Takwimu za Jana zimeshatolewa mkuu, walichinjwa zaidi ya mia sita 🥱🥱🥱Vijana wakakamavu wa Zelensky kumbe wameshusha SU-30!
Naendelea kujumlisha waliochinjwa leo, nitawapa update baadae.
Tamko hili lina maana gani tuanzie hapo.Na unadhani Russia wanaweza kulikubali bila wao kwanza,the West, kutekeleza security demands za Russia?Yaani tamko hili linaonyesha wazi kwamba viongozi wa the G7 na nchi za maghsribi kwa ujumla ni stupid na vilaza sana.Hili azimio linaweza kuonekana kama mzaha au ujinga, lakini Lina maana kubwa sana,
[emoji298][emoji298]The Group of Seven (G7) Leaders have issued a statement, urging Russia to stop its ongoing aggression and immediately, completely and unconditionally withdraw its troops and military equipment from the entire internationally recognized territory of Ukraine.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Halafu baada ya hapo kitaendelea nn?[emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky has arrived in the Kingdom of Saudi Arabia to meet with Crown Prince Mohammed bin Salman Al Saud and deliver a speech at the Summit of the League of Arab States.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wameazimia Mara ngapi?Hili azimio linaweza kuonekana kama mzaha au ujinga, lakini Lina maana kubwa sana,
[emoji298][emoji298]The Group of Seven (G7) Leaders have issued a statement, urging Russia to stop its ongoing aggression and immediately, completely and unconditionally withdraw its troops and military equipment from the entire internationally recognized territory of Ukraine.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Takwimu za Jana zimeshatolewa mkuu, walichinjwa zaidi ya mia sita 🥱🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nani kaliona ^azimio^ lenu ^kama mzaha,^ mkuu kp kipanya44 ? Au ndiyo kwamba mmeanza kujishtukia?Hili azimio linaweza kuonekana kama mzaha au ujinga, lakini Lina maana kubwa sana
Mabongenyanya tu hayo kwa Urusi,yatafanyaje kazi bila GPS,ambayo Urusi wana uwezo wa kui-jam,wayapumzishe tu.
Mkuu, idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga Iko chini kidogo katika siku za hivi karibuni kulinganisha na idadi ya wale waliolambishwa mchanga siku za nyuma,na hii ni kutokana na ukweli kwamba Ukraine Kwa Sasa Yuko katika defensive japo anadefense kwa ustadi wa Hali ya juu..,tutegemee vilio,misiba,maombolezo,dhiki,majonzi,kusaga meno,na tabu hambazo hazijawahi kushuhudiwa zikiwapata warusi pale Ukrainian counteroffensive itakapoanza
Kumbuka Hilo azimio kuonekana kama mzaha au ujinga ni maneno binafsi ya kp kipanya44 .usiyaunganishe na habari kamili tafadhari!Nani kaliona ^azimio^ lenu ^kama mzaha,^ mkuu kp kipanya44 ? Mmejishtukia, au?
Tunachojua kwa hakika ni haya:
1. NATO chini ya ukiranja na ulaghai wa Marekani, wasipokubali kukaa meza moja na Russia ili wayamalize, mwisho wa SMO hauwezi kuwa mzuri kwa Ukraine.
2. NATO na US wakizidi kujiingiza kwenye mgogoro huu, kama ambavyo sasa tuwaonavyo Marekani, UK, Ujerumani, Poland, nk., WW3 is inevitable.
3. WW3 may actually mean all of us -- humanity -- is totally doomed.
Alafu mnaposema vita ya tatu ya dunia,kuweni specific ni Nan atapigana hiyo vitaNani kaliona ^azimio^ lenu ^kama mzaha,^ mkuu kp kipanya44 ? Mmejishtukia, au?
Tunachojua kwa hakika ni haya:
1. NATO chini ya ukiranja na ulaghai wa Marekani, wasipokubali kukaa meza moja na Russia ili wayamalize, mwisho wa SMO hauwezi kuwa mzuri kwa Ukraine.
2. NATO na US wakizidi kujiingiza kwenye mgogoro huu, kama ambavyo sasa tuwaonavyo Marekani, UK, Ujerumani, Poland, nk., WW3 is inevitable.
3. WW3 may actually mean all of us -- humanity -- is totally doomed.
4. Mionzi ya juzi iliyotokana na kuteketezwa kwa depleted Uranium ambazo Uingereza alizipeleka Ukraine kwa lengo la kumshambulia Mrusi, ni mfano halisi ambao ungepaswa kuwaamsha viongozi wa pande zote mbili wakae kwenye meza moja ya mazungumzo na kuimaliza vita haraka iwezekanavyo.
5. Pengine kweli NATO, Marekani na viongozi wote wa G7 hawana mzaha. Lakini kumbukeni pia kwamba Russia hana mzaha. Kauli zake amekuwa akizirudia tena na tena kama msisitizo kwa wale wenzenu na ninyi wenye masikio mazito kuelewa.
NB: We're just few ^minutes^ away from unprecedented World Nuclear Showdown!
Corona ni fake?Bado jamaa wanavaa mabarakoa!!Haya majamaa mazombie kweli kweli,kama mang'ombe yanayozuiwa kula pumba,yaani mazombie proper.Corona yenyewe ni kitu fake kabisa,halafu barakoa ni hatari kiafya.Siwaelewi ujue,vichwani mwao sijui kumeja makamasi!
hv unajua alichokifanya huyo Japan kule Manchuria, je unajua pia alichokifanya pearl harbor?Kwani hii taarifa ni uongo?Ni kweli [emoji817]%.Sikiliza Umshana,wewe upo hapa kujaribu kuitetea na kuficha uovu wa Marekani and all its' allies,mimi nipo hapa ku-expose Americas' evil against humanity,hiyo ndiyo tofauti yetu kubwa.Kwa hiyo Umshana naweza kusema wewe ni adui wa Binadamu kama ilivyo Marekani.
Napenda kukufahamisha kwamba watu sasa wameamka na wanajua adui yao mkuu Duniani,Serikali ya Marekani.Na sitachoka,nitaendelea ku-expose uovu wa Marekani and its' allies mpaka kieleweke.
Uovu wa Marekani tunao-ujua mpaka sasa kwa sehemu,ni huu ufuatao:-
UOVU WA MAREKANI KWA WANADAMU KWA SEHEMU
1.Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutumia Atomic bomb,na kuua watu zaidi ya 100,000 Japan.
2.Marekani katika vita vyake vya kulazimisha nchi kufuata matakwa yake imeua zaidi ya watu millioni 20!
3. Marekani imeua viongozi wa nchi zaidi ya 10 na kupindua serikali zaidi ya 20 duniani kote katika harakati zake za kuiba rasilimali za Dunia.
4.Marekani inatekeleza mikakati mbali mbali ya kuua na kupunguza kwa siri binadamu duniani kote ikiwemo uzazi wa mpango,Chanjo,vyakulasumu,dawasumu nk.nk.Marekani pia ina a global network of over 300 biolab facilities all over the World,all aimed at killing people..
5.Marekani kwa kutumia CIA ndiyo muuzaji mkubwa wa siri wa Heroin kuliko nchi yeyote duniani.Umeshawahi kuwaza kwa nini Kilimo cha Heroin Poppy Afghanistan kinashamiri wakati M arekani wapo?Yes,CIA wakishirikiana na Taliban ndiyo walimaji na wauzaji wakubwa wa Heroin duniani,bila kusahau matumizi ya Opiods kama Fentanyl Marekani kwenyewe ambazo CIA ndio wahamasishaji wakubwa kwa siri wa matumizi yake.Opiods zimeharibi jamii ya Wamarekani kabisa.
6.Marekani inaiba mchana kweupe na kwa kutumia hila rasilimali za nchi mbalimbali zikiwepo Urusi,Syria,Iraq,Libya,Congo DRC nk.nk.
7.Marekani kwa kutumia Hollywood imeharibi moral values za Dunia nzima.
8.Marekani kwa kutumia covert means inaendelea kuharibu hali ya hewa ya Dunia nzima.
9.Marekani ina vituo vya kijeshi zaidi ya 800 Dunia nzima kwa nia ya kutekeleza mikakati yake miovu ya kupindua nchi huru kwa nia ovu za kuiba rasilimali na kutekeleza matakwa yake maovu dhidi ya nchi zingine.
10.Marekani kwa kutumia its' technological advantage ina leta havoc duniani kote kwa kuleta mafuriko,volcanoes,Hurricanes,Tsunamis,joto kama lilitokea India,Ulaya,na hata Marekani kwenyewe na majanga mengine mengi duniani kote.Serikali ya Marekani ni ovu sana,na haijalishi ni Democrats au Republicans,ni mwendo mdundo.
Mkuu unaishi dunia gani?Ni pigooooooo
The Unipolar world is broken. The Middle East and Africa are becoming independent. Unique in history, President Assad of Syria visits Saudi Arabia. 10 years ago, KSA sponsored ISIS (DAESH) at the request of the West, the US and the EU. Now they are taking Assad back into the Arab League and condemning the West for their actions. Since the beginning of their so-called War in Terror, an ordinary war of the West, 4.6 million people – in Afghanistan, Pakistan, Iraq, Syria, Libya, Somalia and Yemen – may have died !