Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni vikundi vya kigaidi tu vinavyojivika ngozi za ukombozi na utetez wa haki za binadamu, vikiungwa mkono na West, vilikuwepo Libya, Yemen, Egypt, Syria na hapo Ukraine 2014, do you think vina nafasi ya kuutikisa utawala wa Moscow?
 
Ha ha ha.....mikwara ya mandonga hii[emoji1]
 
Nakumbuka msemo wa bwana Putin hata nzi isitoke
So, at the moment, in the total amount during the raid, the enemy lost:

— 2 American armored cars M1224 MaxxPro (both captured)

— 2 American armored cars HMMWV M1151A1 (both damaged and abandoned)

— 1 American cargo armored car HMMWV M1152A1 (destroyed)

— 1 Ukrainian armored car KRAZ COBRA (destroyed) — 1 Polish armored car AMZ Dzik-2 (destroyed)
 
ok na magogu wa magogu habari zake unazijua na maana yake nini ....mkuu ...zote hizo zinatoka ndani ha biblia..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2632717
 
Mnadanganywa kirahisi Kweli na fakes za Warusi. Kwahiyo hao Ndio walioishambulia Urusi?🤣🤣🤣
Aliyekuaminisha kuwa hizo habari za Urusi kuhusu tukio Hilo kuwa ni fake ni Nani?! Huhitaji kutumia akili kubwa kutambua kuwa kikundi hicho ni mchanganyiko wa waukraine na warusi wa Eastern Ukraine walioandaliwa na CIA na idara ya ujasusi ya Ukraine...
 
Hizo F16 hazitomsaidia Ukraine chochote mbele ya Russia, marubani wa Ukraine wana uzoefu kutumia ndege vita za kisoviet kama hizo su series, Kuja ku master f16 itachukua muda. Sijajua wanawaza nini kwa maana F16 kwa nchi kama Russia ni majeneza yanayopaa rubani akiwahi aruke na seat ejection.
 
Mbona umeandika kwa uchungu sana?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]Foreign Ministry spokesperson Oleh Nikolenko responded to Hungarian Prime Minister Viktor Orban's statement that Ukraine couldn't win the war with Russia, saying that "Ukrainians will continue to fight until the complete liberation of their territories from Russian occupation."

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…