Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

"the truth will eventually showup itself"

Haya ndio maneno sahihi kutumika Kwa Sasa kuliko kumshangilia chizi mmoja kama zombie!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Warusi wapo kwenye operation tokomeza ushoga duniani.
 
Wewe ndio huna akili kabisa,hata wazazi wako waliingia hasara tu..,hiyo picha jamaa alituletea akidai Wagner wameithibiti kabisa bakhumut na Hilo ni jengo la utawala la bakhumut [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ndio maana mna itwa wapumbavu alicho kisema ni kwamba kiutawala bakhmut imechukuliwa elewa maana ya maneno chizi wewe sasa kama jengo la utawala liko chini yao unafikiri wangesemaje na ndio maana leo prigo amesema ameuchukua mji mwanzo utawala sasa ni mji pumbavv
 
[emoji1255]Ukrainian armed forces turning cope machine up to 1000% as they DENY #Wagner PMC Chief #Prigozhin’s statement that Artyomovsk, Donetsk Republic (ex-Ukraine) is under full control of Russian forces.

Subscribe @IntelRepublic
IMG_20230520_200141.jpg
 
Subiri Counter offensive, tunawavuta mjae ndani ya 18 then kichapo cha mbwa mwizi kinafuata!

Si umeskia mzigo wa F16 unakuja?
Hizo F-16 zitakosa soko lake. Maana zitapigwa na manati ya SU - 35, zidhani Kama watafanya upuuzi huo.
Subiri Counter offensive, tunawavuta mjae ndani ya 18 then kichapo cha mbwa mwizi kinafuata!

Si umeskia mzigo wa F16 unakuja?
 
Urusi anajaribu kubuni njia zozote Ili kujikinga na kichapo, lakini vijana hawakomi kumpelekea moto [emoji1787]



[emoji298][emoji298]In the temporarily occupied areas, Russian invaders are using civilian health facilities to meet their military needs. The upper floors of the Luhansk region’s Lutuhyne District Territorial Medical Association were transformed into a military hospital, while the first floor was left for the children’s department as a living shield, according to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.[emoji298][emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
1684602505455.png

Maisha ya u chawa ni magumu sana .
Kua kibaraka ni mateso sana .dogo amekua ni mbuzi wa kafara.

Urusi ilichokua inataka kwa Ukraine ni kitu kidogo TU.
Ukraine iwe nyutro.
Dogo akasema yeye anataka kua NATO.
NATO ni adui namba moja wa Urusi.
Urusi haikua na uchaguzi.
Sijui kama dogo atatoboa Leo mji uliokua unalindwa kwa gharama kubwa wa Barkhmut umeangukia mikononi mwa jeshi la Urusi.
Dogo anapewa matumaini hewa na Joe
 
Back
Top Bottom