Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee japo mimi sio mjuvi wa mambo ya Nuclear radiations ila kwa kupitapita mitandaoni niliona kitu kikanivuta kujua zaidi, wajuzi wa mambo hizi watakuja kuelezea zaidi.
View attachment 2628487
Muda mrefu kidogo Niliona simulation moja ilikua inaongelea nini kitatokea iwapo kutatokea majibishano ya Nuclear bombs kati ya Russia na NATO, sikumbuki source yake ila nikiipata nitaiweka hapa kujua mengi zaidi.

Kwa kugusia gusia tu waliiweka hivi, kwenye Nuclear war kuna stages 3;

Stage ya kwanza ndio Nuclear war yenyewe hapo ndio kuna kujibishana mabomu ya nuclear, yanarushwa kutoka Russia kwenda nchi za NATO na kutoka nchi za NATO kwenda Russia.

Kwenye stage hiyo ya Nuclear war, makadirio ni kwamba ndani ya masaa 24, total global casualties zinakadiriwa kuwa 178,044,988 kama unavyoona kwenye picha hapo. (Tofauti ya picha; Russia in Red, NATO in blue)View attachment 2628474

Stage 2, waliita ni Nuclear fallout, ambayo wameikadiria kwa muda wa day 1 mpaka day 30 baada ya vita vya Nuclear mda huo wanakadiria total global casualties kufikia 186,457,901.

Sasa nuclear fallout ni nini?
Imeelezewa hapa chini
View attachment 2628486
Na hii Nuclear Fallout, mojawapo ya unit inayotumika kupima radiations ni REM (Roentgen equivalent man). Ukiangalia kwenye picha ya Simulation yao, wameweka vipimo vya radiations kwenye unit ya REM,
View attachment 2628476
na Tanzania inachezea kwenye REM kati ya 489-670.

Tafsiri ya unit hizo imeelezewa hapa in relation to radiation dose.
View attachment 2628492
Hivyo kwa kiwango hicho cha dose ya Radiation itakayosababishwa na Nuclear fallout, Tanzania pia tutapatwa na madhara kama inavyoonekana hapo.

Stage 3 wameipa jina la Nuclear Winter, hii wameikaridia kuanzia mwezi mmoja mpaka miezi 10 baada ya Nuclear war mda huo wanakadiria total global casualties kuwa 548,739,330.

Baada ya mabomu ya nuclear, ule moshi utakaopanda juu wanasema utaenda mpaka kwenye ukanda wa stratosphere ambapo utazuia direct sunlight kupass kuja kwenye uso wa Dunia hivyo kupelekea Dunia kupatwa na severe climatic cooling.

Ukiangalia Tz hapo tupo kati ya -20°C mpaka -23°C.
View attachment 2628477
Sasa mojawapo ya madhara ya hali hiyo ya baridi kali kupita kiasi itapelekea mazao mengi kushindwa kukua, hivyo kwenye nchi zetu hizi tunazotegemea kilimo tutapigwa na janga na njaa kali.

Hiyo ni kwa ufupi tu kwenye pita pita zangu mitandaoni juu ya madhara ya Nuclear war kwa sisi nchi za 3 huku.

Labda limitation ya hiyo simulation nadhani hawakuelezea kwamba ni mabomu mangapi yatakayosababisha hali hiyo na ni mabomu yenye megatons ngapi maana pia hizo mambo zinatofautiana.
View attachment 2628508

Wajuzi wa mambo za Nuclear radiations wataongezea/kukosoa/kurekebisha.
Aksnt mkuu kwa ufafanuz
 
BAADA YA ABRAM WAKAJA WAKINA JAMVILN WAKINA HIMARR WAKAJA WAKINA PATRIOT SASA WANALETA NA NDEGE HAYA MPIGA NYETO NJOO TOA UCHAMBUZI KABLA ATUJA VIVURUGA TENA.
.
HATIMAYE MJI LEO UMEDONDOKA KWA KUTUMIA MAKOLEO NA SULULU NA MACHEPE MANA WARUSI WAMEISHIWA SILAHA.
.
BAADA YA KUCHUKUA MJI WALA HATUPIGI KELELE HABARI UTAITOA MWENYEWE MAUMIVU YA KIKUZIDI
 
Baada ya mji wa Bakhmut kuwa chini ya Russia baadhi wapiganaji wa Wagner watapewa likizo fupi siku ya jumamosi ijayo kupisha vikosi vya jeshi la Russia ambavyo vitakuwa na kazi ya kuweka mitambo yote muhimu kulinda Bakhmut.

Kinofanywa mida hii ni usafi wa mji kuhakikisha hakuna shida yoyote ilobaki na silaha zote ziliachwa na vikosi vya Ukraine kukusanywa tayari kupelekwa kwenye maghala maalum.

Kisha wiki ijayo baadhi ya vikosi vya Wagner vitaanza kazi ya kuelekea Kramatorsk.

Baada ya hapo Ukraine waweza kuanza "Counter Offensive" yao ambayo wamekuwa wakiimba kutwa kucha.
 
BAADA YA ABRAM WAKAJA WAKINA JAMVILN WAKINA HIMARR WAKAJA WAKINA PATRIOT SASA WANALETA NA NDEGE HAYA MPIGA NYETO NJOO TOA UCHAMBUZI KABLA ATUJA VIVURUGA TENA.
.
HATIMAYE MJI LEO UMEDONDOKA KWA KUTUMIA MAKOLEO NA SULULU NA MACHEPE MANA WARUSI WAMEISHIWA SILAHA.
.
BAADA YA KUCHUKUA MJI WALA HATUPIGI KELELE HABARI UTAITOA MWENYEWE MAUMIVU YA KIKUZIDI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule mpiga nyeto kumuona humu sio leo wala kesho maana atakuwa kashapewa taarifa kuhusu Bakhmut.
 
Subiri Counter offensive, tunawavuta mjae ndani ya 18 then kichapo cha mbwa mwizi kinafuata!

Si umeskia mzigo wa F16 unakuja?
Hizo ndege haziendi hivi karibuni zaweza kuchukua hadi December, kwasababu marubani na mafundi ni lazima wafunzwe na NATO na US ili waweze kuzimudu ndege hizo.

Pili, kuna gharama kubwa ya ndege hizo kupelekwa Ukraine na Zelenskyy kuitwa Japan kueleza kwanini atumia hovyo vifaa vyenye gharama kubwa ni kwasababu wakijibu mapigo hutumia silaha nyingi bila mpangilio hivyo kumaliza akiba mapema kuliko kawaida.

Ukisikia watangaza vifaa kupelekwa huko Ukraine huwa si hapohapo kuna masuala mengi ya watengenezaji na matengenezo na vingine.

Kumbuka silaha nyingi zitumikazo Ukraine kwa pande zote mbili ni zile zilotumika katika vita na uvamizi wa nchi kama Iraq, Syria, Afghanistan na hata Kosovo.
 
Screenshot_20230520-170417_Samsung Internet.jpg
 
Breaking news........

Saudi Arabia + other other Arabs states wamkataa zelensky [emoji23][emoji23][emoji23]

Saudi Foreign Minister Prince Faisal bin Farhan has said that Riyadh and other Arab states are taking an impartial stance in the Ukraine-Russia conflict and want to maintain ties with both parties. He made the statement after the conclusion of the Arab League summit in Jeddah on Friday, which was attended by Ukrainian President Vladimir Zelensky.

“Since the beginning of the crisis, the Arab countries have taken a position of positive neutrality, opening dialogue with the Russian and Ukrainian parties, while ensuring Arab relations with the two sides,” the diplomat said, adding, “we welcome hearing the viewpoints of both sides of [the] Russia-Ukrainian conflict.”
 
Back
Top Bottom