Daah.... Hawa wapuuzi wamemgeuza mwenzao catoon
Ni tahadhari ili vita isisambae na kuwa NW. Ikitokea NW utaelewa tafsiri sahihi ya uoga mionzi itakapokuwa imezuia maindi wala viazi visiote huku kukiwa hakuna njia ya kupata taarifa ni nini kimetokea duniani.Zelensky assured that Ukraine's military would not use Western-provided fighter jets to attack Russian territory, Biden told reporters.
[emoji115]
Naomba kujua kuhusu hiyo paragraph hapo juu.
Ivi US, Europe, na huyo Zelensky wanapo sema hawata shambulia Russian nyumbani kwao maanayake ni nini hasa.
Niuoga ama ndio mbinu za kivita???.
Ukraine akishambulia urusi nayeye ataonekana kama mvamiz vilevile,kwa kuwa hakutakuwa tofauti Kati ya urusi na Ukraine maana wote wataonekana wamevamiana!Zelensky assured that Ukraine's military would not use Western-provided fighter jets to attack Russian territory, Biden told reporters.
[emoji115]
Naomba kujua kuhusu hiyo paragraph hapo juu.
Ivi US, Europe, na huyo Zelensky wanapo sema hawata shambulia Russian nyumbani kwao maanayake ni nini hasa.
Niuoga ama ndio mbinu za kivita???.
Former US Senator: Capture of Bahmut biggest battle since WWII By capturing Artyomovsk (Bakhmut), Russian forces won the biggest battle in Europe since World War II, former US senator from Virginia Richard Black told RIA. " Russia has won the biggest battle in Europe since World War II. The Western media is slow to admit the Ukrainian defeat, but Zelensky seems to have lost the city, suffering devastating losses in manpower and equipment," Black said, calling the battle for Bakhmut "epic." by battle.Ukraine akishambulia urusi nayeye ataonekana kama mvamiz vilevile,kwa kuwa hakutakuwa tofauti Kati ya urusi na Ukraine maana wote wataonekana wamevamiana!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapa ndipo Sheria Kali kama kunyonga inabidi zitumike, maana wale wanaofanyakazi wanahitaji kuona matunda ya jasho lao sasa linapoingia suala la ufisadi hukumu ya kifo inabidi ishike hatamu, na Sheria itendeke na watu wakubali yaani Siyo inafika Kwa waziri Sheria inapinda, inapofika Kwa mo au bakharesa sheria ifanye kazi sawasawa na masikini, nakuhakikishia kama tutakusanya na kutumia kila senti ya Kodi iliyokusanywa na kutumika vile ilivyokusudiwa ndani ya miaka kumi tz tunakuwa matajiriMkuu, Unajua udikteta ni tabia ya kiongozi sio mfumo.
Hoja yangu ni kuwa ukomunist ni mfumo mzuri iwapo wote mtadhamiria kufanya kazi kwamba wote mfanye kazi, mkusanye muipe serikali yenu halafu serikali irudishe kwenu kwa mfumo wa miundombinu, tecknolojia, elimu, afya n.k
Tatizo linakuja pale ambapo kuna wavivu wengi na wachapakazi wachache. Ikishakuwa hivi ukomunist unakuwa unyang'anyi sababu wavivu ambao ndo wapiga kura, wataacha wachapakazi wachache wafanye kazi halafu serikali ichukue kwao ilete barabara, umeme, maji n.k
Sio kweli kuwa uchumi wa China upo ki ubepari zaidi bali propaganda tu za west kuonesha kuwa uchumi wa China umechangiwa na Sera za kibepari zaidi ili ionekane sera za ubepari ni bora but in reality sio kweli.Ndo maana China wana mifumo miwili, Ujamaa na ubepari, sera zao za kisiasa na kijeshi bado zipo kwenye kipindi cha Soviet lakini kiuchumi wapo ki capitalist.
Hivi umisha wahi kujiuliza iwapo Uchumi wa Urusi ingekuwa upo kibepari angalau kwa 70% nini kingetokea kwa Russia kwa wakati kama huu?Mkuu, Unajua udikteta ni tabia ya kiongozi sio mfumo.
Hoja yangu ni kuwa ukomunist ni mfumo mzuri iwapo wote mtadhamiria kufanya kazi kwamba wote mfanye kazi, mkusanye muipe serikali yenu halafu serikali irudishe kwenu kwa mfumo wa miundombinu, tecknolojia, elimu, afya n.k
Tatizo linakuja pale ambapo kuna wavivu wengi na wachapakazi wachache. Ikishakuwa hivi ukomunist unakuwa unyang'anyi sababu wavivu ambao ndo wapiga kura, wataacha wachapakazi wachache wafanye kazi halafu serikali ichukue kwao ilete barabara, umeme, maji n.k
Very trueNakerekwa sana .... Kuna madogo wananitumiaga meseji na hivyo vixx mara kavichanganya na namba .... Halafu ndio vinaona ujanja. Ni ujinga kama ujinga mwingine tu. Siku hizi wengi wao wamenyooka ni wanapiga simu tunongea ama wanatumia lugha iliyonyooka maana huwa nawakanya sana... Kama huwezi kuandikwa meseji tu vizuri nakusaidiaje ...hawajui haya mazoea ya kijinga ndio wanayapeleka mpaka kwenye maombi ya Kazi au Katika kazi yenyewe...au umemuunganisha na mtu .mpaka mtu anakuja kuuliza hivi huyu una uhakika naye ama..
Ungekuwa wa kibepari huenda hata hii vita isingekuwepo. Mambo mengi sana yangekuwa tofauti.Hivi umisha wahi kujiuliza iwapo Uchumi wa Urusi ingekuwa upo kibepari angalau kwa 70% nini kingetokea kwa Russia kwa wakati kama huu?
Russia amewez kucontain uchumi wake kwenye mgogoro na west kutokana na Serikali kumiliki for 95 means za uchumi.
Kumbe na wenzetu wanaona kama tunavyoona sisi Huku Warusi wa Kalebezo.Tulikuwa tukiwaambia upinde kuwa,NATO inapigana na KK security wanabisha,haya sasa hii hapa👇👇😆😆 what if Russian army ikiingia mzigoni?
1st time in history it happened.
A NATO trained force, supported by NATO Satellites, recon nodes, planning modules, tactical planners on ground, NATO supplied state of art weapons, electronics, drones and logistic all defeated not by an Army, but by Mercenary group
View attachment 2631945
Huyu ni seneta wa USA ambae Yuko well informed kayasema haya na kaili.Former US Senator: Capture of Bahmut biggest battle since WWII By capturing Artyomovsk (Bakhmut), Russian forces won the biggest battle in Europe since World War II, former US senator from Virginia Richard Black told RIA. " Russia has won the biggest battle in Europe since World War II. The Western media is slow to admit the Ukrainian defeat, but Zelensky seems to have lost the city, suffering devastating losses in manpower and equipment," Black said, calling the battle for Bakhmut "epic." by battle.
Naomba maelezo kuhusu “Debt ceiling” kwa anayejua
Kiwango cha mwisho cha kisheria ambacho serikali ya USA inaruhusiwa kukopa.
Kabla sijaenda mbele, naomba nikutajie hivi vitu viwili Fed Reserve and US Treasury
Fed Reserve ni private organisation na Kazi ya Fed Reserve ni kutunga sera za ki fedha za US na ku print hela. Kwa hiyo hela ya US ni mali ya Fed Reserve.
US Treasury, wao ni kama wizara ya fedha. Kazi yao ni kusimamia policy zilizotungwa na Fed Reserve na pia ku collect kodi.
Serikali ya USA, ikitaka hela, inaenda kukopa Fed Reserve.
Kwa hiyo Congress wameweka ukomo wa kukopa (Debt ceiling).
Sasa kilichotokea sasa hivi ni kwamba, huo ukomo wa kukopa umefika mwisho, US Treasury hawaruhusiwi kuendelea kukopa. Ndio maana wanawaomba congress ku uplift hiyo ceiling ili waweze kuendelea kukopa.
Kwa Leo mmewachinjia upande upi?Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298]Ukraine’s Defense Forces have eliminated another 480 Russian occupiers over the past day. According to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine, Russia’s total combat losses reached about 204,360 troops.[emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app