Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787]
Screenshot_20230519-090000.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila dalili kwamba very soon NATO wananyoosha mikono na kukubali kuumaliza huu mgogoro mezani kwa conditions za Russia.
Situation is very fragile now. Zelenky amekimbia nchi. Hawezi tena ku command mapigano.
Kila wakipeleka Silaha zinaishia kuteketezwa.

Ukraine imeshafikia exhaustion limits kwenye troops deployment.

Ila Kitendo cha Zelensky kukimbia nchi ndio kitendo cha ki bwege sana.
 
Mkuu inaelekea unafaidika sana na hila za Ulaya..

Makubaliano ya Urusi na NATO ni kwamba wasisogeleane mipakani ikiwa kila mmoja hataki kuhesimu sera za mwenzie...
Ulaya na US haijashika makubaliano hayo zaidi inajisogeza mipakani mwa Urusi kila kukicha

ULAYA imetumia mianya hyo kama silaha kwa zile nchi zinazokataa sera za kimagharibi ikiwemo kulazimisha ushoga, basi hupenyeza viongozi mamluki(puppet leaders) katika serikali zinazokinzana na sera zao, wakishindwa kuwaingiza kwa amani wanatumia (coup) kupindua serikali zilizopo madarakani kwa kisingizio cha udikteta..watatumia kufadhili upinzani ndani ya nchi yako au kuifadhili nchi jirani yako...

Kwa mfano EAC kuna nchi kama sio moja ni mbili zinafadhiliwa na serikali za ulaya na US kuleta taharuki ya hofu na machafuko kwa nchi jiran yake..hata wewe unalijua hili..
Hapo hapo watakukuja watu wengine na kudai eti ukoloni ulishaisha kitambo. Seriously? US is a malignant cancer & cynical curse of the world.
 
Ila Kitendo cha Zelensky kukimbia nchi ndio kitendo cha ki bwege sana.
Actually, mimi naona ni kitendo cha kishujaa sana kwa sababu akibaki humo ataliwa kichwa in no time.

Ninachosikitika tu ni kwamba amefanya hivi akiwa amechelewa sana.

Kulikuwa na sababu gani ya kuingia vitani huku akijua he doesn't stand any chance against almost formidable Russia?
 
Vip,hii habari unayo??



[emoji298][emoji298][emoji298]Russian Hypersonic Missile Scientists Face Accusations of Treason

Senior Russian scientists have warned that the continued arrests of their colleagues is in danger of destroying their ability to conduct the research essential to protecting their nation.[emoji298][emoji298]

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya one will be insane, a zombie or a loon to support a government or a group of people doing all the evil below to humanity,and frankly that is why I find you one,that is a loon.Comeon Kipanya acha ujinga,let's join forces and fight our common enemy,the NWO Cabal,which is represented by the general West including the Empire of Lies and Evil,the US.

 
Actually, mimi naona ni kitendo cha kishujaa sana kwa sababu akibaki humo ataliwa kichwa in no time.

Ninachosikitika tu ni kwamba amefanya hivi akiwa amechelewa sana.

Kulikuwa na sababu gani ya kuingia vitani huku akijua he doesn't stand any chance against almost formidable Russia?

Kamanda hutakiwi kukimbia uwanja wa vita na kuwaacha wapiganaji uwanjani.
Kama ni kukimbia mnatakiwa mkimbie wote.

Naona ile ishu ya kurusha drone pale Ikulu ya Kremlin ndio imempa kiwewe cha kukimbia.
 
Wamesha anzo hapo USA inatafuta kisingizio cha kuanza kuilaamu Ukraine kwamba Patriot ilitiwa kiberiti na Kinzhal kitokana na uzembe wa wa Ukraine walio kuwa wana- man US Patriot ADS wanatufanya wajinga kwamba hatujia kwamba all US mission critical arsenals eg Patriot and HIMARS zinakuwa manned na wanajeshi wa Merikani na si Waukraine kutokana na USA kuto amini wanajeshi wa Ukraine wana wasi easi kwamba Warusi wanaweza kuwashawishi Waukraine kuauzia silaha hizo za kimerikani au zinaweza kutekwa kirahisi na Warusi - waseme ukweli hapa kwamba silaha za Urusi zimeshinda kete silaha za Kimerikani wasianze kutafuta visingizio vya kulaahumu watu kumbe tatizo ni silaha zao za mchongo na si watumiaji - wairudishe kwenye drawing board Patriot air defense system au wawaombe Warusi wawafundishi jinsi ya kudesign silaha kiboko yao kama ilivyo AK-47 ambazo zimeusika zaidi ya millioni 50 Dunia nzima., hata Merikani wamejenga kiwanda cha kuunda AK-47 bila ya kuomba kibali kutoka Urusi - kwa nini??
World: ^Explain to us why your Patriot ADS don't seem to work as you long hyped it.^

US: ^I think we deployed a wrong version of it. We're sending our best engineers and specialists to look into the matter.^
 
Mkuu nadhani sisi sote tunajua kanuni namba 1 hapa jamiiforums:
Asiye na hoja anatukana!
Usisahau kupiga mswaki, maana ukiweka maneno kama "mavi" mdomoni mwako mara kwa mara, harufu inabaki.

Nashukuru kwamba umethibitisha nilichosema: huna jibu kuhusu mnururisho wala kuhusu bismuth - majibu yako ni mahubiri au "mavi" (nukuu yako!) one will be insane, a zombie or a loon to support a government or a group of people doing all the evil below to humanity,and frankly that is why I find you one.Comeon Kipanya acha ujinga,let's join forces and fight our common enemy.

Umshana one will find you insane, a zombie or a loon if you support a government or a group of people doing all the evil below👇 to humanity,and frankly I find you one.Comeon Umshana if you are real human,sio "AI Chatbot, " acha ujinga,let's join hands and fight our common enemy,the NWO Cabal,which is represented by the general West including the Empire of Lies and Evil,the US.

 
G7 Wanataka kujadili Ukraine Peace...?

Si tumeshakubaliana vilianzia Cremia na vitaishia Cremia, sasa hii peace summit ya nini tena?
Sema kimeumana... But I really support the move. These conflicts have caused so many deadly damages that should never have happened in the first place.
 
Kipanya one will be insane, a zombie or a loon to support a government or a group of people doing all the evil below to humanity,and frankly that is why I find you one.Comeon Kipanya acha ujinga,let's join forces and fight our common enemy.

kp kipanya44 would rather have the entire human race sacrificed than listen to any truthful piece of advise however sensible it may seem to be.
 
Kipanya one will be insane, a zombie or a loon to support a government or a group of people doing all the evil below to humanity,and frankly that is why I find you one.Comeon Kipanya acha ujinga,let's join forces and fight our common enemy,the NWO Cabal,which is represented by the general West including the Empire of Lies and Evil,the US.

We can't fight our enemy by suppressing and killing innocent people

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tusivutane. Kimsingi maoni hapa JF si chanzo. Ila tutaona. Putin akirusha roketi kesho, tutasikia zitazuiwa kwa njia gani.
Si chanzo cha nini,taarifa?Umshana taarifa zinazoletwa hapa,hasa za Pro-Russia ni very authentic,kwa kuwa zinatoka kwenye vyombo credible.Tatizo ni taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari vya Empire of Lies and Evil,hizo sio credible kabisa as the name implies.Waandishi wa vyombo hivyo are taught to lie as part of their work na wenyewe wanakiri.Ni ajabu kwamba hata Empire yenyewe inajidanganya kwamba inatengeneza silaha nzuri,kumbe ni mabongenyanya,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...............
 
We can't fight our enemy by suppressing and killing innocent people

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Your enemy!!!???Which enemy are you talking about na wewe upo Kinyerezi Kipanya.Yaani unajifanya na wewe ni NWO Cabal member?Aisee,wamesema wazi mtawasaidia katika kufanya uovu wao,but you will never be one of them,wake up.
 
Frankly speaking, ni almost dunia nzima versus Russia. Huku Afrika nadhani Saudhafrika na You-gun-Dar ya M7 ndizo pekee zilizo upande wa Putin.

^Wengine yyyoooooooote ni punda^ ~ in Francis Atwoli's voice.
Mkuu, ukiona dunia nzima Iko against you,inabid ujitafakari kwanini dunian nzima ikuchukie,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu niliona habari kuwa USA na washirika hawataki haya machafuko yaishe. Mpango ni kuwa na machafuko miaka mingi sana kama Israel na Palestina huko. Lengo halijajulikana. Kama ni sahihi sijajua iwapo Urusi lengo lake naye ni hilo hilo au la. Kama silo ni bora akatangaza vita akaingia kamili kuliko hichi kinachofanyika. Ila kama na yeye ana lengo hilo hilo basi huenda huu mgogoro tukauzoea tu maana tutachoka sisi kuufatilia.
Uko Sawa,lkn napenda nikuhakikishie, Moscow wanajua Kila Nia ovu juu Yao inayopangwa na west.
Kuna watu hawalali kazi zao ni kufatilia Kila mpango ovu unaopangwa na west.
Wanajua kuliko tunachojua sisi.
 
Back
Top Bottom