Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️Armenia is ready to recognize Nagorno-Karabakh as part of Azerbaijan, provided that the security of the Armenian population is ensured, Nikol Pashinyan said, Armenpres reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Five Key Questions About Provision of F16s for Ukraine Answered

The position in relation Ukraine’s requests for F16 fighter jets from its allies has changed quickly in the last two weeks, not least at the G7 Summit in Japan. Here’s where we are.

Read more on our website.

Binafsi nafuatilia mienendo ya Mchina boss. Yeye ndo ana sera za kimataifa zinazotugusa moja kwa moja na ndio ameonyesha ushindani wa uchumi nje ya Ulaya na USA.

Super power yoyote ana impact kwa Tanzania linapokuja suala la uchumi sio uwezo wa kivita. Uwezo wa kivita unamaslahi kwake zaidi ila sera za kimataifa zinazotokana na nguvu ya uchumi zinatugusa moja kwa moja.

Urusi ikiwa na nguvu ya kivita kuliko NATO na USA inaweza isituguse moja kwa moja kama mchina akifanikiwa kuwa na sauti katika uchumi kumzindi USA na NATO.

Uko sahihi kwa upande mmoja kuwa super power lazima uwe kwenye kilele cha uchumi na nguvu za kijeshi.

Ila kwa upande wa pili, Dunia kwasasa hivi inabadilika kutoka kwenye power zote kuwa nazo mtu mmoja na kwenda kwenye makundi ya umoja, mfano, Urusi ana nguvu kubwa kijeshi anaungana na China yenye nguvu kiuchumi na kuwaleta nchi nyingi kwenye vikundi mbali mbali ikiwemo SCO, BRICS e.t.c, hizi blocks baadae ndo zinaenda kutawala Dunia ndo maana USA anazipiga vita.

Juzi tu hapa, katibu mkuu ametoa tahadhari kuwa Dunia inaenda kugawanyika kwenye makundi.
 
Halafu unapoongelea Rusyn unaogelea Ruthenia
The term "Ruthenia" is also used to describe the cultural and ethnic identity of the Rusyn people, who are an East Slavic minority residing primarily in Ukraine, Slovakia, Poland, and parts of Romania and Hungary. The Rusyns have their distinct language, traditions, and cultural heritage that are closely tied to the historical region of Ruthenia.
Hali halisi katika historia hapakuwa nchi iliyoitwa "Kievan Rus". Jina hili lilibuniwa katika karne ya 19 tu; hata hivyo si kosa kulitumia ukijua si jina la kiasili.

There was Rus' in a narrow sence (Rus' proper): land near Kyiv, Chernihiv and Pereyaslav in nowadays Northern Ukraine, heartland of Rus - only those lands were named as Rus' in East Slavic chronicles. It is common to find in those chronicles that e.g. princes from Smolensk/Polotsk/Novgorod/Vladimir went to Rus' (in the meaning went to Kyiv) OR e.g. princes of Kyiv/Chernihiv/Pereyaslav returned to Rus' from their military expeditions in other parts of the country.

There was also Rus' in a wide sence: Slavic, Finnic and Baltic ethnic territories controlled by the country with the center in Kyiv. However Rus' name was used in a wide sence mostly by foreigners.

Nevertheless, Rus' unity was very short in time and soon it was dissolved into de-facto independent principalities that fought each other.

People, who lived in Kyiv, Chernihiv, Pereyaslav, Novhorod-Siversky, Halych, Volhynia and possibly Turov principalities were the direct ancestors of modern Ukrainians and have very distant relation to modern Russians. Ukrainians claim ONLY mentioned above principalities as the part of Ukrainian history.

At the same time all other principalities of Rus' (Polotsk, Smolensk, Pskov, Novgorod, Vladimir-Suzdal, Murom-Ryazan') have almost no relation to Ukrainian history: they are part of either Belarusian or Russian history.

The heartland of Russia was initially populated by Finnio-Ugric peasants of Merya, Meshchera and Muroma tribes and Slavic nobility who lived in cities-fortresses to control that wild forresty province. Later East Slavs from all parts of Rus' have been resettled to that land. So Moscowians was the mix of Kyivans, Novgorodians, Krivichs, Vyatichs, Merya and Meshchera. The fact that Kyivans took part in ethnogenesis of Moscowian nation does not give Russia the right to claim Kyiv and all Rus' as their towns and their hisrory. They already have their unique East Slavic nation in their ethnic borders. They should respect other East Slavic nations, their history and their right to be completely independent and not Russian vassals or satelites.
 
[emoji298][emoji298]Five Key Questions About Provision of F16s for Ukraine Answered

The position in relation Ukraine’s requests for F16 fighter jets from its allies has changed quickly in the last two weeks, not least at the G7 Summit in Japan. Here’s where we are.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
We nguli, unajitahidi sana kufanya copy-paste. Usisahau kushika nepi zako, zinateleza.
Collins si kitabu cha fani ya historia, ni Kimarekani.
Pamoja na majaribio ya kitoto kukana kwamba Poland kama taifa na ufalme ilitangulia Urusi kwa karne kadhaa (ambayo haina umuhimu kabisa kwa mambo tunayojadili), unakoroga supu ambayo haina utamu kabisa.
Tulia, tunza nepi zako, NGULI!!
Naona sasa unaacha kujadili umeanza kuchamba. Nakumbuka tulipokuwa Primary tulifundishwa methali isemayo "Kuchamba kwingi.................."

Hiyo Poland unaisifia sana mdogo wangu. Historia yake iliandikwa na bwana "Gallus Anonymus" kati ya 1112 and 1118.

Hebu soma kidogo hii Taarifa:-

Gallus Anonymus ni jina la utani la mwandishi wa kihistoria ambaye aliandika "Gesta principum Polonorum" au "Matukio ya Wakuu wa Kipolishi." Gallus Anonymus alikuwa mwandishi wa Kipolishi ambaye aliishi katika karne ya 12, ingawa habari zake binafsi hazijulikani sana.

Habari nyingi kuhusu Gallus Anonymus zimepotea au hazijulikani kabisa. Jina lake lenye utani "Gallus Anonymus" linamaanisha "Kipolishi asiyejulikana" au "Kipolishi asiye na jina." Hatujui ni nani hasa aliyemwita hivyo au jina lake halisi.

Inasadikiwa kuwa Gallus Anonymus alizaliwa katika eneo la Ujerumani au Italia, lakini baadaye akahamia na kuishi katika eneo la Wapolandi (Poland). Kuhusu mwaka alipozaliwa, hakuna uhakika kabisa, lakini inakadiriwa kuwa alikuwa hai karibu na mwisho wa karne ya 11 au mwanzoni mwa karne ya 12.

Kazi yake maarufu zaidi, "Gesta principum Polonorum," ni historia ya kwanza iliyoundwa kwa lengo la kurekodi matukio ya kihistoria ya Wapolandi. Inaelezea maisha ya watawala wa awali wa Kipolandi, pamoja na Bolesław Chrobry (Mkubwa) na Władysław Herman. Kazi hii ilichapishwa mara ya kwanza katika karne ya 15 na imekuwa chanzo muhimu cha kihistoria kwa kujifunza juu ya historia ya awali ya Poland.
 
[emoji779]️“It's only going to get worse from here. You have a choice – die or save your life,” Ukrainian Intelligence Chief, Major General Kyrylo Budanov addressed to the Russian military, urging them to surrender under protection of the Ukrainian program “I Wanto to Live“.

Budanov explained what Russian troops need to do to survive. Ukraine gives Russians a chance not to become senseless victims and return home alive.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aisee. Mkuu Kwani nini kinaendelea huko Ukraine?

Maana hiyo si aina ya statement unayoitegemea kutoka kwa watu walionyang'anywa maeneo.
 
Hali halisi katika historia hapakuwa nchi iliyoitwa "Kievan Rus". Jina hili lilibuniwa katika karne ya 19 tu; hata hivyo si kosa kulitumia ukijua si jina la kiasili.

There was Rus' in a narrow sence (Rus' proper): land near Kyiv, Chernihiv and Pereyaslav in nowadays Northern Ukraine, heartland of Rus - only those lands were named as Rus' in East Slavic chronicles. It is common to find in those chronicles that e.g. princes from Smolensk/Polotsk/Novgorod/Vladimir went to Rus' (in the meaning went to Kyiv) OR e.g. princes of Kyiv/Chernihiv/Pereyaslav returned to Rus' from their military expeditions in other parts of the country.

There was also Rus' in a wide sence: Slavic, Finnic and Baltic ethnic territories controlled by the country with the center in Kyiv. However Rus' name was used in a wide sence mostly by foreigners.

Nevertheless, Rus' unity was very short in time and soon it was dissolved into de-facto independent principalities that fought each other.

People, who lived in Kyiv, Chernihiv, Pereyaslav, Novhorod-Siversky, Halych, Volhynia and possibly Turov principalities were the direct ancestors of modern Ukrainians and have very distant relation to modern Russians. Ukrainians claim ONLY mentioned above principalities as the part of Ukrainian history.

At the same time all other principalities of Rus' (Polotsk, Smolensk, Pskov, Novgorod, Vladimir-Suzdal, Murom-Ryazan') have almost no relation to Ukrainian history: they are part of either Belarusian or Russian history.

The heartland of Russia was initially populated by Finnio-Ugric peasants of Merya, Meshchera and Muroma tribes and Slavic nobility who lived in cities-fortresses to control that wild forresty province. Later East Slavs from all parts of Rus' have been resettled to that land. So Moscowians was the mix of Kyivans, Novgorodians, Krivichs, Vyatichs, Merya and Meshchera. The fact that Kyivans took part in ethnogenesis of Moscowian nation does not give Russia the right to claim Kyiv and all Rus' as their towns and their hisrory. They already have their unique East Slavic nation in their ethnic borders. They should respect other East Slavic nations, their history and their right to be completely independent and not Russian vassals or satelites.
Sasa unahamisha tena discussion.

Mdogo wangu hapa uta copy na paste mno. Mimi natumia deep network kupata makavazi ya uhakika.
Kwa sababu wewe bado ni mchanga utasumbuka sana.

Je unawafahamu wapoland wakimbizi aliokuja Arusha?
 
Uko sahihi kwa upande mmoja kuwa super power lazima uwe kwenye kilele cha uchumi na nguvu za kijeshi.

Ila kwa upande wa pili, Dunia kwasasa hivi inabadilika kutoka kwenye power zote kuwa nazo mtu mmoja na kwenda kwenye makundi ya umoja, mfano, Urusi ana nguvu kubwa kijeshi anaungana na China yenye nguvu kiuchumi na kuwaleta nchi nyingi kwenye vikundi mbali mbali ikiwemo SCO, BRICS e.t.c, hizi blocks baadae ndo zinaenda kutawala Dunia ndo maana USA anazipiga vita.

Juzi tu hapa, katibu mkuu ametoa tahadhari kuwa Dunia inaenda kugawanyika kwenye makundi.
Boss nipo interested kushuhudia huu mfumo unaozungumzwa utakavyofanya kazi.

Sijawahi ona utawala wa kiuchumi, kisiasa au kijeshi usio na kiongozi. Always kuna mwenye nguvu huibuka na kuwa msemaji wa mwisho. Linapokuja suala la soko, demand and supply huamua fedha ipi iwe na nguvu.

Hata kikundi kinaposhirikiana kushika madaraka wanapoyapata asipotokea mmoja kati yao wa kufanya maamuzi ya mwisho vita vya wenyewe kwa wenyewe hutokea.

Natamani nione iwapo USA atadondoka kama hataibuka Superpower mwingine na badala yake hii multi inayozungumzwa kweli itafanya kazi.

Binafsi bado nadhani huu wimbo wa makundi kama unaenda kutokea basi ni transition ya muda ili kumpokea Super power mpya.
 
Hali halisi katika historia hapakuwa nchi iliyoitwa "Kievan Rus". Jina hili lilibuniwa katika karne ya 19 tu; hata hivyo si kosa kulitumia ukijua si jina la kiasili.

There was Rus' in a narrow sence (Rus' proper): land near Kyiv, Chernihiv and Pereyaslav in nowadays Northern Ukraine, heartland of Rus - only those lands were named as Rus' in East Slavic chronicles. It is common to find in those chronicles that e.g. princes from Smolensk/Polotsk/Novgorod/Vladimir went to Rus' (in the meaning went to Kyiv) OR e.g. princes of Kyiv/Chernihiv/Pereyaslav returned to Rus' from their military expeditions in other parts of the country.

There was also Rus' in a wide sence: Slavic, Finnic and Baltic ethnic territories controlled by the country with the center in Kyiv. However Rus' name was used in a wide sence mostly by foreigners.

Nevertheless, Rus' unity was very short in time and soon it was dissolved into de-facto independent principalities that fought each other.

People, who lived in Kyiv, Chernihiv, Pereyaslav, Novhorod-Siversky, Halych, Volhynia and possibly Turov principalities were the direct ancestors of modern Ukrainians and have very distant relation to modern Russians. Ukrainians claim ONLY mentioned above principalities as the part of Ukrainian history.

At the same time all other principalities of Rus' (Polotsk, Smolensk, Pskov, Novgorod, Vladimir-Suzdal, Murom-Ryazan') have almost no relation to Ukrainian history: they are part of either Belarusian or Russian history.

The heartland of Russia was initially populated by Finnio-Ugric peasants of Merya, Meshchera and Muroma tribes and Slavic nobility who lived in cities-fortresses to control that wild forresty province. Later East Slavs from all parts of Rus' have been resettled to that land. So Moscowians was the mix of Kyivans, Novgorodians, Krivichs, Vyatichs, Merya and Meshchera. The fact that Kyivans took part in ethnogenesis of Moscowian nation does not give Russia the right to claim Kyiv and all Rus' as their towns and their hisrory. They already have their unique East Slavic nation in their ethnic borders. They should respect other East Slavic nations, their history and their right to be completely independent and not Russian vassals or satelites.
Hii hapa chini ni orodha ya mikoa walikaa wapoland kama wakimbizi baada ya vita vya pili vya dunia. Au mwenzetu upo na nasaba ya kipoland?

1. Dar es Salaam: Dar es Salaam ilikuwa mji mkuu na kitovu cha shughuli za biashara na kiuchumi. Wapolandi wengi walipata makazi katika mji huu mkubwa na kustawi katika shughuli za biashara na uwekezaji.

2. Arusha: Arusha ni mji uliopo kaskazini mwa Tanzania, karibu na mlima Kilimanjaro na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Inajulikana kwa utalii wake na mandhari ya kuvutia. Baadhi ya Wapolandi walipata makazi hapa na kushiriki katika shughuli za utalii.

3. Mwanza: Mwanza ni mji uliopo kando ya Ziwa Victoria, ambao ni ziwa kubwa zaidi Afrika. Baadhi ya Wapolandi walipata makazi katika mji huu na kushiriki katika shughuli za biashara na uvuvi.

4. Moshi: Moshi ni mji ulioko kusini mwa mlima Kilimanjaro, ambao ni mlima mrefu zaidi barani Afrika. Inajulikana kama kitovu cha utalii wa mlima Kilimanjaro. Baadhi ya Wapolandi walipata makazi hapa na kushiriki katika shughuli za utalii.

5. Tanga: Tanga ni mji uliopo kaskazini mwa Tanzania, karibu na pwani ya Bahari ya Hindi. Baadhi ya Wapolandi walipata makazi katika mji huu na kushiriki katika shughuli za biashara na uvuvi.
 
Boss nipo interested kushuhudia huu mfumo unaozungumzwa utakavyofanya kazi.

Sijawahi ona utawala wa kiuchumi, kisiasa au kijeshi usio na kiongozi. Always kuna mwenye nguvu huibuka na kuwa msemaji wa mwisho. Linapokuja suala la soko, demand and supply huamua fedha ipi iwe na nguvu.

Hata kikundi kinaposhirikiana kushika madaraka wanapoyapata asipotokea mmoja kati yao wa kufanya maamuzi ya mwisho vita vya wenyewe kwa wenyewe hutokea.

Natamani nione iwapo USA atadondoka kama hataibuka Superpower mwingine na badala yake hii multi inayozungumzwa kweli itafanya kazi.

Binafsi bado nadhani huu wimbo wa makundi kama unaenda kutokea basi ni transition ya muda ili kumpokea Super power mpya.

Mkuu, nikuulize kidogo, kabla ya USA na Vita kuu vya Dunia havijatokea, nani alikuwa super power?
 
Naona sasa unaacha kujadili umeanza kuchamba. Nakumbuka tulipokuwa Primary tulifundishwa methali isemayo "Kuchamba kwingi.................."

Hiyo Poland unaisifia sana mdogo wangu. Historia yake iliandikwa na bwana "Gallus Anonymus" kati ya 1112 and 1118.

Hebu soma kidogo hii Taarifa:-

Gallus Anonymus ni jina la utani la mwandishi wa kihistoria ambaye aliandika "Gesta principum Polonorum" au "Matukio ya Wakuu wa Kipolishi." Gallus Anonymus alikuwa mwandishi wa Kipolishi ambaye aliishi katika karne ya 12, ingawa habari zake binafsi hazijulikani sana.

Habari nyingi kuhusu Gallus Anonymus zimepotea au hazijulikani kabisa. Jina lake lenye utani "Gallus Anonymus" linamaanisha "Kipolishi asiyejulikana" au "Kipolishi asiye na jina." Hatujui ni nani hasa aliyemwita hivyo au jina lake halisi.

Inasadikiwa kuwa Gallus Anonymus alizaliwa katika eneo la Ujerumani au Italia, lakini baadaye akahamia na kuishi katika eneo la Wapolandi (Poland). Kuhusu mwaka alipozaliwa, hakuna uhakika kabisa, lakini inakadiriwa kuwa alikuwa hai karibu na mwisho wa karne ya 11 au mwanzoni mwa karne ya 12.

Kazi yake maarufu zaidi, "Gesta principum Polonorum," ni historia ya kwanza iliyoundwa kwa lengo la kurekodi matukio ya kihistoria ya Wapolandi. Inaelezea maisha ya watawala wa awali wa Kipolandi, pamoja na Bolesław Chrobry (Mkubwa) na Władysław Herman. Kazi hii ilichapishwa mara ya kwanza katika karne ya 15 na imekuwa chanzo muhimu cha kihistoria kwa kujifunza juu ya historia ya awali ya Poland.
Mkuu najiuliza kwa nini unasisitiza kuleta hapa historia hiyo ya Poland "Gesta principum Polonorum"???
Unataka kujivunia kwamba umejua kitu kidogo? Lakini hutambui kwamba unapigia debe kitabu kinachoeleza kwa urefu ukubwa wa Poland na umuhimu wake na kumsifu Mieszko kama mshindi juu ya majirani wote? (hadi Wajerumani na Wahungaria na Wabohemia... Nukuu: "Numquid non ipse Morauiam et Bohemiam subiugavit et in Praga ducalem sedem obtinuit, suisque eam suffraganeis deputavit.")

Labda tofauti kati yetu kwamba mimi nimesoma kitabu hiko ilhali wewe umekopi tu jina bila kujua maudhui yake?
 
Hahaha. Naelewa swali lako linapolenga.

Naomba nikujibu kwa kukuuliza swali, what happen? Kwanini dunia ikaruhusu aibuke super power?

Haha, umeruka Mtego[emoji3][emoji3], umekataa kunipa jibu langu ila mm nakupa jibu lako kma ifuatavyo.

Dunia haikuruhusu aibuke super power na wala hakukuwa na mkutano wa kumchagua super power ila vita vya Dunia vilifanya nchi zenye nguvu ambazo zilikuwa zinapigana Vita kufirisika na hivyo USA ndo akawa mkopeshaji mkubwa kuzisaidia hzo nchi kifedha na rasilimali.

Baada ya vita vya Dunia kuisha, nchi zilikuwa kwenye madeni makubwa na mengine yasiyoweza kulipika kwa urahisi, ndipo marekani akatengeneza sera za kuziwekea masharti makali hzo nchi, na akawa na sauti hadi kwenye internal affairs ya nchi hizo.

So kama una sauti kwa Britain, France e.t.c , hakuna wa kukusumbua.
 
Mkuu najiuliza kwa nini unasisitiza kuleta hapa historia hiyo ya Poland "Gesta principum Polonorum"???
Unataka kujivunia kwamba umejua kitu kidogo? Lakini hutambui kwamba unapigia debe kitabu kinachoeleza kwa urefu ukubwa wa Poland na umuhimu wake na kumsifu Mieszko kama mshindi juu ya majirani wote? (hadi Wajerumani na Wahungaria na Wabohemia... Nukuu: "Numquid non ipse Morauiam et Bohemiam subiugavit et in Praga ducalem sedem obtinuit, suisque eam suffraganeis deputavit.")

Labda tofauti kati yetu kwamba mimi nimesoma kitabu hiko ilhali wewe umekopi tu jina bila kujua maudhui yake?
Kwanza pitia hii kutoka kwenye Tovuti ya Poland. Huenda mwenzangu upo na masaba ya wapoland.

Mkuu najiuliza kwa nini unasisitiza kuleta hapa historia hiyo ya Poland "Gesta principum Polonorum"???
Unataka kujivunia kwamba umejua kitu kidogo? Lakini hutambui kwamba unapigia debe kitabu kinachoeleza kwa urefu ukubwa wa Poland na umuhimu wake na kumsifu Mieszko kama mshindi juu ya majirani wote? (hadi Wajerumani na Wahungaria na Wabohemia... Nukuu: "Numquid non ipse Morauiam et Bohemiam subiugavit et in Praga ducalem sedem obtinuit, suisque eam suffraganeis deputavit.")

Labda tofauti kati yetu kwamba mimi nimesoma kitabu hiko ilhali wewe umekopi tu jina bila kujua maudhui yake?
Mwandishi wa kitabu huyo ni mtunzi mzuri sana wa hadith za kubumba.
 
Mkuu jinsi ilivyo kawaida katika historia: nafasi ya "super power" ilibadilikabadilika. Kabla ya Vita Kuu ya kwanza labda Uingereza....

Mkuu umekanyaga mtego ambao jamaa kaukwepa, hakukuwa na super power, tabia ya super power ni kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi kwenye siasa, uchumi na kijeshi ndani ya nchi nyingine zaidi 70% ya nchi zote Duniani.

Britain ilikuwa ni strong empire with great power, ila hakuwa na influence kwenye mataifa mengine maana Dunia ilikuwa imegawanyika kila zone ina mambo yake. yaani Asia wanafanya yao, America na yao. Actually it was multipolar na mwendo wa explores na scramble for lands.
 
Haha, umeruka Mtego[emoji3][emoji3], umekataa kunipa jibu langu ila mm nakupa jibu lako kma ifuatavyo.

Dunia haikuruhusu aibuke super power na wala hakukuwa na mkutano wa kumchagua super power ila vita vya Dunia vilifanya nchi zenye nguvu ambazo zilikuwa zinapigana Vita kufirisika na hivyo USA ndo akawa mkopeshaji mkubwa kuzisaidia hzo nchi kifedha na rasilimali.

Baada ya vita vya Dunia kuisha, nchi zilikuwa kwenye madeni makubwa na mengine yasiyoweza kulipika kwa urahisi, ndipo marekani akatengeneza sera za kuziwekea masharti makali hzo nchi, na akawa na sauti hadi kwenye internal affairs ya nchi hizo.

So kama una sauti kwa Britain, France e.t.c , hakuna wa kukusumbua.
Okey mkuu. Nilitaka unijibu hivi ili nikuambie pamoja na sababu official zilipo kwenye makaratasi, binafsi naamini vita vya dunia ni matokeo ya nchi zenye nguvu kutokuwa na super power mwenye maamuzi ya mwisho na huu mfumo hufanya kazi kwenye Transition period tu ili kutengeneza njia ya Super mmoja.

Familia inapokuwa ni ya makambale. Kila mmoja ana ndevu lazima tu makambale yataparuana mpaka atokee kambale mkuu.
 
Mkuu umekanyaga mtego ambao jamaa kaukwepa, hakukuwa na super power, tabia ya super power ni kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi kwenye siasa, uchumi na kijeshi ndani ya nchi nyingine zaidi 70% ya nchi zote Duniani.

Britain ilikuwa ni strong empire with great power, ila hakuwa na influence kwenye mataifa mengine maana Dunia ilikuwa imegawanyika kila zone ina mambo yake. yaani Asia wanafanya yao, America na yao. Actually it was multipolar na mwendo wa explores na scramble for lands.
True. Kama Tanganyika ilivyokuwa kabla ya mkoloni. Kila region ilikuwa na mambo yake.
 
Back
Top Bottom