kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Washenz sana mbwa HawaRais wa USA akiwa ikulu ya White House pamoja na viongozi wenzake wakishangilia baada ya kupitisha sheria inayotambua ndoa na mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja.
Viongozi hao wamekuwa na furaha sana na kupongezana kwa mafanikio hayo.
View attachment 2615593
Ngoja nieke kituo hapaHuna unachojua kuhusu hypersonic missile. Sometimes muwe mnanyamaza kuliko kutia AIBU. Kitu kingine Mrusi anapiga tukio haongei ndomana ile command post ya NATO kule Ukraine ikiwa na zaidi ya generals 300 ilisambaratishwa ila wao ndo walioanza kutoa taarifa.
Nin???YyyyÿyyyyyYyyÿ---y-yy-
Mistake, simu niliiweka mfukoni bila kuilockNin???
Pole sanaMistake, simu niliiweka mfukoni bila kuilock
Mkuu, sijibu kwa sababu nataka kubishana nawe.Wewe ndugu,Mimi wala Sina muda wa kubishana na wewe.
Kama NATO wanaogopa nyukilia za Urusi,kwani wao nyukilia zao ni za kuifanyia Nini?
Si watazitumia ikiwa Urusi atatumia za kwake?
Urusi ana nyukilia na NATO Wana nyukilia, Sasa hofu Yao ni Nini?
Eti Urusi imeonesha udhaifu kwenye vita hii.
Wewe kwa akili zako vita inapiganwa na nchi 40 dhidi ya nchi moja uliona wapi.?
Kama Urusi kaonesha udhaifu si ndio ilikua ni fursa nzuri kwa NATO kuipiga Urusi na kuishinda?
Kama hao NATO au hao USA wako ni Bora na hodari ilikuaje wamewakimbia Watalaban, Kikundi kisicho na jeshi kamili Yani Airforce,Navy na landforce iliyokamilika?
Kwa sababu Gani NATO Yako,yaani USA + west walipigana miaka 20 na wataban, lkn walikimbia na kuacha maelfu ya silaha?kama Wana uwezo wa kipekee ambao wewe unaamini wanao?
Ama kwa maana nyingine walipigana kwa miaka 20 na "Kikundi" kisichokua na fedha za uhakika,yaani Kikundi masikini TU,hakina vyanzo vyovyote vya maana vya kiuchumi,wakati wao ndio tuanaaminishwa kua ndio matajiri wa Dunia,waliwezaje kiwashindwa watu wa namna ya watalabani kama NATO wa utaalam usiotia shaka?,tuambie wewe mbwiga.
Au kama NATO ni hodari na Wana utaalamu huo mlioaminishwa, walishindwa Nini kumtoa madarakani Assad na Maduro?.
Hili ndio jibu langu la mwisho kwako.
Kwanza tupeni mrejesho wa counterattack ya kule BakhmutUkrainian counterattacks near Bakhmut in Donetsk Oblast in recent days have very likely eliminated the possibility of Russian encirclement in the area, even as Russia concentrates its reserves to the fight around the city, the Institute of the Study of War said in its latest update.
The counterattacks "have notably likely eliminated the threat of a Russian encirclement of Ukrainian forces in Bakhmut and forced Russian troops to allocate scarce military resources to defend against a limited and localized offensive effort, as Ukrainian command likely intended," the ISW wrote.
Earlier on May 19, Serhii Cherevatyi, a spokesperson for the Ukrainian military's Eastern Operational Command, confirmed that Ukrainian forces were gaining the battlefield initiative near Bakhmut.
Ukrainian troops advanced up to 500 meters in some areas of the Bakhmut front line on May 18-19, Cherevatyi said. The ISW said that Ukrainian forces had also advanced 1,000 meters in another area.
At the same time, the ISW reported, citing a May 19 statement by Ukrainian Deputy Defense Minister Hanna Malyar, that Russian forces had concentrated most of their reserves around Bakhmut, slowing the rate of Ukraine's advances, although, according to the ISW, "Russian forces on Bakhmut’s flanks likely remain weak."
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Counteroffensive gani Tena ile tayari imeshafanyika labda waandae nyingine.Kwanza tupeni mrejesho wa counterattack ya kule Bakhmut