We jamaa unashida sana. Unadhani historia ya Urusi imeandikwa kwenye Wikipedia pekee.
Kumbuka wengine tumekaa huko Urusi miaka mingi na tumesoma huko na kuijua historia yao. Ndio maana nakushangaa unapotuletea Kiongozi wa kabila.
Je umamuongelea huyo mtemi unajua fika kabisa huyo alikuwa kiongozi chini ya papa John xv.
Unamfahamu mke wake Oda von Haldensleben huyo alikuwa mjerumani. Hivi unalielewa hilo?
Unaposema Rus na urusi ni tofauti unanishangaza sana.
Yaani ungesoma kidogo expansion ya Mongols na uhusiano na Rus hapo ungenielewa vizuri.
Hapo kwenye rangi ya light blue ndio Poland ilivyokuwa.
View attachment 2630874