Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo ndugu yetu kp kipanya44 amepoa kabisaaaa.

Zile kelele zake za Tumewachinga 650+ hazipo tena.
Mbona hata takwimu za Jana zipo shekhe, walichinjwa zaidi ya mia Saba 🥱🥱[emoji1787]
1684653846580.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wagner PMC watu wabaya sana.
Yaani wamesubiri NATO wapo kwenye kikao chao cha G7 huko Japan ndio wakamaliza kuichukua Bhakmut.

Yaani wamewakata kilimilimi chao kabisa. Wamebakia kulaani tu.
Mnajipa matumaini hewa tu, bakhumut mnazidi kuchakazwa lakini bado mnakaza shingo,[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Awe karibu na waangalizi. Haya mambo ya dipression siyo ya kuchezea.
Mkuu,kama sikupata depression wakati huo warusi wako kilometers 2 kuingia katikati ya Jiji la Kiev, itakuwa Leo hii hambapo wanazidi kujichokea wenyewe kwa kipigo wanachotembezewa??

Masihara haya [emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
ndio uhalisia huo unaweza kutuambi mpo soleda au mauripok au bakhmut sehemu gani.?
Kama hujui English tafta mtafsiri,[emoji1787]

[emoji298][emoji298]Colonel General Oleksandr Syrskyi, Commander of Ukraine’s Ground Forces, has said that the Ukrainian forces have continued defensive operations on flanks around Bakhmut. The Ukrainian army now controls the outskirts of the city.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama hujui English tafta mtafsiri,[emoji1787]

[emoji298][emoji298]Colonel General Oleksandr Syrskyi, Commander of Ukraine’s Ground Forces, has said that the Ukrainian forces have continued defensive operations on flanks around Bakhmut. The Ukrainian army now controls the outskirts of the city.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bila kujali uhalisia wa unacholeta humu, Kama tukiileta hii vita humu JF kwenye hii mada wewe ni Mrusi na Pro-Russia wote ni NATO. Unapambana na wengi na unasimama mwenyewe na wanakutaja taja kila saa. Kuna yule mwezako mk nn sijui ndo mshirika wako kama China ilivyo mshirika wa Russia.
 
Kama hujui English tafta mtafsiri,[emoji1787]

[emoji298][emoji298]Colonel General Oleksandr Syrskyi, Commander of Ukraine’s Ground Forces, has said that the Ukrainian forces have continued defensive operations on flanks around Bakhmut. The Ukrainian army now controls the outskirts of the city.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
habar yako imeshindwa kutwambia wanaizunguka kutokea bakhmut sehemu gani au hujui kusoma swali
 
Issue hapa ni kwamba battle inaendelea hapo bakhumut tofauti na tulivyotangaziwa kwamba wafungwa wa kuokoteza magerzani wameuteka mji!

Kama warusi wamepata udhibiti kamili wa bakhumut kama walivyotangaza kwa mbwembe,swali rahis la kujiuliza ni kwamba baada ya bakhumut vita ipo sehemu gani Sasa?

Au unataka kusema Kwa Sasa Hali ya mapigano ni stationary?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vitu vinaendelea kushushwa tu [emoji28]

[emoji298][emoji298]Ukraine’s air defense forces downed 20 Russian attack UAVs and four cruise missiles launched on the night of May 21-22 against Ukraine.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama hujui English tafta mtafsiri,[emoji1787]

[emoji298][emoji298]Colonel General Oleksandr Syrskyi, Commander of Ukraine’s Ground Forces, has said that the Ukrainian forces have continued defensive operations on flanks around Bakhmut. The Ukrainian army now controls the outskirts of the city.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uzuri mitaa yote Bakhmut ina majina.atuambie tu yupo mtaa gani na hao vijana wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vitu vinaendelea kushushwa tu [emoji28]

[emoji298][emoji298]Ukraine’s air defense forces downed 20 Russian attack UAVs and four cruise missiles launched on the night of May 21-22 against Ukraine.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ile kelele za sijui Urusi imeishiwa silaha sizisikii tena.baada ya kila siku kupewa dozi kutwa mara 3 sasa mmeona ukubwa wa Urusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Issue hapa ni kwamba battle inaendelea hapo bakhumut tofauti na tulivyotangaziwa kwamba wafungwa wa kuokoteza magerzani wameuteka mji!

Kama warusi wamepata udhibiti kamili wa bakhumut kama walivyotangaza kwa mbwembe,swali rahis la kujiuliza ni kwamba baada ya bakhumut vita ipo sehemu gani Sasa?

Au unataka kusema Kwa Sasa Hali ya mapigano ni stationary?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ilitakiwa mariinka umeisahau alafu bado hujajibu swali wanaizunguka kutokea bakhmut sehemu gani au swali ni gumu!
 
Hiyo marinka imekuwa na battle siku zote,Wala hakuna asiyejua Hilo,

Swali hambalo unaendelea kulikwepa ni kwamba baada ya urusi kupata udhibiti kamili wa bakhumut wameelekea sehemu gani?
Au vita imesimama[emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo marinka imekuwa na battle siku zote,Wala hakuna asiyejua Hilo,

Swali hambalo unaendelea kulikwepa ni kwamba baada ya urusi kupata udhibiti kamili wa bakhumut wameelekea sehemu gani?
Au vita imesimama[emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
yani kweli wewe ni chizi sasa kama unajua vita vinaendelea mariinka alafu unasema vimesimama si upunguwani huo
kifupi umeshindwa kutaja wapo sehem gani hapo bakhmut upinde wenzio
 
Back
Top Bottom