passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Bachkmut is liberated [emoji23][emoji23][emoji23]Nini kinaendelea huko bamkhut mwenye dondoo atujuze
Bachkmut is liberated [emoji23][emoji23][emoji23]Nini kinaendelea huko bamkhut mwenye dondoo atujuze
Kwanza tupeni mrejesho wa counterattack ya kule Bakhmut
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Suma JKT 5 - special force 0
Hapo USA itafika Hawa jamaa wakijitambua uchumi wa USA utaporomoka sana, maana wanaiba sana mafuta toka Iraq, Syria wakiwaacha masikini ni dhuruma kubwa sana. Kwenye kampuni zao Kama ExxonMobil, Chevron etc wanatengeneza billions$ profit kwa mafuta ya kuiba toka Syria na Iraq. Jeshi la Marekani linasimamia huo wizi.Ni habari njema sana kuona Arabs wakipatana na kuishi tena kama ndugu moja baada ya kipindi kirefu cha utengano uliosababishwa na USA na LGBTQ.
View attachment 2628723
NATO (40)= Russia (1)Wewe ndugu,Mimi wala Sina muda wa kubishana na wewe.
Kama NATO wanaogopa nyukilia za Urusi,kwani wao nyukilia zao ni za kuifanyia Nini?
Si watazitumia ikiwa Urusi atatumia za kwake?
Urusi ana nyukilia na NATO Wana nyukilia, Sasa hofu Yao ni Nini?
Eti Urusi imeonesha udhaifu kwenye vita hii.
Wewe kwa akili zako vita inapiganwa na nchi 40 dhidi ya nchi moja uliona wapi.?
Kama Urusi kaonesha udhaifu si ndio ilikua ni fursa nzuri kwa NATO kuipiga Urusi na kuishinda?
Kama hao NATO au hao USA wako ni Bora na hodari ilikuaje wamewakimbia Watalaban, Kikundi kisicho na jeshi kamili Yani Airforce,Navy na landforce iliyokamilika?
Kwa sababu Gani NATO Yako,yaani USA + west walipigana miaka 20 na wataban, lkn walikimbia na kuacha maelfu ya silaha?kama Wana uwezo wa kipekee ambao wewe unaamini wanao?
Ama kwa maana nyingine walipigana kwa miaka 20 na "Kikundi" kisichokua na fedha za uhakika,yaani Kikundi masikini TU,hakina vyanzo vyovyote vya maana vya kiuchumi,wakati wao ndio tuanaaminishwa kua ndio matajiri wa Dunia,waliwezaje kiwashindwa watu wa namna ya watalabani kama NATO wa utaalam usiotia shaka?,tuambie wewe mbwiga.
Au kama NATO ni hodari na Wana utaalamu huo mlioaminishwa, walishindwa Nini kumtoa madarakani Assad na Maduro?.
Hili ndio jibu langu la mwisho kwako.
Happy new year and marry Christmas.RUSSIA DUDE KUBWA [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Jana hyo Katika kuhakikisha hatoki mtu hapo bakhmut wakawatumia wenzao mvua ya moto,
wanaita "incendiary amunition"[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2628835
KumbeCorona is fake mkuu,mimi ni mtaalam mbobezi wa Microbiology,so I know what I am talking about.Kwa taarifa yako huyo Kirus anaye daiwa kuleta ugonjwa unaoitwa Corona hajawahi kuwa isolated,so that means scientifically, the virus does not exist and does not adhere to Kock's Postulates.
Mkuu taarifa za kuwepo kwa Corona ni udaku, bad science and World Politics,hata wataalamu wa Afya wanakiri,ila wanaogopa wakisena watakuwa fired.Swala hili limekuwa discussed sana JF,sijui wewe ulikuwa wapi.
Anyway, isiwe tabu,nime-compile alot of information here[emoji116],jifunze.
![]()
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
Hizo ni mbinu za kivita.Munataka kuniambia ndani ya wiki mbili yule muhuni prigozhin ameletewa silaha zote anazozihitaji kutoka kwa waziri wa ulinzi wa russia?
Tulipowaambia wagner hawana uhaba wa silaha kuna wahuni walishindwa kutuelewa, leo kiko wapi?
View attachment 2628855
Beaking Newsss!!!
OFFICIALLY BAKHMUT HAS FALLEN[emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2628847
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebaki storySubiri Counter offensive, tunawavuta mjae ndani ya 18 then kichapo cha mbwa mwizi kinafuata!
Si umeskia mzigo wa F16 unakuja?