Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Screenshot_20230522-220907_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20230522-220942_Samsung Internet.jpg
 
Labda kama kuna sifa zingine nje ya makaratasi lakini kiuhalisia hii ni fighter ya kawaida kwa sababu ni ya kizazi cha nne sawa na Su-27 na Mig-29 alizonazo Ukraine. Haziwezi kutawala anga linalolindwa na mifumo kama S-300, S-400, Buk na mingine.

Ila pia Russia anaweza kutumia ndege zake hasa Su-35 ambazo ziko equiped na BVR missiles akiwa ndani ya anga lake kwa sababu F-16zinaonekana vizuri kabisa kwenye radar. Angekuwa anaomba ndege za kizazi cha 5 labda ingeshtua, ila kwa hizi nina uhakika mbungi lake linachezeka vizuri tu.

Nadhani ange push zaidi kupewa mifumo ya ulinzi wa anga inge make sense ila kwa hizi ndege nadhani ina prove kwamba jamaa yuko desperate, kachanganyikiwa hajui hata aombe nini kwa wakati gani na kitamsaidia vp. System za offensive zote anazo omba sidhani kama zitamsaidia kwa muda mrefu maana ni za kizazi cha nyuma ambazo nyingi Warusi wanaweza kudeal nazo vizuri kabisa labda apewe F-22 na F-35 ambazo sidhani kama inawezekana.
Apia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama mlinzi wao wa anga tegemezi aliokuwa anategemewa sana Patriot imepigwa, unafikili hizo ndege zitafa ya nini?

Ndege zinatakiwa zipewe sapoti na mifumo mizuri ya ulinzi wa anga na imeshathibitika kwamba NATO hakuna kitu. Mimi naona kuhusu hizo ndege ni mwendezo wa mujitilekenya tu
Aya
 
Mkuu ukitabiri wako China itakuwa juu ya Marekani, uwezekano huu upo. Ila kwa hakika si Urusi.
HAlafu ni kweli kwamba wanasayansi wengi wa Marekani walizaliwa nje ya nchi hiyo na kuhamia Marekani. Ila kwa nini unaangalia hali hiyo kama udhaifu au hitilafu?
Heri ujiulize kwa nini wanasayansi vijana wanapanga foleni kusoma na kufanya kazi MArekani, lakini hawapangi foleni kukaa Urusi - kinyume chake juzi angalau milioni ya wasomi walikimbia?
Hata China hadi sasa hawako wengi wanaotaka kuingia kule...
Unaonaje?
USA Wana malipo mazuri maana wanaweza kuchapisha dolla wakakupa hayo Ni makaratasi tu.
 
Nasikia kesho watafanya leferendum kujiunga na Ukraine huko Belgorod [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
American International M1224 MaxxPro MRAP, abandoned by Ukrainian saboteurs during the retreat from the Belgorod region, was captured by Russian soldiers.
FwwYNeOX0BQsW9V.jpg
 
Embu ficha ujinga wako basi .... Unakaaaza fuvu Kuna nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika Kabla ya 1880's !! Kenya ! Malawi hakukuwa na nchi Bali vikabila vidogo vilivyotawanyika ...ndio kama hao Poland kabla ya 1000 hakukuwa na hako kanchi unakokazia fuvu hapa...ni kama Hehe tu, Bukwaya, Ngoni, Yao, Etc .. sasa unakaaaza fuvu walikuwa na eneo la ukubwa huo ..ficha ujinga wako .
Tena mwingine - akikosa hoja anakimbilia matusi!
Ndugu historia ina utaratibu wake. Ndiyo, kabla mwaka 1000 Poland ilikuwepo kama nchi yenye maana. Kama ungesema "kabla ya mwaka 900" ungepita. Lakini jinsi tunavyoona kwenye mfano wa Tanzania, wakati mwingine miaka 100 inafanya tofauti.
Tena sielewi hasira ya wengine hapa wanaojaribu kupinda kila kitu ili wapunguze historia ya Poland na kukuza historia ya nchi nyingine.
Mpendwa, Poland ilitangulia katika sehemu ile ya Dunia ukilinganisha na upande wa Mashariki.
Sijui ukweli huo una umuhimu gani kwa mambo tunayojadili lakini sijaanza mavutano juu ya swali hilo. Ila sipendi kuacha habari zisizo na msingi. Nikiweza kusaidia, nafurahi kujitolea!
 
They can't even last 24hrs🥲. The operation is almost coming to an end. It was a good show put on by the best actors in the world, who else but the joke of Europe, the Ukrainians[emoji122].

The Special forces in Belgorod, Russian Federation are grateful for the live meat Ukraine sent[emoji106].
IMG_20230523_043850.jpg
 
[emoji298]]U.S. President Joe Biden on May 21 pledged support for Ukraine's Air Force, saying the U.S. would start training Ukrainian pilots to fly fourth-generation fighter aircraft, including F-16 fighter jets.

"I assured President (Volodymyr) Zelensky, together with all G7 members, our allies, and partners around the world, we will not waver. (Vladimir) Putin will not break our resolve as he thought he could two years ago, almost three years ago," Biden said during the G7 summit in Hiroshima, Japan.

Zelensky assured that Ukraine's military would not use Western-provided fighter jets to attack Russian territory, Biden told reporters.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zelensky assured that Ukraine's military would not use Western-provided fighter jets to attack Russian territory, Biden told reporters.

[emoji115]
Naomba kujua kuhusu hiyo paragraph hapo juu.
Ivi US, Europe, na huyo Zelensky wanapo sema hawata shambulia Russian nyumbani kwao maanayake ni nini hasa.

Niuoga ama ndio mbinu za kivita???.
 
Tulikuwa tukiwaambia upinde kuwa,NATO inapigana na KK security wanabisha,haya sasa hii hapa👇👇😆😆 what if Russian army ikiingia mzigoni?


1st time in history it happened.
A NATO trained force, supported by NATO Satellites, recon nodes, planning modules, tactical planners on ground, NATO supplied state of art weapons, electronics, drones and logistic all defeated not by an Army, but by Mercenary group

20230523_052829.jpg
 
Back
Top Bottom