Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The first transport of Polish refugees from the Soviet Union arrived at the Tanga port in Tanganyika on August 27, 1942. 1,400 people arrived on board ship, then they were transported to Dar es Salaam. Another transport arrived at the Mombasa port in Kenya on September 19. By the end of September 1942, 1,044 people were located in the Ugandan settlement in Masindi, and 510 and 401 respectively in Morogoro and Kondoa in Tanganyika. The next groups arriving in October were directed to Tengeru, Kondoa, Ifunda and Kidugala.
Kwa hiyo unakubali hawakusafirishwa na USSR? Bali pamoja na hao walioweza kuokolewa kutoka makambi ya mauti ya Urusi?
Unakubali hujasikia habari za Tengeru -Arusha na kambi la Wapoland huko?
Je unakubali kwamba hupendi tena kusikia habari za historia ya Poland ya Gallus Anonymus (uliyosisitiza mara tatu au nne) baada ya kujifunza kutoka kwangu kwamba anasifu sana uhodari na ukubwa wa mteni Mieszko?
 
Upo sawa mkuu kwa asilimia fulani, ili neno super power limekuja baada ya USA [emoji631] kuonesha influence kwenye other powerful countries kma Britain, France, Germany, Japan [emoji627]….Ndo maana akapata hyo title ambayo Britain hakufikia hata Robo.

Japan was an impenetrable Beast, aliitawala karibu Asia yote, leo anapiga magoti kwa USA.

France ndo nchi inayoongoza Dunia kwa kushinda vita vingi, leo ni chombo cha USA [emoji631]. Recently ndo anaonesha kumpinga.

Britain [emoji636] alikuwa tu na Bilateral relations na hizi nchi kubwa na wala hakuwa na power ya kuingilia internal affairs ya hizi nchi kubwa. Ona USA hadi LGBQ kaipeleka kwnye hzo nchi kubwa na zote zimetii hadi sheria wakapitisha.
Mkuu ninavyokumbuka lugha ya "super power" ilianza 1990 baada ya kuporomoka kwa USSR. HAdi wakati ule tuliona mara nyingi lugha ya "balance of great powers" kutokana na uwezo wa nchi hizo mbili za kutishana hadi kuangamizana kabisa.
Baada ya kuporomoka kwa USSR Marekani ilibaki pekee kwa muda.
Pamoja na uwezo wake mkubwa wa kiuchumi na uwezo wa ubunifu na kuanzisha tekinolojia mpya.
Kipindi hiki kimekwisha. Ila bado MArekani ina uwezo mkubwa. Lakini wengine wanakuja haraka (ila: sioni Urusi katika mchezo huo...)
 
[emoji298][emoji298]Five Key Questions About Provision of F16s for Ukraine Answered

The position in relation Ukraine’s requests for F16 fighter jets from its allies has changed quickly in the last two weeks, not least at the G7 Summit in Japan. Here’s where we are.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mburula..umehamia kwenye F16 sasa hv..umeachana na patriot!! Panya ni panya tu hachagui shimo kwa kweli
 
Mkuu, huwa naamini Mfumo wa soviet ni mzuri kwa jamii ya wachapakazi na nchi ya wenye tamaa ya maendeleo zinazofanana. Raia wenye tafsiri na target moja ya maendeleo pamoja na viongozi. Mfano China ya nyakati za nyerere. Raia wote mnapiga kazi haswa.

Hapa kwetu ni changamoto sababu target na tafsiri za mafanikio kwa jamii moja moja ni tofauti sana achilia mbali aina za viongozi.

Mkuria anafikiria kufanya kazi ngumu, mchaga anawaza kwenda nje ya nchi kufunga mzigo, msambaa anafikiria biashara ya viatu, mtu wa pwani anawaza minazi yake na bao hawa unawaunganisha vipi wawe na lengo moja la tafsiri ya mafanikio ili wafanye kazi kwa kiwango sawa?

Utapata tabu sana kumfanya mpare aliyeridhika na mia nane ambayo akiipata kwenye kushona viatu na siku kwake imeisha na mbena aliyeamua kufanya kazi usiku na mchana sababu anataka utajiri.

Na ndicho kilichomkuta Nyerere. Wengi walisubiri serikali iwahudumie wachache walichangia kwenye uchumi wa serikali matokeo yake hata sabuni ilikuwa tabu kweli kuipata.
Kwenye hili naomba kuchangia, nadhani shida kuu Kwa tz na afrika Kwa ujumla kumesababishwa na mataifa ya ulaya kuhakikisha nchi za kiafrika zinaongozwa na viongozi wenye Tamaa, wabinafsi na wasio na Tamaa ya maendeleo ya nchi,

Mkurya anayefanya kazi ngumu inatakiwa aandaliwe mazingira rafiki ambayo atatumia mashine ambazo zitamrahisishia kazi na kumfanya afanye kazi kubwa Kwa muda mfupi, (badala ya jembe la mkono atumie tractor na mitambo mbalimbali kulima,kupanda, kuvuna na uhakika wa soko)

Mchaga anarahisishiwa mazingira mazuri ya uagizaji, usafirishaji pamoja na maswala ya Kodi, au kuanzisha viwanda ambavyo bidhaa zake mchaga atarahisishiwa kupata masoko au kuondoa ukuritimba kwenye kusafirisha bidhaa nje

Na wengine ni Kwa mtindo huo huo, pia kuna Kansa kuu ambayo serikali wanalea ni elimu, kama serikali haitawekeza kwenye elimu ambayo itamfanya kila mtz ajitambue basi automatically maendeleo yatakuja, shida inakuja suala la elimu linapotumika kisiasa, yaani baadhi ya watu kutumia ujinga wa watz kama mtaji wa kuwatala, kipindi cha Nyerere ilikuwa ni sawa Kwa kuwa elimu ilikuwa hakuna lakini inasikitisha unakutana na mtz mwenye ujinga ambao unafanana na ujinga wa kipindi nchi inapata Uhuru hili ni tatizo
 
Open in Browser, Fanya hivi.
Highlight picha kwa kugusa hayo maandishi.
Juu kulia kule kutajitokeza vidoto (dots) vitatu (3) vilivyokaa kwa mpangilio wa juu, katikati na chini.
Gusa hivyo vidoto, kutajitokeza option kadhaa, Chagua hiyo Open in Browser kwa kuigusa.
Picha zitafungukia huko.
Another option, kama unajua picha ipo katika mfumo gani, open app yake na hiyo picha itafunguka.
Mimi ndivyo ninavyofanya na kitechno changu.
Ahsante mnama
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Preliminary demining has begun in Bakhmut.On exposed defense lines on the western outskirts.
"If there is not enough personnel in the Ministry of Defense, we have thousands of generals. We have to assemble a general's regiment, put everyone in the gun and everything will be fine."
Evgeny Prigozhin on the situation in Bakhmut .The head of the PMC stressed that after May 25, the positions in the city would be transferred to the defense ministry[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
Kuna mtego watu wanaingizea hapa
 
Mburula..hujui bakimutii imekwendraa?? Nakuonea huruma sana kwenye hii battle mjomba...
Tahaira naona unabishana hata na warusi wenzako kuhusu bakhumut [emoji23]

Pole sana
Screenshot_20230522-195008.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Vyacheslav Gladkov, governor of Russia's Belgorod Oblast, announced a "counter-terrorist operation" in the region on May 22 amid reported attacks by Russian anti-government groups.

During such operation, the Russian authorities can increase ID checks and law enforcement presence on the streets, force locals to leave certain areas, and shut down industrial facilities that use explosive, radioactive, chemically, and biologically dangerous substances.

Earlier the same day, the Russian Volunteer Corps, allegedly fighting on Ukraine's side, claimed its members conducted combat operations in the Belgorod region bordering Ukraine.

Read the full story: Russian governor announces 'counter-terrorist operation' in Belgorod Oblast, claims casualties

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, huwa naamini Mfumo wa soviet ni mzuri kwa jamii ya wachapakazi na nchi ya wenye tamaa ya maendeleo zinazofanana. Raia wenye tafsiri na target moja ya maendeleo pamoja na viongozi. Mfano China ya nyakati za nyerere. Raia wote mnapiga kazi haswa.

Hapa kwetu ni changamoto sababu target na tafsiri za mafanikio kwa jamii moja moja ni tofauti sana achilia mbali aina za viongozi.

Mkuria anafikiria kufanya kazi ngumu, mchaga anawaza kwenda nje ya nchi kufunga mzigo, msambaa anafikiria biashara ya viatu, mtu wa pwani anawaza minazi yake na bao hawa unawaunganisha vipi wawe na lengo moja la tafsiri ya mafanikio ili wafanye kazi kwa kiwango sawa?

Utapata tabu sana kumfanya mpare aliyeridhika na mia nane ambayo akiipata kwenye kushona viatu na siku kwake imeisha na mbena aliyeamua kufanya kazi usiku na mchana sababu anataka utajiri.

Na ndicho kilichomkuta Nyerere. Wengi walisubiri serikali iwahudumie wachache walichangia kwenye uchumi wa serikali matokeo yake hata sabuni ilikuwa tabu kweli kuipata.
Mkuu sielewi vema unamaanisha nini ukisema "Mfumo wa Soviet"?
Ilikuwa mfumo wa kidikteta wa chama cha kikomunisti kilichoharamisha maoni yote yaliyokuwa tofauti.
Mfumo huo haukuwa na uwezo wa kuzuia udikteta wa Stalin kuanzia 1929 hadi 1953. Udikteta huo uliua watu milioni ukiwa na dharau kuu kwa wananchi na mateso ya dini zote.
Pia siasa ya nchi iliyotafuta ushirikiano na ufashisti wa Hitler waliposhambulia pamoja Poland ma kuigawa, kuvamia nchi za baltiki na kuzifanya koloni, jaribio la kuteka Finland . . ..
Baada ya Vita Kuu ya Pili mfumo wa USSAR ilikuwa kueneza utawala wa kidikteta jii ya nchi za Ulaya Mashariki na Kati....
Kiuchumi mfumo huu ulifaulu kuendeleza sekta kadhaa, hasa upande wa jeshi na silaha lakini maisha ya wananchi wengi yalibaki duni, ukilinganisha na mataifa mengine. tatizo kuu ilikuwa roho ya kidikteta na imani kwmaba chama cha kikomunisti kina uwezo kuongoza uchumi. Mfumo huu uliweza kulisha watu wake kwenye ngazi duni kiasi, ilhali utajiri uliwekwa kwenye jeshi (pamoja na mashindano ya anga) au kuharibiwa na siasa ya kiuchumi.

Sasa wewe unaona nini kama tabia nzuri za Soviet?
 
Kwa hiyo unakubali hawakusafirishwa na USSR? Bali pamoja na hao walioweza kuokolewa kutoka makambi ya mauti ya Urusi?
Unakubali hujasikia habari za Tengeru -Arusha na kambi la Wapoland huko?
Je unakubali kwamba hupendi tena kusikia habari za historia ya Poland ya Gallus Anonymus (uliyosisitiza mara tatu au nne) baada ya kujifunza kutoka kwangu kwamba anasifu sana uhodari na ukubwa wa mteni Mieszko?
Mdogo wangu usilazimishe mambo. Check comments zako vizuri huwa sipendi kujadili ma wajinga kama wewe. Wewe endelea na LGBTQ tu mambo mengine huyajui.

Inaonekana wewe upo na stress kichwani mwako. Huenda upo na mimba sorry to say this.

Because behaviors zako zinaonesha.

Huwezi hata siku moja kuiondoa Russia katika kuwaokoa Wapoland.
Achana na Propaganda za western.


Urusi, wakati huo ilijulikana kama Umoja wa Kisovyeti, ilikuwa moja ya nchi zilizochangia sana katika vita dhidi ya Ujerumani ya Nazi na ilicheza jukumu muhimu katika kuokoa Poland. Vita ya Kidunia ya pili ilianza mnamo Septemba 1939 wakati Ujerumani ilivamia Poland. Wakati huo, Umoja wa Kisovyeti ulikuwa na mkataba wa kutowashambulia na Ujerumani, lakini mnamo Juni 1941, Ujerumani ilivunja mkataba huo na kuvamia Umoja wa Kisovyeti katika operesheni iliyopewa jina la "Operesheni Barbarossa."

Kuvamiwa kwa Umoja wa Kisovyeti kulibadilisha msimamo wa Urusi kuelekea vita hivyo. Walisaidia Poland katika vita hivyo kwa njia kadhaa:

1. Kupigana Vita ya Kidunia ya Pili: Umoja wa Kisovyeti ulishiriki katika vita vya moja kwa moja dhidi ya Ujerumani ya Nazi na washirika wake. Vikosi vya Urusi vilipambana na jeshi la Ujerumani katika vita vikali wakati wa uvamizi wa Ujerumani nchini Urusi.

2. Ukomeshaji wa Uvamizi wa Ujerumani: Jeshi la Kisovyeti liliongoza operesheni kubwa za kijeshi dhidi ya jeshi la Ujerumani na washirika wake. Moja ya operesheni muhimu ilikuwa Vita ya Stalingrad ambapo jeshi la Urusi lilipata ushindi muhimu dhidi ya jeshi la Ujerumani. Ushindi huo ulibadilisha mwelekeo wa vita na kuashiria kuanza kwa kuporomoka kwa Ujerumani.

3. Ukombozi wa Ardhi: Vikosi vya Urusi vilipambana vikali na jeshi la Ujerumani wakati wa kukomboa maeneo ya Ulaya Mashariki. Walifanikiwa kuingia Poland na kuwafurusha Wajerumani kutoka maeneo mengi, wakikaribia mji mkuu wa Poland, Warsaw.

4. Kusaidia Uasi wa Warsaw: Mnamo Agosti 1944, wenyeji wa Warsaw walifanya uasi dhidi ya utawala wa Ujerumani.
 
Back
Top Bottom