Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umejibu hoja moja kati ya mbili za muuliza-swali. Vipi kwa upande wa nchi ya Mali yenyewe? Kwa nini ina a lot of mines lakini haina hizo reserves?

Sikushangai sana kwa sababu hata majambazi na waporaji huwa wana mawakili wa kuwatetea mahakamani. Go! Go! Go!
Mkuu nikiangalia habari za Mali naona makampuni yaliyopewa laiseni huko kuchimba dhahabu ni hasa za Afrika Kusini. Sijaona Ufaransa katika bishara hiyo ya Mali. (Labda kuna hisa mkononi mwa Wafaransa, sikuona bado).
Swali la akiba ya dhahabu linategemea na maazimio ya siasa ya kila nchi.
Nakumbuka rais Magufuli aliagiza Benki Kuu kuanzisha akiba ya dhahabu kwenye mwaka 2019. Waziri Biteko alitagaza mwaka huu wa 2023 kwamba Tanzania kuna akiba ya kg 400. Tanzania iliwahi kuwa na akiba tangu 1990, lakini yote iliuzwa hadi mwaka 2002. Nikielewa taarifa vema, kabla ya mwaka 2019 Tanzania haikuwa na chochote. 2019 Magufuli aliagiza kuanzisha akiba, lakini sijaona kwamba amri hii ilitekelezwa. Samia alirudia maagizo mwaka 2021 (Ona hapa na hapa). Tangu amri hizo akiba ndogo imeanzishwa tena.
Je mfano huu wa Tanzania unaonyesha kwako ujambazi kutoka nje au maazimio ya siasa?

Habari za Mali sijui kwa undani, ila naona hata huko ni swali la maazimio ya kisiasa. Angalau na ona si makampuni ya Kifaransa yanayochimba dhahabu huko Mali.
 
Kama unadhani ukoloni na ubeberu umeshaisha duniani, tafakari tena mara mbili mbili, mkuu. Colonialism is alive and well.

Just because colonial powers don't actually occupy sovereign states, doesn't mean it's dead. Jiulize nani mwenye sauti Afrika kati ya viongozi wake na mataifa ya Ulaya na Marekani?


Hapa ni wazi hujui maana ya ubeberu. Actually, Marekani ndiye beberu dhidi ya Ukraine kwa sababu bila yeye kujipenyeza na kuivuruga Ukraine, amani ingekuwa inatawala hadi sasa.
Mkuu unasema kweli kuna changamoto tunayoita ukoloni mamboleo. Ila hii ni tofauti na ukoloni halisi na ubeberu wa zamani.
Nchi kubwa zinajaribu kushawishi nchi ndogo tangu siku za Misri ya Kale. Zinalenga kuhonga watawala wa nchi ndogo au kuwatisha, kuwapa faida za kiuchumi au kunyima.
Hata hivyo, leo nchi huwa na nafasi ya kujiamulia.
Ishara ya ubeberu wa zamani ilikuwa tishio la kijeshi na uvamizi wa mara kwa mara. Marekani iliendelea hata baada ya Vita Kuu ya Pili, Uingereza ilijaribu 1956 huko Misri. Nisipokosei wameshaacha tangu miaka mingi.
Ila Urusi inaendelea: Georgia, Moldova, sasa Ukraine.
 
As Ukraine gathers forces for the counteroffensive, Russia continues to build defensive lines on a massive scale.

The lines are especially formidable in the southwestern part of Zaporizhzhia Oblast, where many observers expect the main Ukrainian assault to strike.

But defenses have been prepared along pretty much the entire front; in occupied Crimea and inside Russia. They incorporate trenches, bunkers and strongpoints, infantry and vehicle shelters, anti-tank ditches, pyramidal concrete tank barriers called dragon's teeth, and minefields, as well as terrain and water features.

When properly manned, these lines could pose a tough challenge without an easy solution.

Russia’s ability to properly man them is debated. The Russian military can’t hope to defend the entire 800-kilometer front line with equal vigor. During the defense, large Russian formations may have to fall back to prepared positions in a coordinated fashion — Russia’s shown that its large-scale maneuvering capability isn’t the best.

Read the full analysis here: Where does Russia expect Ukraine’s counterattack? Overview of defensive lines

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56][emoji56]



[emoji1255]President Zelensky created a council for the liberation of Crimea

In particular, it included:

• Minister of Reintegration of the Temporarily Occupied Territories of Ukraine Iryna Vereshchuk

• Minister of Foreign Affairs of Ukraine Dmytro Kuleba

• Head of the Office of the President of Ukraine - Andriy Yermak

• Secretary of the National Security Council Oleksiy Danilov

• Head of the Security Service Vasyl Malyuk and others.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Russia To Be Hit With Tougher Sanctions at G7 Summit in Japan, Zelensky Expected to Attend

World’s biggest economies to consider stronger package at Japan summit that Ukraine’s President will address, but doubts remain about sanctions’ effectiveness with Russian/Chinese trade boom.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo ya kurusha makombora na drones super pawer angeachana nayo tu,ni matumizi mabaya ya resources [emoji1787]



[emoji779]️On the night of May 19, the Russians attacked Ukraine from the north and south-east with Shaked-136/131 drones and Kalibr cruise missiles from ships in the Black Sea.

16 Shaked-136/131 drones and 3 Kalibr cruise missiles were shot down by Ukrainian Air Defense.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, 1) asiye na hoja anatukana 2) hapana, wewe umeleta habari, kwa hio ni kazi yako ya kuonyesha uthibitisha na vyanzo.
Hivi 'mpumbavu' ni tusi????!!!! Maana hata wewe umewahi kutumia neno hili kwenye uzi huu...ina maana na wewe ulikuwa huna hoja??!!?!
 
Yaani drones na makombora vinapukuchuliwa kama senene kila uchao, sioni haja ya kurusha hizi!
1684481132722.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kinzhal vs Patriot: Another Rotten Outcome for the Kremlin

Despite Kremlin protestations to the contrary, Russian-made ‘hypersonic’ Kinzhal cruise missiles are highly vulnerable to Ukraine’s US-made Patriot air defense weapon systems.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]



[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces killed about 201,760 Russian invaders between February 24, 2022 and May 19, 2023, including 660 in the past day alone.
On May 18, Ukrainian defenders also destroyed 4 enemy tanks, 4 armored combat vehicles, 12 artillery systems, a multiple rocket launcher, an air defense system, 10 operational and tactical level UAVs, 21 cruise missiles, 10 trucks and fuel tankers, and a unit of specialized equipment.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky said in his evening video address that he had held a war cabinet meeting to discuss the work of the defense, offensive and Air Force brigades.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji56]Norway will transfer eight long-range multiple launch rocket systems and three Arthur artillery location radars to Ukraine, Norwegian Defense Minister Bjorn Arild Gram said at a meeting with UK Defense Secretary Ben Wallace in Northwood.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]


[emoji298][emoji298]Ukrainian forces struck Russia’s weapons and military equipment cluster, an ammunition depot, three artillery units in a firing position, an anti-aircraft missile system, as well as seven e-warfare stations and a radar station in the past 24 hours.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Russia To Be Hit With Tougher Sanctions at G7 Summit in Japan, Zelensky Expected to Attend

World’s biggest economies to consider stronger package at Japan summit that Ukraine’s President will address, but doubts remain about sanctions’ effectiveness with Russian/Chinese trade boom.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Doubts za nini tena?

Albert Einstein alishawai kusema kwamba: Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results

G7 wanachoenda kufanya ni Insanity....
 
Doubts za nini tena?

Albert Einstein alishawai kusema kwamba: Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results

G7 wanachoenda kufanya ni Insanity....
Wewe unayepatikana huko namtumbo unawaona viongozi wa mataifa yote 7 kwamba ni insane,! Hauna budi kutafakari upya huo mtazamo wako,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]World leaders arrived in Hiroshima for G7 summit

The G7 leaders already visited a museum in Hiroshima that documents the devastation caused by the U.S. atomic bomb in 1945. The event marked the start of the three-day summit, Kyodo reports.

Japanese Prime Minister Fumio Kishida, who chairs the meeting and represents Hiroshima voters, made nuclear disarmament a key item on the summit's agenda amid Russia's nuclear blackmail in its war against Ukraine and China's rapid nuclear build-up.

The war of Russia against Ukraine will be high on the discussion agenda.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

1684482149666.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe unayepatikana huko namtumbo unawaona viongozi wa mataifa yote 7 kwamba ni insane,! Hauna budi kutafakari upya huo mtazamo wako,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Sio mimi niliyotoa hiyo definition, ni Albert Einstein alisema kwamba, kuendelea kufanya kitu icho icho kwa namna hiyo hiyo na kutegemea kupata matokeo mapya huo ni ukichaa.

Mimi nilichofanya ni ku translate hiyo kauli yake na kitendo cha G7 kuendelea na sanctions.

Samahani mkuu kama nitakuwa nakuumiza na nilichoandika.
 
Back
Top Bottom