Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu yule dikteta mfupi mnene wa taifa lenye njaa hajawahi kuelekeza roketi wala Korea Kusini wala Japani. Anarusha roketi zake baharini pande mbalimbali. Hakujaribu kulenga eneo la nchi yoyote. Lakini anapenda kupiga makelele. Wapenda makelele wanamshangilia, wenye akili timamu wanampuuza.
Trump alipomwambia "Roketi zangu ni kubwa kuliko zako" alianza mara moja kutangaza upendo wake kwa Trumpi, sivyo?
Mkuu ID yako inamilikiwa na watu wangapi? Maana kiswahili chako tunakijua sio hiki ulichoandika hapa...yaelekea wakati mwingine unatumia CHATbot kuandika humu, kama unabisha andika wimbo wa "ukuti ukuti wa mnazii wa mnaaazii" ni wimbo popular sana uraiani ila sio kwa upinde pride wa west...
 
Tangu SMO ianze hajawahi kutangatanga, sanasana alienda kwenye miji aliyofukuza wanazi na kufanya ziara za kutosha...huyo ndio baba bora, nyumbani kukiwa na shida huendi kushinda bar na kwenye makasino, unashikamana na familia yako hata kama majirani watakutenga kwa nguvu zote.

Ukiona unaendaenda bar wakati mkeo na watoto wana shida nyumbani tambua wewe ndio shida yenyewe, hakika usiporudi nyumbani kabisa familia itakua na amani
Hapana nina mtazamo tofauti. Kiongozi yoyote anahitaji mahusiano mazuri na nchi zinazomzunguka na zile zilizo mbali. Ndio maana China anaweza kwenda Urusi au Urusi kwenda South Africa. Kama sio kutofautiana mtazamo hata USA na Urusi ungeshuhudia wakitembeleana kuimarisha mahusiano yao.
 
[emoji298][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky has met with his French counterpart Emmanuel Macron in Paris.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Azugezuge na trip za ulaya, maana siku anatua washington basi haondoki pale...maana anajua ulaya watakua wameshamshtukia ukuwadi wake kwa Biden, ameisababishia ulaya hatari ya kiuchumi, kisiasa na kijamii..
 
Una uhakika mkuu? Acha kuumia kimya kimya...
Kwani nimekuja kukutaka uamini.


Ila jua tu ya kwamba habari zinazoletwa nyingi ni pumba hatakama mtaziandika kwa lugha gani. 100% za kweli hazifiki hata 30% ndio maana mnashupaza shingo mda wote huku pumba zikiwajaa kichwani.

Kuhusu kuumia wala hakuna faida ninayopata huko ninawasikitia wanaotukana wenzao kwa mitazamo tofauti.
 
Hizi storm shadow zinaendelea tu Kula vichwa

One of the militant leaders, Igor Kornet, was blown up in #Luhansk. He survived, but is in intensive care, his condition is extremely seriousView attachment 2623060
Mkuu umechelewa sana kuingia kwenye huu uzi. Hawa makamanda mnatangaza mmewaua baadae hua wanafufuka
 
Mkuu ID yako inamilikiwa na watu wangapi? Maana kiswahili chako tunakijua sio hiki ulichoandika hapa...yaelekea wakati mwingine unatumia CHATbot kuandika humu, kama unabisha andika wimbo wa "ukuti ukuti wa mnazii wa mnaaazii" ni wimbo popular sana uraiani ila sio kwa upinde pride wa west...
Mkuu bila shaka wakati huna hoja afadhali ujadili mambo ya chatbot na uimbaji...
 

Ukraine Forced to Use ROBOTS to Fight Ammo Dump Fire - Radiation and Poisonous Depleted Uranium Dust​

WORLD HAL TURNER 15 MAY 2023 HITS: 4614
Ukraine Forced to Use ROBOTS to Fight Ammo Dump Fire - Radiation and Poisonous Depleted Uranium Dust

Ukraine has had to begin using ROBOTS to carry fire hoses into the remains of an ammunition dump, blown up by Russian missiles last week, because the dump housed about $500 Million worth of British-supplied Depleted Uranium tank shells, which spread radioactive and poisonous Uranium dust all over the area.
The poisonous Uranium dust is so prevalent, that human firefighters dare not go into the scene.

The fire at the site of a missile attack on a military warehouse in Khmelnitsky is extinguished by robots, remotely.
Depleted Uranium (DU) tank shells were supplied by the British despite explicit warnings from Russia that such ammunition, if used by Ukraine, would be treated as a "Dirty Bomb" attack upon Russia, unleashing a Russian response with its own radioactive weaponry! Yet the British sent the depleted uranium shells anyway.
Now, some observers are laughing that, in its zeal to supply Ukraine, Britain has ended up being the entity that radioactively contaminated their "ally" Ukraine! Had Britain heeded Russia's warning, the shells would not have been there.
While radiation levels have "spiked" upwards since the ammunition depot was hit, they are not dangerously high, and won't be. Depleted Uranium gives off very little radiation. Here's the Radiation readings for that city:

The big trouble with Depleted Uranium is that the substance is ALSO . . . . poisonous. Breathing it in almost guarantees lung cancer and other ailments. As weather washes the DU into the soil, it pollutes ground water, thereby poisoning the area water supply for DECADES.
Moreover, pregnant women exposed to DU, suffer miscarriages and hideous birth defects of children they carry to full term.

Prevailing winds in this city will carry the Uranium dust to other cities, towns, and villages downwind.
RADIATION PATROLS OPERATING!
Dosimetric patrols work in the city. Measurements of the radiation background are carried out "in uncharacteristic places." If earlier they were made in the area where the Khmelnytsky ammo depot was located (Neteshyn and its environs), now they are made in the regional center, in the west of the region and in Ternopil. After arriving at the military warehouse, the wind was blowing in a westerly direction. The authorities are silent about the work of patrols.


“My friends from Ukraine reported that the Westerners are panicking. They collect belongings and flee away from Khmelnitsky, and from Lviv and Ternopil. From everywhere where there are Ukrainian military units, warehouses, repair shops. Locals whisper that the detonated warehouse in Khmelnitsky was filled to the brim with depleted uranium shells. And my sources confirm this, ” writes political scientist Yuri Kot.

After the explosion, an increase in gamma radiation was recorded in the city. The release continues to grow. Given that depleted uranium emits a relatively small dose of gamma radiation, the current surge indicates the destruction of a very large stockpile of munitions, which sent uranium dust into the air.
My previous coverage of the Radiation Spike with video of the original explosion from the Russian missiles hitting, can be read HERE
Nahisi kila askari wa zima moto atapendelea kutumia roboti kupambana na moto penye grenedi zinazosubiri kulipua, sivyo?
Kwa hiyo matumizi ya roboti ya zima moto si dalili ya mnururisho.
Menginevyo, jinsi kawaida kwa Bwana Mathanzua, habari zote kuhusu urani, gharama za mzigo ulioharibika, vipimo vya mnururisho ni ushairi mutupu anaonakili kutoka tovuti za njama za Marekani anazopenda mno...
 
Tangu SMO ianze hajawahi kutangatanga, sanasana alienda kwenye miji aliyofukuza wanazi na kufanya ziara za kutosha...huyo ndio baba bora, nyumbani kukiwa na shida huendi kushinda bar na kwenye makasino, unashikamana na familia yako hata kama majirani watakutenga kwa nguvu zote.

Ukiona unaendaenda bar wakati mkeo na watoto wana shida nyumbani tambua wewe ndio shida yenyewe, hakika usiporudi nyumbani kabisa familia itakua na amani
Mkuu!Tuwe wawazi sote tumemuona Zelensky akienda mija iliyo frontline(Bakhmut,Kherson,Izyum).
Mkuu labda utofauti ni kwamba Putin hafanyi ziara nyingi za kimataifa kuliko mwenzake Zerensky.
Mkuu tambua anatafuta uungwaji mkono na misaada so ni tija kwa nchi yake hakuna ubaya.
 
Back
Top Bottom