Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
People think it was just the Nazis that operated concentration camps. Britain used them in South Africa, Ireland, Palestine, Malaya and Kenya.
Nenda huko Ukraine eneo lililopigwa na kombora ili ututhibitishie humu kuwa hakuna radiation Kama hutarudi unaharisha damu bila kikomo...Habari hii ni ya uwongo. Tumeipata tayari. Haina msingi wowote.
Ona ramani rasmi ya mnururisho nchini Poland, data za leo (ramani hii ni tovuti ya serikali inayoonyesha data za siku ileile)
View attachment 2627812
Data za 19- 05. 2023
Wapi wingu lako?? Vipimo vyote vya kawaida.Państwowa Agencja Atomistyki
monitoring.paa.gov.pl
Mkuu hizi ni tovuti (zote 3 nilizoleta kutoka Poland, Ujerumani na Umoja wa Ulaya) zinazoonyesha vipimo vya vituo vinavyoingizwa katika tovuti bila kuguswa na mtu. Tovuti zinaendeshwa na mamlaka zinazotekeleza majukumu kisheria.Data za kipropaganda....wewe unadhani West watakubali kuwa Kuna radiation?!?! Wewe mwenyewe uliyejaa propaganda za wauaji was West unapinga...ki-rat Kila siku huja hapa na data za kinachodaiwa eti idadi ya warusi 'waliochinjwa'...lakini vifo vya Ukraine hajawahi kuleta hapa na ambapo tunaamini ni zaidi ya laki nne..
Mkuu ukifaulu kufika hapa JF nahisi utaweza pia kubofya link mwenyewe. Kuhusu Poland nimeshaweka ni hii hapa:Hiyo ramani hata wewe na pia ki-rat mnaweza kutengeneza ....Ni Nani asiyefanya propaganda?! Yaani West eti hawafanyi propaganda?! Duh...
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2627890
Kama hawawezi ikulu iliguswa nanani naniniView attachment 2612035Lazima utukane, hoja huna na hujui mambo. Ukimaliza hapo njoo na propaganda. Si mlisema Russia ina air defence system nzuri?
Sasa mbona hata kulinda ikulu hamuwezi View attachment 2612036
Mimi niliandika kama nani mimi ni mwanafamilia tu hapa JF na hayo wala hayakusemwa na KREMLINUliandika hivi mwezi wa tatu, mwezi wa nne umeisha na Bakhmut hamjaikomboa.
Russia taifa kubwa[emoji23]
Sasa sijui hii ni propaganda ya kijanja au kijinga? Kuacha sehemu inayosema pia MArekni inaweza kuanganmiza Urusi katika sakika chache?[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2627890

Wewe pro-West sikia ninachokuambia Sasa: Binafsi Sina muda kuendelea 'kubishana' na wapumbavu wa kundi la pro-West...hiyo mikeka yako iliyojaa upuuzi you can direct to others who can tolerate your nonsense...Mkuu hizi ni tovuti (zote 3 nilizoleta kutoka Poland, Ujerumani na Umoja wa Ulaya) zinazoonyesha vipimo vya vituo vinavyoingizwa katika tovuti bila kuguswa na mtu. Tovuti zinaendeshwa na mamlaka zinazotekeleza majukumu kisheria.
Kama ungefuatilia kidogo ttu majadiliano katika nchi hizo,ungejua jinsi gani sehemu kubwa ya wananchi wako macho kabisa kuhusu mambo ya nyuklia na mnururisho.
Ujerumani hadi kulazimisha wanasiasa wao kuachana na uzalishaji wa umeme kutoka tanuri za nyuklia. Sehemu kubwa ya wananchi wanakubali kulipa bei ya juu ya umeme kwa hatua hii (wengine wanalipa kwa masikitiko).
Hakuna mwanasiasa ambaye angeweza kubaki akijulikana anajaribu kugushi au kuficha data.
Ujerumani si Zimbabwe.
Kama kawaida: Asiye na hoja anakimbilia matusi ! 😛Wewe pro-West sikia ninachokuambia Sasa: Binafsi Sina muda kuendelea 'kubishana' na wapumbavu wa kundi la pro-West...hiyo mikeka yako iliyojaa upuuzi you can direct to others who can tolerate your nonsense...
Karibu sana jf,hii ni SMO TU,kinachovutia Nchi 30 zinakalishwa na ka kampuni ka ulinzi.Yaani kwa maafa yote hayo hadi zielinsky tumbo joto,Bado Russia hamjaanza vita sio !!?
Hivi umeelewa swali alilo uliza na hoja yake kwa ujumla au umekimbilia kutoa links tu!Mkuu ukifaulu kufika hapa JF nahisi utaweza pia kubofya link mwenyewe. Kuhusu Poland nimeshaweka ni hii hapa:
Kuhusu Ujerumani ni hii hapa: ODL-Info - Measuring stations in GermanyPaństwowa Agencja Atomistyki
monitoring.paa.gov.pl
Kuhusu Ulaya hapa Radiological Maps - European Commission
Ukifaulu kubofya lete taarifa kama nimegushi kitu.
Poland si Zimbabwe!
Hichi kirusi kimekuwa kikizungumzwa kabla hata ya mlipuko wa corona-19.Corona is fake mkuu,mimi ni mtaalam mbobezi wa microbiology,so I know what I am talking about.Kwa taarifa yako huyo Virus anaye daiwa kuleta ugonjwa unaoitwa Corona hajawahi kuwa isolated,so that means scientifically the virus does not exist and does not adhere to Kock's Postulates.
Mkuu taarifa za kuwepo kwa Corona ni udaku, bad science and World Politics,hata wataalamu wa Afya wanakiri,ila wanaogopa wakisena watakuwa fired.Swala hili limekuwa discussed sana JF,sijui wewe ulikuwa wapi.
Anyway, isiwe tabu,nime-compile alot of information here👇,jifunze.
![]()
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
Kabla ya mwaka 91 hatukuwahi kua na RF hata ikulu ya MAGOGONI haikujengwa na TANGANYIKAKwa akili zako unadhani Urusi ilianza kuwepo mwaka 1991. Czar Nicholas II, Peter the Great na Catherine waliongoza nchi gani?
Kwani nani hajui Russian Empire, USSR na Russian Federation.
Hiyo Kremlin inayowaliza ilijengwa na nani kwenye era ipi?
Ngoja nieke kituo hapa ntarudiWewe jamaa una maneno mengi utadhani mfanya mazingaombwe.
Wewe Kila kitu alichonacho Urusi asichokua nacho USA kwako ni kupinga TU.
Mada hii haizungumzii mafanikio ya kiuchumi wala utajiri wa mamiilionea,unajaribu kuhamisha mada.
Mada ni vita kati ya Urusi na Ukraine.
Kama Urusi kubwa jinga ingizeni basi majeshi yenu ya NATO kama mlivyozoea kuingiza Kwa akina lraq na Watalaban.
Umekua muongo Hadi unasahau ulidanganya Nini mara ya mwisho na Sasa hivi watu wamekushitukia na Sasa umeanza kujiongopea mwenyewe.
Nakukumbusha moja ya uongo wako ,Kuna mtu alikubana humu kwa ishu ya Assad ukasema USA haikuwahi kutaka kumpindua Assad.
Nikakuletea kauli za Viongozi wa USA wakubwa akiwemo na Rais wa USA wakisema 'Assad must Go'.
Sasa mtu kama wewe tukuamini kwa lipi?
Kama nilivyosema mkuu,ni utapeli,nia ilikuwa kutisha watu, ili wakubali kinachoitwa kwa makosa chanjo,ambayo kiukweli sio Chanjo ila ni Bio-weapon. Hicho kinachoitwa chanjo ndiyo nia hasa, na nia yake kimsingi ni maiming and killing.Hichi kirusi kimekuwa kikizungumzwa kabla hata ya mlipuko wa corona-19.
Mkuu nadhani nimeelewa kwamba alileta tangazo la Urusi linalodai kuna wingu la mnururisho hatarishi lililosababishwa na mlipuko wa ghala ya grenedi na risasi zenye urani. Alichotangaza ni wingu hili limesambaa hadi Ulaya ya Magharibi.Hivi umeelewa swali alilo uliza na hoja yake kwa ujumla au umekimbilia kutoa links tu!