiashara msamaha kwa hasara waliyopata baada ya soko la hisa la moex kucrash kwa asilimia 40Putin anajua exactly outcome. Ndiyo maana kavamia na anatoa kichapo
Alijuw lazima hicho kitu kitokee na ndiyo maana nuke inanukia.Hajui Jana asingewaomba wafanyabiashara msamaha kwa hasara waliyopata baada ya soko la hisa la moex kucrash kwa asilimia 40
Hivi unaakili timamu kweli hivi unajua madhara ya nuclear, Kuna unawezekano napoteza mdaAlijuw lazima hicho kitu kitokee na ndiyo maana nuke inanukia.