Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Okey mkuu. Nilitaka unijibu hivi ili nikuambie pamoja na sababu official zilipo kwenye makaratasi, binafsi naamini vita vya dunia ni matokeo ya nchi zenye nguvu kutokuwa na super power mwenye maamuzi ya mwisho na huu mfumo hufanya kazi kwenye Transition period tu ili kutengeneza njia ya Super mmoja.

Familia inapokuwa ni ya makambale. Kila mmoja ana ndevu lazima tu makambale yataparuana mpaka atokee kambale mkuu.

Mkuu unajua kilicho sababisha vita vya Dunia??, mfumo huu wa nchi moja kuwa na hizi powers ndo upelekea vita maana kama ingekuwa ni kundi basi wengine wanaweza kukushika shati usiwapeleke kwenye Vita.

Ona Ujerumani alichokifanya kwenye kuanzisha Vita vya Dunia, ona USA alipoangusha bomu kule Japan, actually mfumo huu wa nchi moja yenye nguvu kuwa mwenye maamuzi ya mwisho ni hatari kwa usalama wa Dunia.
 
Well, it make sense unachosema.

Ila binafsi huwa naitazama tabia ya binadamu katika level ya chini kabisa ili kupata picha ya huko juu sababu tabia ni zile zile.

Bado naamini huu mfumo ulitengeneza makambale yasiyoogopana haya mengine ni official way ya kuweka mambo kwenye makaratasi ila tabia ya binadamu tunaijua.

Panapokuwa na kundi lisilo na mwamuzi wa mwisho anayesikilizwa, ugomvi unatokea. Ndo chanzo cha vita vyote kuanzia level ya chini kabisa kwenye masaccos huko mpaka level ya dunia.
 
Well, it make sense unachosema.

Ila binafsi huwa naitazama tabia ya binadamu katika level ya chini kabisa ili kupata picha ya huko juu sababu tabia ni zile zile.

Bado naamini huu mfumo ulitengeneza makambale yasiyoogopana haya mengine ni official way ya kuweka mambo kwenye makaratasi ila tabia ya binadamu tunaijua.

Ni kweli kabisa, nakubaliana na ww.
kwangu mm, mfumo wa Soviet Union ndo ulikuwa bora zaidi kuwahi kutokea Duniani. Ndo maana Nyerere aliukimbilia bila kujiuliza mara mbili.
 
⚡️🇷🇺🇺🇦⚔️ Russian Defence Ministry Report on the Progress of the Special Military Operation (22 May 2023)⚡️

The RF Armed Forces continue the special military operation.

💥 Last night, the RF Armed Forces launched a group strike by high-precision long-range air-based weapons against facilities of the Dnepr airfield.

◽️ The purpose of the strike has been achieved. All the assigned targets have been destroyed.

◽️ As a result of the strike, hangars with weapons and ammunition, aviation equipment, as well as a technical missile preparation position have been hit.

◽️ In Kupyansk direction, aviation, artillery, and troops of the Zapad Group of Forces have engaged the units of the Armed Forces of Ukraine (AFU) close to Dvurechnaya, Masyutovka, Sinkovka, Kotlyarovka, and Krakhmalnoye (Kharkov region).

◽️ In addition, actions of three sabotage and reconnaissance groups of the Armed Forces of Ukraine were thwarted near Timkovka, Ivanovka, and Kislovka (Kharkov region).

◽️ Up to 50 Ukrainian troops, 2 motor vehicles, and 1 D-30 howitzer have been neutralised during the day.

◽️ An ammunition depot of the 103rd Territorial Defence Brigade of the AFU has been eliminated close to Stelmakhovka (LPR).

◽️ In Krasny Liman direction, Operational-Tactical and Army aviation, artillery, and heavy flamethrower systems of the Tsentr Group of Forces engaged the units of the AFU close to Nevskoye, Chervonaya Dibrova (LPR), and Grigorovka (DPR).

◽️ Up to 55 Ukrainian troops, 2 AFVs, 3 motor vehicles, 1 Msta-B and D-30 howitzer were destroyed.

💥 In Donetsk direction, the Yug Group of Forces, aviation, and artillery have eliminated up to 270 Ukrainian troops, 4 AFVs, 3 motor vehicles, and 1 D-20 and 2 D-30 howitzers.

💥 In South Donetsk and Zaporozhye directions, aviation and artillery of the Vostok Group of Forces inflicted a fire damage on AFU units close Shevchenko (DPR), and Marfopol, Malaya Tokmachka, and Nesteryanka (Zaporozhye region).

◽️ One SRG of the AFU has been disabled close to Novodonetskoye (DPR).

◽️ More 150 Ukrainian troops, 2 pickup trucks, and 2 D-30 howitzers have been neutralised during the day.

◽️ Moreover, an ammunition depot of the 65th Mechanised Brigade of the AFU was destroyed close to Orekhov (Zaporozhye region).

💥 In Kherson direction, the fire damage has neutralised over 20 Ukrainian troops, 4 motor vehicles, 1 Giatsint-B gun, and a Msta-B howitzer during the day.

◽️ In addition, an ammunition depot of the AFU 123rd Territorial Defence Brigade was destroyed near Stanislav (Kherson region).

💥 Operational-Tactical and Army aviation, and artillery of the Russian Group of Forces have engaged 98 AFU artillery units, manpower, and hardware in 107 areas during the day.

💥 Air defence facilities have shot down 1 Mi-8 helicopter of Ukrainian Air Force near Lozovoye (DPR).

◽️ In addition, 5 rockets of the HIMARS multiple launch rocket system were intercepted during the day.

◽️ In addition, 17 Ukrainian UAVs have been destroyed in the areas of Kremenets, Peski, Aleksandrovka, Veseloye (DPR), Sladkaya Balka, Marfopol (Zaporozhye region), and Sergeyevka and Lyubimovka (Kherson region).

#MoD
t.me/sitreports /@mod_russia_en/@mod_russia/#smo/
Join SITREP🔺Map Reports - Top Videos - Analyses
 
Ni kweli kabisa, nakubaliana na ww.
kwangu mm, mfumo wa Soviet Union ndo ulikuwa bora zaidi kuwahi kutokea Duniani. Ndo maana Nyerere aliukimbilia bila kujiuliza mara mbili.
Mkuu, huwa naamini Mfumo wa soviet ni mzuri kwa jamii ya wachapakazi na nchi ya wenye tamaa ya maendeleo zinazofanana. Raia wenye tafsiri na target moja ya maendeleo pamoja na viongozi. Mfano China ya nyakati za nyerere. Raia wote mnapiga kazi haswa.

Hapa kwetu ni changamoto sababu target na tafsiri za mafanikio kwa jamii moja moja ni tofauti sana achilia mbali aina za viongozi.

Mkuria anafikiria kufanya kazi ngumu, mchaga anawaza kwenda nje ya nchi kufunga mzigo, msambaa anafikiria biashara ya viatu, mtu wa pwani anawaza minazi yake na bao hawa unawaunganisha vipi wawe na lengo moja la tafsiri ya mafanikio ili wafanye kazi kwa kiwango sawa?

Utapata tabu sana kumfanya mpare aliyeridhika na mia nane ambayo akiipata kwenye kushona viatu na siku kwake imeisha na mbena aliyeamua kufanya kazi usiku na mchana sababu anataka utajiri.

Na ndicho kilichomkuta Nyerere. Wengi walisubiri serikali iwahudumie wachache walichangia kwenye uchumi wa serikali matokeo yake hata sabuni ilikuwa tabu kweli kuipata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], Daah umenichekesha kichizi eti Mchaga anawaza kwenda nje ya nchi kufunga mzigo[emoji3]
Sina nia ya kuonyesha ukabila mkuu, ni mfano tu nimetoa kuonyesha namna tulivyo na malengo yasiyofanana kuanzia raia mpaka viongozi. Wewe ukiwaza kujenga treni ya kusafirisha mizigo mawaziri wako wanawaza kufungua biashara ya kubeba mizigo na malori.

Huyu akiwaza kuilima ngano mwingine anawaza biashara ya chap aiagize ailete apate faida ya chap. Matokeo yake tunawekeana figisu wenyewe, wa malori anahujumu treni wa kuagiza ngano anahujumu kilimo cha ngano sasa ujamaa hapo utafanya kazi?
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️The Bakhmut operation lasted 224 days, and now you, "musicians" known all over the world, have played the final chord of this "war symphony".
Fighters of PMC "Wagner" were awarded commemorative medals

"Wagner" - strength[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️

Vita vya Ukrain vikiisha, basi PMC Wagner watapata soko kubwa sana nje nchi. Kama nawaona vile waarabu wakitaka huduma yao[emoji16]
 
Mkuu umekanyaga mtego ambao jamaa kaukwepa, hakukuwa na super power, tabia ya super power ni kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi kwenye siasa, uchumi na kijeshi ndani ya nchi nyingine zaidi 70% ya nchi zote Duniani...
Asante, ila sidhani ufafanuzi wa asilimia 70 unakubaliwa kote. Uingereza ilikuwa na ushawishi mkubwa pia katika Asia ya Mashariki, hasa baada ya vita zake dhidi China.

Katika Asia ya Kusini ilikuwa na neno kabisa (Uhindi, Burma), Amerika ushawishi wake ulipungua tangu uhuru wa Marekani lakini bado ilikuwa na Kanada na vituo vyake Amerika ya Kati, Mashariki ya Kati ilikuwa mchezaji muhimu kwa kuhakikisha kuwepo kwa Uturuki . . . . .
 
Sina nia ya kuonyesha ukabila mkuu, ni mfano tu nimetoa kuonyesha namna tulivyo na malengo yasiyofanana kuanzia raia mpaka viongozi. Wewe ukiwaza kujenga treni ya kusafirisha mizigo mawaziri wako wanawaza kufungua biashara ya kubeba mizigo na malori.

Huyu akiwaza kuilima ngano mwingine anawaza biashara ya chap aiagize ailete apate faida ya chap. Matokeo yake tunawekeana figisu wenyewe, wa malori anahujumu treni wa kuagiza ngano anahujumu kilimo cha ngano sasa ujamaa hapo utafanya kazi?

Ndo maana China wana mifumo miwili, Ujamaa na ubepari, sera zao za kisiasa na kijeshi bado zipo kwenye kipindi cha Soviet lakini kiuchumi wapo ki capitalist.
 
Asante, ila sidhani ufafanuzi wa asilimia 70 unakubaliwa kote. Uingereza ilikuwa na ushawishi mkubwa pia katika Asia ya Mashariki, hasa baada ya vita zake dhidi China. Katika Asia ya Kusini ilikuwa na neno kabisa (Uhindi, Burma), Amerika ushawishi wake ulipungua tangu uhuru wa Marekani lakini bado ilikuwa na Kanada na vituo vyake Amerika ya Kati, Mashariki ya Kati ilikuwa mchezaji muhimu kwa kuhakikisha kuwepo kwa Uturuki . . . . .
Mkuu, unaposema kukubaliwa kote unamaanisha nini?
 
Asante, ila sidhani ufafanuzi wa asilimia 70 unakubaliwa kote. Uingereza ilikuwa na ushawishi mkubwa pia katika Asia ya Mashariki, hasa baada ya vita zake dhidi China. Katika Asia ya Kusini ilikuwa na neno kabisa (Uhindi, Burma), Amerika ushawishi wake ulipungua tangu uhuru wa Marekani lakini bado ilikuwa na Kanada na vituo vyake Amerika ya Kati, Mashariki ya Kati ilikuwa mchezaji muhimu kwa kuhakikisha kuwepo kwa Uturuki . . . . .

Mkuu, i wish ningejibu hii comment yako ila sijaelewa vizuri maelezo yako.
 
Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]

[emoji298][emoji298]Ukrainian forces are still fighting in Bakhmut, Deputy Defense Minister Hanna Maliar reported.

"The struggle for dominant heights continues on the flanks – the north and south of the suburbs," Maliar said. "Our fighters do not give the enemy the opportunity to gain a foothold there."

She noted that Russian forces are conducting a sweep of captured parts of Bakhmut, bringing in further reinforcements and supplies.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwanza pitia hii kutoka kwenye Tovuti ya Poland. Huenda mwenzangu upo na masaba ya wapoland...
Mkuu unarukaruka. Kwanza unataka kusisitiza Poland ilikuwa doa dogo tu kwenye ramani (ilhali ilikuwa milki kubwa kabla ya kuundwa kwa Rus ya Kyiv na kuundwa kwa Utemi wa Moscow na kabla ya Ufalme wa Urusi)
halafu unasisitize kuhusu kitabu cha Gallus Anonymus;

mara ukiona mimi najua kitabu hiki (ilhali hakika wewe hujawahi kukiona!) unaanza sasa mambo ya Wapoland waliofaulu kuondoka kwenye makambi ya Urusi mnamo mwaka 1942 .

Ndiyo hata historia hiyo najua kuliko wewe. Umewahi kutembelea makaburi ya Wapoland huko Tengeru / Arusha?
 
More US Military Aid for Ukraine Including More Bridge Builders

$375 million in military equipment, including armored vehicle-launched bridges useful to a counteroffensive, was announced by President Biden at G7.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom