Kwani hii taarifa ni uongo?Ni kweli 💯%.Sikiliza Umshana,wewe upo hapa kujaribu kuitetea na kuficha uovu wa Marekani and all its' allies,mimi nipo hapa ku-expose Americas' evil against humanity,hiyo ndiyo tofauti yetu kubwa.Kwa hiyo Umshana naweza kusema wewe ni adui wa Binadamu kama ilivyo Marekani.
Napenda kukufahamisha kwamba watu sasa wameamka na wanajua adui yao mkuu Duniani,Serikali ya Marekani.Na sitachoka,nitaendelea ku-expose uovu wa Marekani and its' allies mpaka kieleweke.
Uovu wa Marekani tunao-ujua mpaka sasa kwa sehemu,ni huu ufuatao:-
UOVU WA MAREKANI KWA WANADAMU KWA SEHEMU
1.Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutumia Atomic bomb,na kuua watu zaidi ya 100,000 Japan.
2.Marekani katika vita vyake vya kulazimisha nchi kufuata matakwa yake imeua zaidi ya watu millioni 20!
3. Marekani imeua viongozi wa nchi zaidi ya 10 na kupindua serikali zaidi ya 20 duniani kote katika harakati zake za kuiba rasilimali za Dunia.
4.Marekani inatekeleza mikakati mbali mbali ya kuua na kupunguza kwa siri binadamu duniani kote ikiwemo uzazi wa mpango,Chanjo,vyakulasumu,dawasumu nk.nk.Marekani pia ina a global network of over 300 biolab facilities all over the World,all aimed at killing people..
5.Marekani kwa kutumia CIA ndiyo muuzaji mkubwa wa siri wa Heroin kuliko nchi yeyote duniani.Umeshawahi kuwaza kwa nini Kilimo cha Heroin Poppy Afghanistan kinashamiri wakati M arekani wapo?Yes,CIA wakishirikiana na Taliban ndiyo walimaji na wauzaji wakubwa wa Heroin duniani,bila kusahau matumizi ya Opiods kama Fentanyl Marekani kwenyewe ambazo CIA ndio wahamasishaji wakubwa kwa siri wa matumizi yake.Opiods zimeharibi jamii ya Wamarekani kabisa.
6.Marekani inaiba mchana kweupe na kwa kutumia hila rasilimali za nchi mbalimbali zikiwepo Urusi,Syria,Iraq,Libya,Congo DRC nk.nk.
7.Marekani kwa kutumia Hollywood imeharibi moral values za Dunia nzima.
8.Marekani kwa kutumia covert means inaendelea kuharibu hali ya hewa ya Dunia nzima.
9.Marekani ina vituo vya kijeshi zaidi ya 800 Dunia nzima kwa nia ya kutekeleza mikakati yake miovu ya kupindua nchi huru kwa nia ovu za kuiba rasilimali na kutekeleza matakwa yake maovu dhidi ya nchi zingine.
10.Marekani kwa kutumia its' technological advantage ina leta havoc duniani kote kwa kuleta mafuriko,volcanoes,Hurricanes,Tsunamis,joto kama lilitokea India,Ulaya,na hata Marekani kwenyewe na majanga mengine mengi duniani kote.Serikali ya Marekani ni ovu sana,na haijalishi ni Democrats au Republicans,ni mwendo mdundo.