Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapana nina mtazamo tofauti. Kiongozi yoyote anahitaji mahusiano mazuri na nchi zinazomzunguka na zile zilizo mbali. Ndio maana China anaweza kwenda Urusi au Urusi kwenda South Africa. Kama sio kutofautiana mtazamo hata USA na Urusi ungeshuhudia wakitembeleana kuimarisha mahusiano yao.
Mkuu!Umejibu vyema!
Very logical!
 
[emoji779]️[emoji635][emoji1255]Russia is actively eliminating Western artillery in Ukraine.

[emoji843]Russia is actively eliminating Ukrainian artillery, including that transferred to the Ukrainian Armed Forces by Western countries, Craig Hooper reports in an article for Forbes.

[emoji843]As noted, Ukraine's losses are very "tough." According to the publication, of the approximately 152 large 155-mm towed M777 howitzers that have been "officially" delivered to Ukraine, more than a third have already been damaged or eliminated.

[emoji843]Hooper writes that the Russian Federation is also destroying self-propelled artillery, especially the British AHS Krab and the American M109 are suffering. It is specified that losses range from 18 to 21 percent. Of the more than 180 delivered, at least 36 were damaged or eliminated, the author of the article points out.

Source: Forbes
IMG_20230515_235743.jpg
 
Azugezuge na trip za ulaya, maana siku anatua washington basi haondoki pale...maana anajua ulaya watakua wameshamshtukia ukuwadi wake kwa Biden, ameisababishia ulaya hatari ya kiuchumi, kisiasa na kijamii..
Sidhani!
Hivi mkuu umesikia alichoongea Macron na Schorz na Sunak?
kajiridhishe then njoo review maoni yako!
 
Kwani nimekuja kukutaka uamini.


Ila jua tu ya kwamba habari zinazoletwa nyingi ni pumba hatakama mtaziandika kwa lugha gani. 100% za kweli hazifiki hata 30% ndio maana mnashupaza shingo mda wote huku pumba zikiwajaa kichwani.

Kuhusu kuumia wala hakuna faida ninayopata huko ninawasikitia wanaotukana wenzao kwa mitazamo tofauti.
Hakika!Umejibu kwa hekima!
 
Sidhani!
Hivi mkuu umesikia alichoongea Macron na Schorz na Sunak?
kajiridhishe then njoo review maoni yako!
Nchi gani ya ulaya inayofurahia Uraniun ya hapo ukrain mkuu...

Na uchaguzi wa Uturuki Erdogan akishinda basi ndio mwanzo wa kuanguka kwa ushirikiano wa ulaya na US..maana viongozi wengi wanasiasa wa Ulaya wataona ushirikiano wao na US ni hatari kati yao na wapiga kura wao....inabidi wewe ndio ukafanye review maana hukumfuatilia Macron kipindi anatoka China
 
Mkuu!Tuwe wawazi sote tumemuona Zelensky akienda mija iliyo frontline(Bakhmut,Kherson,Izyum).
Mkuu labda utofauti ni kwamba Putin hafanyi ziara nyingi za kimataifa kuliko mwenzake Zerensky.
Mkuu tambua anatafuta uungwaji mkono na misaada so ni tija kwa nchi yake hakuna ubaya.
Mkuu siku anatia mguu Washington alafu akarudi Ukrain njoo ufanye replay kwenye hii coment..
Nina hakika hawezi kurudi Ukrain akifika Washington, hawawez kumuacha aondoke..usicheze na dollar bilion 48 za wamarekani wewe, zimeshaisha $42billion bado 6b tuu..hawawezi kumuachia arud Ukrain kumchafulia US kwa mazombi yake ya Ulaya, akifika US amejiweka kizuizini..
 
Hapana nina mtazamo tofauti. Kiongozi yoyote anahitaji mahusiano mazuri na nchi zinazomzunguka na zile zilizo mbali. Ndio maana China anaweza kwenda Urusi au Urusi kwenda South Africa. Kama sio kutofautiana mtazamo hata USA na Urusi ungeshuhudia wakitembeleana kuimarisha mahusiano yao.
Mkuu una uhakika kule Urusi leo May 2023 hakuna wamarekani? Au kule Marekani hakuna Warusi wanaishi huko? Hakuna viongozi wa ngazi za juu walio katika nchi za wenzao? Au unamaanisha balozi za Urusi na US zimefungwa? Kama ulikua hujui mawasiliano yao yapo kama kawaida na hadi majeshi yao yanawasiliana, Zelensky hana uchungu, haogopi hata kupinduliwa maana anajua Ukrain imeshafilisika..na hamna atakaepata hata 100 mbovu pale hivyo bora akale bata...
 
Mfano juzi wamesema wamelipua ammunition depo, ila video zote hakuna hata moja iliyokuwa geolocated ukraine.


Hizi hapa evidence kama ulivuka umande na unaelewa lugha za watu
 

Attachments

  • Screenshot_20230515-184043.png
    Screenshot_20230515-184043.png
    127.3 KB · Views: 16
  • Screenshot_20230515-183933.png
    Screenshot_20230515-183933.png
    120.4 KB · Views: 19
  • Screenshot_20230515-184233.png
    Screenshot_20230515-184233.png
    87.7 KB · Views: 21
Amejibu kwa kujitetea sana dhidi ya propaganda anazolishwa mkuu..hekima haipo hivo..
Usifananishe hekima na "uchawa" mkuu
Hakuna anaenilisha propaganda hata mmoja isipokuwa nikuwasikitia nyinyi mnaoshupaza shingo zenu kwa hayo mnayolishwa na kudanganywa na ukweli kutokuujua.

Tuangalieni mpka mwisho kitakachojiri.

Ya uchawa bakia nayo mwenyewe usipoyaweza mwambie Mangi akusaidie.
 
Mkuu una uhakika kule Urusi leo May 2023 hakuna wamarekani? Au kule Marekani hakuna Warusi wanaishi huko? Hakuna viongozi wa ngazi za juu walio katika nchi za wenzao? Au unamaanisha balozi za Urusi na US zimefungwa? Kama ulikua hujui mawasiliano yao yapo kama kawaida na hadi majeshi yao yanawasiliana, Zelensky hana uchungu, haogopi hata kupinduliwa maana anajua Ukrain imeshafilisika..na hamna atakaepata hata 100 mbovu pale hivyo bora akale bata...
Okey boss........😀
 
Nahisi kila askari wa zima moto atapendelea kutumia roboti kupambana na moto penye grenedi zinazosubiri kulipua, sivyo?
Kwa hiyo matumizi ya roboti ya zima moto si dalili ya mnururisho.
Menginevyo, jinsi kawaida kwa Bwana Mathanzua, habari zote kuhusu urani, gharama za mzigo ulioharibika, vipimo vya mnururisho ni ushairi mutupu anaonakili kutoka tovuti za njama za Marekani anazopenda mno...
Kwani hii taarifa ni uongo?Ni kweli 💯%.Sikiliza Umshana,wewe upo hapa kujaribu kuitetea na kuficha uovu wa Marekani and all its' allies,mimi nipo hapa ku-expose Americas' evil against humanity,hiyo ndiyo tofauti yetu kubwa.Kwa hiyo Umshana naweza kusema wewe ni adui wa Binadamu kama ilivyo Marekani.

Napenda kukufahamisha kwamba watu sasa wameamka na wanajua adui yao mkuu Duniani,Serikali ya Marekani.Na sitachoka,nitaendelea ku-expose uovu wa Marekani and its' allies mpaka kieleweke.

Uovu wa Marekani tunao-ujua mpaka sasa kwa sehemu,ni huu ufuatao:-

UOVU WA MAREKANI KWA WANADAMU KWA SEHEMU

1.Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutumia Atomic bomb,na kuua watu zaidi ya 100,000 Japan.

2.Marekani katika vita vyake vya kulazimisha nchi kufuata matakwa yake imeua zaidi ya watu millioni 20!

3. Marekani imeua viongozi wa nchi zaidi ya 10 na kupindua serikali zaidi ya 20 duniani kote katika harakati zake za kuiba rasilimali za Dunia.

4.Marekani inatekeleza mikakati mbali mbali ya kuua na kupunguza kwa siri binadamu duniani kote ikiwemo uzazi wa mpango,Chanjo,vyakulasumu,dawasumu nk.nk.Marekani pia ina a global network of over 300 biolab facilities all over the World,all aimed at killing people..

5.Marekani kwa kutumia CIA ndiyo muuzaji mkubwa wa siri wa Heroin kuliko nchi yeyote duniani.Umeshawahi kuwaza kwa nini Kilimo cha Heroin Poppy Afghanistan kinashamiri wakati M arekani wapo?Yes,CIA wakishirikiana na Taliban ndiyo walimaji na wauzaji wakubwa wa Heroin duniani,bila kusahau matumizi ya Opiods kama Fentanyl Marekani kwenyewe ambazo CIA ndio wahamasishaji wakubwa kwa siri wa matumizi yake.Opiods zimeharibi jamii ya Wamarekani kabisa.

6.Marekani inaiba mchana kweupe na kwa kutumia hila rasilimali za nchi mbalimbali zikiwepo Urusi,Syria,Iraq,Libya,Congo DRC nk.nk.

7.Marekani kwa kutumia Hollywood imeharibi moral values za Dunia nzima.

8.Marekani kwa kutumia covert means inaendelea kuharibu hali ya hewa ya Dunia nzima.

9.Marekani ina vituo vya kijeshi zaidi ya 800 Dunia nzima kwa nia ya kutekeleza mikakati yake miovu ya kupindua nchi huru kwa nia ovu za kuiba rasilimali na kutekeleza matakwa yake maovu dhidi ya nchi zingine.

10.Marekani kwa kutumia its' technological advantage ina leta havoc duniani kote kwa kuleta mafuriko,volcanoes,Hurricanes,Tsunamis,joto kama lilitokea India,Ulaya,na hata Marekani kwenyewe na majanga mengine mengi duniani kote.Serikali ya Marekani ni ovu sana,na haijalishi ni Democrats au Republicans,ni mwendo mdundo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji630]This is a bad sign for Washington, meaning Beijing is determined to retaliate against its adversaries. In addition, the arrival of the Chinese army in the Russian Federation confirms that relations between Moscow and Beijing are indeed strong. [emoji116][emoji635][emoji123][emoji630][emoji123][emoji817][emoji817][emoji123][emoji123]
IMG_20230516_075402.jpg
 
Back
Top Bottom