Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

hii ni mara ya kwanza sio anadai katuma video kabisa au hujaiona

Alaf mwanzo alisema hivi kiutawala bakhmut iko chini yetu na hii ni baada ya kuwatimua manaz kwenye jengo la utawala

Leo kasema kaichukua bakhmut

Alaf waambie hao kuku wako wa nato watume video tuone wako bukhmut sehemu gani na sio maneno ya khanga hatuyataki!
Hizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]
Hii inaonesha hata nyie ni wagonjwa wa akili kama mnashindwa kumsoma huyu mtu kwamba ni mgonjwa wa akili!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]As part of the working visit to Japan in order to participate in the Group of Seven (G7) Summit, President of Ukraine Volodymyr Zelensky held a meeting with Chancellor of Germany Olaf Scholz. The Head of State expressed gratitude to Germany for the powerful defense assistance provided to Ukraine.[emoji298][emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni ivyo ivyo kuwa upande wa mashoga ipo siku litawakuta jambo[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].

Jukwaa mmelikimbia tayari kwa sababu ya kuwamini mashoga.

*Himars
*T14 armata
*kipanya44
*Mk245
Na wengine
Proved 🤣😂😂🤣😂🇷🇺💪😃👏👏🙌
 
Hizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]
Hii inaonesha hata nyie ni wagonjwa wa akili kama mnashindwa kumsoma huyu mtu kwamba ni mgonjwa wa akili!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Niletee ushahidi wa kuonyesha Pligozhin alishasemaga kuwa ameiteka Bakhmut yote.

Nipo nimekaa siti ya mbele nasubiri majibu
 
Hizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]
Hii inaonesha hata nyie ni wagonjwa wa akili kama mnashindwa kumsoma huyu mtu kwamba ni mgonjwa wa akili!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
soma vizur coment hiyo video gani ametuma mara 70 au ushavurugwa mji unaenda jengwa kama mauripaul

NAsikia chui wa kibisa na mashangazi ya himas yamefumulia nyuma hayana ujanja
 
Hizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]
Hii inaonesha hata nyie ni wagonjwa wa akili kama mnashindwa kumsoma huyu mtu kwamba ni mgonjwa wa akili!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uzuri kumbukumbu uwa hazifutiki.kati ya wewe na Progozhin nani mgojwa maana ni wewe ndo ulikuwa unatuletea taarifa zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230520-190524.jpg
 
Leo hii amekuwa chizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2629016
Kukumbusha tu ni kwamba hiyo picha iliyopo kwenye avatar yako ni Moja ya ushaidi mwingi mliowahi kuleta hapa mkidai kwamba bakhumut Iko chini ya Wagner.., ajabu ni kwamba Leo mmeshasahau hizo propaganda [emoji1787]

Nakushauri kwanza uondoe hiyo picha kwenye avatar yako kabla ya kuendelea kukana kwamba kiongozi wa Wagner hakuwahi kudai kuiteka bakhumut [emoji23][emoji28][emoji38][emoji16][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

It's Official: Russia has finally liberated Bakhmut from Ukrainian NAZIS​

20 MAY 2023
It's Official: Russia Has Liberated Bakhmut from Ukrainian NAZIS

As reported "imminent" on the Hal Turner Radio Show last night (Friday 19 May) Bakhmut, Ukraine has finally and officially been liberated by Russia; the Ukrainian NAZIS are defeated and have fled.
Leader of the Wagner PMC, Prigozhin made the announcement personally, with his Wagner troops inside Bakhmut city in a video below.
The city map of Bakhmut shows the areas now totally liberated by Russia,the entire city!

This victory will have severe implications for Ukraine NAZIS, who now will have great difficulty supplying troops in the entire south of Ukraine.
All major rail lines previously used to supply Ukraine troops, ran through Bakhmut, as did several major highways. Now, the Russians control the entire city, and those Ukraine military supplies cannot get through.
Prigozhin says that his Wagner troops will leave Bakhmut on the 25th, being relieved by the Russian Army. They will get some (well-deserved) rest, then likely be assigned to another city target; rumors suggest Odessa.

cc:Kipanya
 

Attachments

  • Bakhmut-liberated-by-Wagner-PMC-and-Russian-Army.mp4
    10.7 MB
mohamedidrisa789 anadai Wagner hawajawahi kudai kuiteka bakhumut huku picha ya kwenye avatar yake ikimkana[emoji2][emoji16][emoji38][emoji28][emoji23][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kk security ya Russia imewapiga wanajeshi wa Ukraine na NATO huko[emoji23][emoji23]alafu mnasema NATO wapo vizuri.
 
Back
Top Bottom