President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mdogo wangu hebu acha kujiaibisha bhana. Na usilazimishe vitu ambavyo havipo mdogo wangu.Mkuu bado una kazi kubwa. Katika yale uliyoorodhesha huko juu inaonekana waziwazi kwamba
1) Rus ya Kyiv si Urusi
2) Chanzo cha Urusi kilitokea chini ya utawala wa watu wa mbali yaani Wamongolia
Katika historia ya Urusi tangu Ivan III na Ivan IV si ajabu umependelea kutotaja ukoloni wa Urusi.
Lugha inakupiga chenga. Kwa kifupi Rus ni kabila kama yalivyo makabila mengine. Na mtu anaye toka nchi ya Russia anaitwa Rus.