Ujinga mtupu,watu wanakufa halafu wao wanafanya vitu vya likinga na hewa,Zelensky ngada na ndumu tupu.Wanamgambo wa Ukraine wanaendesha mashindano ya ngumi kwenye mapango ili kujificha dhidi ya mashambulizi [emoji1787]View attachment 2626192
Ukraine Boxing Federation
An underground subway station in the war-torn region of Kharkiv, Ukraine played host to a unique boxing event held in the memory of fallen soldiers.
The event, which took place last weekend, featured an array of amateur boxers, including members of the Ukrainian…
Continue Reading
News Source: Amid invasion, Ukraine hosts boxing event in underground subway station
(wakati Uingereza imeshaacha mambo hayo na kurudi nyumbani. )Mkuu sijui kwako "mmbabe" ni kitu gani. Najua tu kwamba Urusi ni nchi ya kibeberu iliyofaulu kushika koloni zake na kuzinyonya wakati Uingereza imeshaacha mambo hayo na kurudi nyumbani.
Najua pia kwamba Urusi imejaribu mara kwa mara kueneza ubeberu wake; katika karne ya 20 ilishindwa mara kadhaa (dhidi ya Japani 1905, dhidi ya Poland 1920, dhidi ya Ujerumani 1917, dhidi ya Afghanistan 1989, dhidi ya Chechnya 1996) lakini kwa msaada wa Marekani ilishiriki katika ushindi juu ya Ujerumani 1945 ikaweza kutawala sehemu kubwa za Ulaya ya MAshariki na Kati...
1989 seheu kubwa ya himaya yake iliporomoka (ilibaki na koloni zake katika Siberia) na sasa China inatumia nafasi ya kujenga nafasi yake katika Asia ikifaidi na udhaifu wa Urusi ya Putin..
sasa na wewe unaona russia kaingiza jeshi huko ukraineHuu mgogoro unaendeshwa kwa njia nyingi sana na mojawapo ni propaganda!!!!!!!! Naamini hata humu kuna watu wanalipwa kwa namna moja ama nyingine!!!!!!
Naamini mimi na wewe hatuujui ukweli kuhusu huu mgogoro!!!!!!!! Wakubwa wanaamua ni taarifa gani unatakiwa uipate na kwa wakati gani!!!!!!!!!!
Je, hii propaganda au ukweli?????
Russia 'has not even started yet'
Russia "has not even started yet" in Ukraine, a Kremlin MP has claimed.
In a clip shared by BBC journalist Francis Scarr, MP Alexei Zhuravlyov tells panellists on Russia's state television that Ukraine has undergone "full Nazification".
He says Russia should have two aims - the first being to "liberate those who want to be liberated" and the second is to "move our security borders away".
"Let me say this again, we have all the capabilities, means and resources. We are fighting," he says.
"As the president said, we haven't even started yet! That's the thing! It's true! Those aren't just empty words!"
Source:Sky news: 18/05/2023
Wao wanasema 29 out of 30 missiles shot down. Vilevile, over 20 different cities have no electricity and water supply due to attacks from Russia[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Decoy Kh-55 cruise missiles that were shot down by Ukrainian air defense.
The USSR produced thousands of these and now Russia has a large stock which were original meant to hold hydrogen/fusion nuclear bombs, but now they have a concrete block to waste Ukrainian SAMsView attachment 2626720
Hata ukiwaita waporaji, wanyang'aji, majambazi, unaona kabisa majina haya hayatoshi kuwa-define haya majitu.France has the fourth largest gold reserves of 2,436 tons, without a single gold mine in France. Mali (Which was occupied by France) does not have any gold reserves in its banks, although it has 860 gold mines and produces 50 tons per year! How did France get all that gold?View attachment 2626776
Zelensky is going to step down, then Ukraine will have to agree with all conditions proposed by the winner -- Russia.
They can not transfer any fighter jets without US authorisation. And US is not willing to do so.NATO defense ministers to discuss possible transfer of Western fighter jets to Ukraine at meeting in June ahead of NATO summit - Stoltenberg
Join our telegram channel for more videos - link in comments
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jumapili wana kikao kizito cha G7 mjini Hiroshima Japan.Zelensky is going to step down, then Ukraine will have to agree with all conditions proposed by the winner -- Russia.