Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio kweli kuwa uchumi wa China upo ki ubepari zaidi bali propaganda tu za west kuonesha kuwa uchumi wa China umechangiwa na Sera za kibepari zaidi ili ionekane sera za ubepari ni bora but in reality sio kweli.
Mfumo wa kijamaa ndio mfumo halisi; na vitabu vya dini (Biblia na Quran) vinaelekeza hivyo. Shetani katumia nguvu kubwa na resources nyingi kuuhujumu ujamaa.
 
Hali ni mbaya sana, kwanini masuala ya kutunga sera wamewapa private organization kwanini wasisimamie kama serikali??

Hapo ndipo utafahamu kwamba kuna kikundi cha wahuni wachache ndio wanamiliki na kuendesha hiyo USA.
Ndio utafahamu kwa nini vita haziishi hapa duniani.
Kwa nini kila siku magonjwa mapya makubwa yanaibuka.

Dunia haitakuja kukaa na kuwa salama kama USA akiendelea kubakia kuwa kiranja.
 
Nilidhani west ni democratic sana,kumbe hata wao ni madikteta hivi mpaka mwmwanamfalme anaishi kama nguchiro!? Yoda njoo uone shoga zako wanao heshimu 'demokrasia'

Prince Harry lost the latest legal round in his fight to pay privately for police protection when he visits the United Kingdom. Harry says he doesn't feel safe visiting the U.K. with his young children, and has cited aggressive press photographers.

Lancering_Invictus_Games_2020-7_(cropped).jpg
 
Kipanya na Umshana mpo wapi?Naona baada ya mshale wa Bakhmut kupenya kisawa-sawa mmepata mstuko mnajikusanya.Okay, karibuni tena ulingoni bado tuna mengi mengi mengi sana ya ku-expose kuhusu uovu wa handlers wenu,the NWO Cabal(US+NATO or the West).

Frankly mnapaswa kujitafakari,mnatetea kitu kilicho oza, Western governments are rotten entities.Njoni tushirikiane ku-expose uovu wao pamoja,may be one day as humanity in unison,tutafanikiwa kuwa-eliminate,kumbukeni kwamba ni adui zetu sote,ninyi na sisi.

For me this is my commission 👇given to me by my Lord and Savior Jesus Christ,and I will carry it out with all diligence.

COMMISSION TO EXPOSE EVIL
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul. Rather, be afraid of the One who can destroy both soul and body in hell”. Jesus Christ – Gospel of Mathew, 10,26-28
 
Nilidhani west ni democratic sana,kumbe hata wao ni mafikteta hivi mpaka mwmwanamfalme anaishi kama nguchiro!? Yoda njoo uone shoga zako wanao heshimu 'demokrasia'

Prince Harry lost the latest legal round in his fight to pay privately for police protection when he visits the United Kingdom. Harry says he doesn't feel safe visiting the U.K. with his young children, and has cited aggressive press photographers.

View attachment 2632273
Bugucha usidanganyike mkuu,Democracy is nothing but a Luciferian tool for enslavement and domination,it has nothing to do with good gorvenance.Wajinga ndio wanaoishadidia.
 
Hapo ndipo utafahamu kwamba kuna kikundi cha wahuni wachache ndio wanamiliki na kuendesha hiyo USA.
Ndio utafahamu kwa nini vita haziishi hapa duniani.
Kwa nini kila siku magonjwa mapya makubwa yanaibuka.

Dunia haitakuja kukaa na kuwa salama kama USA akiendelea kubakia kuwa kiranja.
Fed Reserve Board Members
1. Jerome H. Powell, Chair
2. Michael S. Barr, Vice Chair for Supervision
3. Michelle W. Bowman
4. Lisa D. Cook
5. Philip N. Jefferson
6. Christopher J. Waller
7. Board of Governors Members, 1914-Present
 
Sio kweli kuwa uchumi wa China upo ki ubepari zaidi bali propaganda tu za west kuonesha kuwa uchumi wa China umechangiwa na Sera za kibepari zaidi ili ionekane sera za ubepari ni bora but in reality sio kweli.

Ukifatilia nyenzo za kiuchumi za china,makampuni makubwa na ya kati 80% yanashikiliwa na Serikali ya China sasa hapo utasemaje uchumi wa China ni wa kibepari?

Mkuu kafuatilie mageuzi ya industrialization ya China, Mchina alitengeneza Industrial zones na incentives za kutosha kwa makampuni makubwa ya nje kwenda kujenga viwanda kwnye hzo industrial zones, with huge tax free period na supply of cheap labor.

Maviwanda mengi yalitoka west kwenda China, tena marekani ndo yalitoka mengi, transfer of technology kubwa ikatokea kutoka kwenye viwanda na makampuni ya kigeni kwenda kwa wachina [emoji630].

Na sasa wachina ndo wana makampuni yenye nguvu na mengine ni state owned but still viwanda vya wageni na vyenyewe vimejaa china [emoji630]. Gharama za uzalishaji China ni ndogo mnooo, hakuna kampuni inatoweza kuondoka China. Angalia Apple e.t.c, juzi Apple anakwambia despite the sanctions, wame hit a record high profit kupitia uzalishaji wao China.
 
Kipanya na Umshana mpo wapi?Naona baada ya mshale wa Bakhmut kupenya kisawa-sawa mmepata mstuko mnajikusanya.Okay, karibuni tena ulingoni bado tuna mengi mengi mengi sana ya ku-expose kuhusu uovu wa handlers wenu,the NWO Cabal(US+NATO or the West).Frankly mnapaswa kujitafakari,mnatetea kitu kilicho oza, Western governments are rotten entities.
Sisi mbona tupo sana mkuu [emoji116][emoji116][emoji116]



[emoji298]Denmark is beginning training Ukrainian pilots on F-16 fighter jets. Additional NASAMS, MLRS and ARTHUR counter-battery radars - Ukrainian Parliament Speaker Ruslan Stefanchuk told Ukrinform about the results of his trip to Scandinavia.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]The Security Service of Ukraine (SBU) detained a suspected agent of the Russian military intelligence service – Main Intelligence Directorate (known as GRU) – in Cherkasy Oblast for collecting data on Ukraine’s military movement and air defense systems.

The detainee is a resident of Kherson Oblast who was allegedly recruited by GRU at the beginning of the full-scale invasion, the SBU reported on May 23.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Fed Reserve Board Members
1. Jerome H. Powell, Chair
2. Michael S. Barr, Vice Chair for Supervision
3. Michelle W. Bowman
4. Lisa D. Cook
5. Philip N. Jefferson
6. Christopher J. Waller
7. Board of Governors Members, 1914-Present
Wahuni watupu.Federal Reserve ndio waliobuni mfumo wa revenue collection, mfumo ambao kimsingi ni unyang'anyi na wizi,because you are taking what does not really belong to you.Unfortunately mfumo huu wa unyang'anyi na wizi umehalalishwa kisheria in all nations,ila Federal Reserve ndio walioanza kuuhalalisha kisheria kwa hila, wakishirikiana na Congress ya Marekani.Kama watu hawajui the Federal Reserve is a private and criminal enterprise.

Labda clip ifuatayo itafunguka watu macho na masikio.



 
The Russian information space experienced "panic, factionalism, and incoherency" after reports of fighting in Russia's Belgorod Oblast, the Institute for the Study of War said in its latest report.

Following Russia’s announcement of "counter-terrorist operation" in Belgorod Oblast, the military bloggers speculated about the purpose guiding the raids reportedly led by Free Russia Legion and the Russian Volunteer Corps.

Learn more: ISW: Russian information space incoherent after reports of fighting in Belgorod Oblast

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vyacheslav Gladkov, the governor of Russia's Belgorod Oblast, told Russian state news agency RIA Novosti on May 22 that the "majority" of residents in the border villages of Russia's Belgorod Oblast, including the town of Grayvoron, have fled.

"We are currently completing a house-to-house inspection of the bordering villages and the town of Grayvoron. The majority of the population has left the area. For those who don't have the means, we are assisting with transportation, and for those who have the means, they are leaving in their own vehicles," Gladkov said.

Learn more: Russian state media: 'Majority' of residents flee Belgorod Oblast villages along border

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
FAKE ALERT: AI Image of Explosion at Pentagon Goes Viral – Impacts Markets

Dozens of ‘verified’ Twitter accounts shared an image that purported to show an explosion close to the Pentagon building in Washington D.C.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom