Nani kaliona ^azimio^ lenu ^kama mzaha,^ mkuu
kp kipanya44 ? Au ndiyo kwamba mmeanza kujishtukia?
Tunachojua kwa hakika ni haya:
1. NATO chini ya ukiranja na ulaghai wa Marekani, wasipokubali kukaa meza moja na Russia ili wayamalize, mwisho wa SMO hauwezi kuwa mzuri kwa Ukraine.
2. NATO na US wakizidi kujiingiza kwenye mgogoro huu, kama ambavyo sasa tunaona Marekani, UK, Ujerumani, Poland, nk., WW3 is inevitable.
3. WW3 may actually mean all of us -- humanity -- is totally doomed.
4. Mionzi ya juzi iliyotokana na kuteketezwa kwa silaha zenye depleted Uranium ambazo Uingereza alizipeleka Ukraine kwa lengo la kumshambulia Mrusi, ni mfano halisi ambao ungepaswa kuwaamsha viongozi wa pande zote mbili wakae kwenye meza moja ya mazungumzo na kuimaliza vita haraka iwezekanavyo.
5. Pengine kweli NATO, Marekani na viongozi wote wa G7 hawana mzaha. Lakini kumbukeni pia kwamba Russia hana mzaha. Kauli zake amekuwa akizirudia tena na tena kama msisitizo kwa wale wenzenu na ninyi wenye masikio mazito kuelewa.
NB: We're just a few ^minutes^ away from unprecedented World Nuclear Showdown!