Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna kila dalili kuwa Putin anatafuta njia ya kuhalalisha matumizi ya Silaha za Nyukilia kwa Ukraine. Marafiki wa Ukraine wanajua kuwa Ukraine haiwezi kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Urusi wakitumia silaha za Nyukilia hivyo wanatumia kila njia kuukwepa mtego wa Urusi isije ikaishambulia Ukraine.
Naomba ashambulie nione watakufa magaidi wangapi
 
Mkuu nikitazama mabondia wakipigana, wanarudia kufanya kilekile: kumpiga bondia mwingine ikiwezekana kichwani. Mara nyingi nimeona baada ya kurudia mara kadhaa, mmoja alianguka akashindwa.
Unaona ni kichaa?

Kwenye uzi huu nimejizuia ku comment kwenye posts zako zozote zile kwa sababu nakuonaga una utoto na ujinga mwingi sana.
 
Modern Russia unajulikana vizuri. Kwanza tangu wajitenge USSR population yao haijawahi kufika ya mwaka ule hadi leo. Ni miaka mingi tu inakuwa Russia kwa mwaka wanakufa wengi kuliko wanaozaliwa
Hili tatizo lakufa wengi kuliko wanao zaliwa sio la RUSSIA [emoji635] tu mataifa yote ama mengi duniani yanakumbwa na hii changamoto ikiwemo CHINA [emoji630]
Nandio maana inatabiriwa mwaka huu mwezi wa nane kama sijakosea INDIA [emoji1128] ndio litakua taifa linaloongoza kwakua naidadi kubwa ya watu duniani
Sasa hapo sijajua hoja yako wewe ipi MKUU
 
Mimi nataka ukipinga useme hii haiko hivi bali iko hivi, badala yake mtu anaandika "hujui" na hasemi wapi sijui na wapi nimekosea, na hasemi anachojua yeye.

Pro Russians wenye facts walishaondoka humu baada ya kugundua jeshi lao haliko vile wanavyolipigania. Wewe kila siku unapigania jeshi kusema ni superpower alafu tangu Oktoba 2022 hadi leo Bakhmut wanasumbuana. Sasa subiri counteroffensive ianze
Kaunta offensive haijaanza tuuu
 
Inabidi uelewe context ya maandishi ya mtu. Hatuandiki kama bots humu, mimi niki-accuse mtu namletea ni wapi aliandika hivyo ili tuendelee, sipendi kuandikia mate na wino upo. Na kuna nyakati watu wanaandika kwa mocking, mbona pro Russians waliosema Finland itaganda wapo humu humu.
Sasa watu humu wanakuja na zile "nyinyi mlisema" na nawauliza tulisema sisi akina nani, na kama nilikuwa mmojawapo.

Nikiandika silazimishi mtu aamini, ingawa siandiki kupotosha. Asiyetaka atafute atakapoamini mwenyewe ila mwisho wa siku facts zinajitenga na hisia. Naomba mnionyeshe wapi nilisema Russia wanatumia chips za washing machines, sikumbuki nilisema wapi. Ujue mtandaoni kuna NAFO na Vatniks na hizo chips za washing machines ilikuwa ni mock moja common sana pale kifaru cha Russia kilivyokutwa na chips za Western wakati kampuni hizo zishafungiwa kuuza parts Russia kwenye sanctions. Nimekumbuka nitaandika kuhusu hivyo vifaru
Duuh simu yangu Ile yenye ushahidi iliharibika ulisema RUSSIA [emoji635] wanatumia chip za washing mashine Leo unakana
 
Ukisusa wenzako wala

Supplies of fuel oil from Russia to China are expected to reach an all-time high of 350,000 barrels in May, Bloomberg reported on Wednesday, citing Kpler ship-tracking data.

According to the agency, smaller Chinese refineries have boosted purchases of fuel oil, which is commonly used for blending and is a less valuable part of the barrel than gasoline and diesel.

Supplies of Russian fuel oil to China saw an upsurge after February, when a price cap on Russian petroleum products adopted by the EU and G7 came into force.

According to Bloomberg, flows have soared over the past several months as Shandong province, home to most of China’s independent refineries, launched quality checks on bitumen mixtures, another favorite feedstock.
 
Mfumuko juu ......ulaya..


[emoji2398] Getty Images / PhotoAlto/James Hardy

Inflation in the euro area increased for the first time in five months in April, surging to 7%, the European Union’s statistics office reported on Wednesday, confirming preliminary data.

Eurostat said consumer prices had risen from 6.9% in March as higher services and energy costs offset a slowdown in food price growth.

Services inflation, which is primarily driven by labor costs, accelerated to 5.2% in April from 5.1% in the previous month. Energy prices were up again after a slight decline in March. Food, alcohol and tobacco prices were also up by 2.75% last month, but were lower than the 3.12% rise in March.

According to the report, core inflation – excluding food and energy prices – slowed to 7.3% from 7.5%, while an even narrower measure, which excludes alcohol and tobacco, declined from 5.7% to 5.6%.
 
Baada ya PMC kusema hawana silaha,mda mchache kilichofuata.

BAKHMUT NEWS UPDATE EVENING MAY 5
Despite the alleged artillery shortage Wagner forces continue their advance. Today up to 170 meters and taking 59 000m2, around 2 percent of ukrainian territory. Much of this by clearing remaining area (red shaded 1) north of Vuzvolyteliv Donbasu Street (red circle). Offensive operations continue southwest towards Larysy Shepitho Street (purple circle) and towards Olympic school and Post office (blue circle). The frontline is dynamic and changes often but slowly the secured russian territory moves forward and Wagner forces are closing in to the last ukrainian defenceline in the west (blue line). Areas around Peremogi Street (red shaded 2) are still the tip of russian advance
Sijui silaha walizipata wapi hizi T14 Armata
 
Updates ya kikao cha G7

1. Zelensky kuhudhuria kikao cha G7 siku ya jumamosi na hivi sasa yupo nchini Saudi Arabia kuhudhuria kikao cha OPEC kinofanyika mchana huu.

2. Baada ya hapo Zelenksy ataelekea Japan kuhudhuria kikao cha G7 na taarifa za kijasusi zadai kuwa atatumia ndege ya serikali ya Ufaransa inomsubiri mjini Jedah kwa ajili ya usalama wake. Haya ni mabadiliko kutoka kwenye ingizo langu namba 120326.

3. Wiki ijayo waziri mkuu wa Russia Mikhail Mishustin ataelekea China kwa ziara ya siku mbili tarehe 23 na 24 na kisha kurejea Moscow.
 
[emoji298][emoji298]Fourteen-year-old Veronika, who was kidnapped to the Russian territory following the invasion of Ukraine, has been returned home, Ukraine’s Ombudsman Dmytro Lubinets announced.

The girl is safe and healthy with her grandmother, according to Lubinets.

The ombudsman’s office reports it helped to facilitate Veronika’s return.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Updates ya kikao cha G7

1. Zelensky kuhudhuria kikao cha G7 siku ya jumamosi na hivi sasa yupo nchini Saudi Arabia kuhudhuria kikao cha OPEC kinofanyika mchana huu.

2. Baada ya hapo Zelenksy ataelekea Japan kuhudhuria kikao cha G7 na taarifa za kijasusi zadai kuwa atatumia ndege ya serikali ya Ufaransa inomsubiri mjini Jedah kwa ajili ya usalama wake. Haya ni mabadiliko kutoka kwenye ingizo langu namba 120326.

3. Wiki ijayo waziri mkuu wa Russia Mikhail Mishustin ataelekea China kwa ziara ya siku mbili tarehe 23 na 24 na kisha kurejea Moscow.
Nakazia [emoji116]
1684490387140.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
President Volodymyr Zelensky will travel to Japan this week to join the Group of Seven (G7) leaders in person, people familiar with the planning told Bloomberg. Japanese officials earlier said that Zelensky would join virtually.

The three-day meeting of G7 countries will start on May 19 in Hiroshima. The G7 includes the U.S., Japan, Canada, France, Germany, Italy, and the U.K. The leaders are expected to discuss further responses to Russia's war against Ukraine, as well as ways to track Russia diamonds, as Bloomberg earlier reported.

According to the individuals, who spoke to the news outlet on the condition of anonymity, Zelensky will travel to Japan on a U.S. military plan after attending the Arab League summit in Saudi Arabia.

Earlier on May 18, Reuters reported that the G7 leaders would discuss the idea of holding an international summit on Ukraine peace at the meeting in Hiroshima.

The peace summit, initiated by Ukrainian authorities, aims to involve as many countries as possible with the Ukrainian peace formula presented by President Volodymyr Zelensky in November.

Photo: Getty Images

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
EXPLAINED: Ukraine ‘Seizes Tactical Advantage’ in Bakhmut, Wagner Chief Begs for Support

Ukrainian units including the 3rd Separate Assault Infantry Brigade have made ‘significant gains’ in recent days, while Yevgeny Prigozhin has once again accused Russian forces of retreating.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom