lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zelensky aongezewe ulinzi wa kutosha ili Wanazi, NATO na Marekani wasije kumla kichwa, then wakamsingizia Mrusi.
Zelensky! Zelensky! Zelensky! Nimekuita mara tatu. Najua umo humu JF tena kwa ID & avatar ya Putin wa bongo , nadhani umenielewa kaka.
Zelensky ni memba mwenzetu ha ha ha haa.
Umetisha mwamba